Azam acheni roho mbaya za Kikaburu

Azam acheni roho mbaya za Kikaburu

niliyonayo inaitwa STRONG 4922 nlinunua laki mbili, napata local channels karibia zote free silipii daima, pia napata channels za movies kali na mpya kila siku, wanyama, mpira ligi kama zote bure silipii na sitakuja kulipia daima. channels kama 1000+ satellite tofauti bureeeeee! nlichofanya nimetega dish kwenye satellite tofauti zinazorusha channels bure bila malipo. wanachokifanya azam na maboya wengine kama zuku wanazitafuta channels nyingi kwenye satellite tofauti kisha wanazikusanya kwenye kingámuzi kimoja ndo wanawalipisha, ila kama unadishi lako unatega tu mwenyewe unajitafutia channels unazopenda, tena ziko nyingi hadi utachoka kutazama.
ingekuwa rahis hivyo si kila mtu angetega mkuu?
 
Watangazaji pia waislamu.

Charles hilary muislamu? Ivona kamintu muislamu? Nyamwihula muislamu? Taji Liundi, Phillip Cyprian, Mwanga Kirahi na Jane Shirima Joseph Warungu aliyekuwa Mwafrika wa kwanza kuongoza kitengo cha BBC Jane Shirima kuwa mkurugenzi wa televisheni? Tido mhando? Hawa niliowataja ni waislamu? Ebu acheni roho ya kwanini.
 
Jamaa wanazingua kinouma kabla ya mpira kuanza stesheni zinaonesha ukianza tu wanavifunga siwaelewi kabisa
 
Hawa jamaa wana roho mbaya sana. Hivi chanel ya kbc ambayo nimeilipia inawahusu nini?

Kwa nini kila mpira ukitaka kuanza mnazifunga chanel zao kwenye li mbuzi lenu?

Aisee natamani mnirudishie hela yangu nilipie startimes.

Kama unapanga kutoka huko Kwenu Azam na kuja huku Kwetu StarTimes nakushauri lifikirie mara mbili mbili kwani unaweza ukawa unatoka katika afadhali na kwenda potelea mbali. Unatakiwa uwe na Uvumilivu mkubwa sana na Moyo wa kama wa Mwendawazimu vile kuwa Mteja wa StarTimes.
 
Ukifanya hivyo makafara yataongezeka tupa tu kimya kimya unusuru roho za watu.
Ving'amuzi vya azam ni vya kwenda kuvitupa nje ya ofisi yao ili wapate ujumbe fulani hivi matata.....kazi kafala tu, nyambafu kabisa...
 
Hawa tuwape muda tu mbona wanapotea kwa kasi sana, mwisho watawapa Bakwata
 
Mwanzoni walisema Azam haitafika mbali! Itajifia!
Chuki zenu kwa waarabu/Waislamu hazitawasaidia chochote. Tangu Azam amefungua mnampiga vita sana kisa Mwarabu/Muislamu. Wewe unaongea kishabiki yani mfuata mkumbo tu, sasa movie ya sultan inahusiana nini na Oman!! Bora ungeuliza kwanza Sultan movie kutoka wapi na Nchi ya Oman iko wapi.
 
Back
Top Bottom