niliyonayo inaitwa STRONG 4922 nlinunua laki mbili, napata local channels karibia zote free silipii daima, pia napata channels za movies kali na mpya kila siku, wanyama, mpira ligi kama zote bure silipii na sitakuja kulipia daima. channels kama 1000+ satellite tofauti bureeeeee! nlichofanya nimetega dish kwenye satellite tofauti zinazorusha channels bure bila malipo. wanachokifanya azam na maboya wengine kama zuku wanazitafuta channels nyingi kwenye satellite tofauti kisha wanazikusanya kwenye kingámuzi kimoja ndo wanawalipisha, ila kama unadishi lako unatega tu mwenyewe unajitafutia channels unazopenda, tena ziko nyingi hadi utachoka kutazama.