Azam acheni roho mbaya za Kikaburu

Azam acheni roho mbaya za Kikaburu

hivi bado kuna watu wananunua vingámuzi vya kulipia tu karne hii? aisee hayo majanga mnajitakia wenyewe poleeni sana. wale tuliofunga madishi ya futi 6 na receivers za FREE TO AIR tunacheka kwa dharauuuu! hayo mambo ya kulipia ni zama za mawe za kati.
Madishi ya futi 6 ndo yapoje mkuu?
 
Aiseeee! Startimes kwa wenye dish wana channels nyingi kuliko kisimbusi chochote zinafika hadi 1000 hadi brazzers tv ya porno ipo ila ni ujuzi wako tu ili upate acces yake ionyeshe!

AFCON inaonekana startimes kwenye machanel ya nchi kibao ila kama una cha antena unaweza kukichoma moto ni mara elfu 50 Azam
Hapo kwenye porno ndo penyewe aiiseee
 
Hata mavazi na ajira pale idadi kubwa ni Islamic.
Azam Media ni Shirika binafsi sio serikali wanayo haki ya kuajili wapendavyo, hata wewe ukifungua mradi au kampuni yako ukawajaza ndugu zako au Wagalatia wenzako hakuna atakaekuuliza maana mali ni yako ulitafuta kwa jasho lako.

Na ukisema unataka uwiano njoo kwenye serikali ambayo imechaguliwa na waislam, wakristo na wasiokuwa na dini, kwa ujumla wake tunasema serikali ama Rais amechaguliwa na wananchi wote ila angalia nafasi za wakuu wa wilaya nchi nzima, wakuu wa mikoa, baraza la mawaziri, makamishna na wakuu wa idara nyingi za serikali, wengi ni wakristo mbona hulioni hili?

Unamsakama raia ambaye ametafuta mali kwa jasho lake na bado unataka kumpangia jinsi gani aajili wafanyakaxi wake! Huo ni uzwazwa na wivu tu umekujaa!
 
Madishi ya futi 6 ndo yapoje mkuu?

kama hili

mustaphamadish.jpg
 
Wivu na chuki unamsumbua huyu kijana wa kigalatia.
 
lakini kwanini mpira ukiisha kbc ya kenya azam wanaifungua mpira ukianza wa afcon wanaifunga why? wakati mimi nimelipia pesa kwa gharama ya channel walizosema wizara ya habari naomba mlifutilie wapigwe faini hawa ovyoo sana
 
startimes mkuu hawaoneshi africon. but wanaonesha bundasliga, serie A, mls, jupler league, ligi kuu scotland, ligi kuu uturuki, na ligi kuu sweden (kwa baadhi ya matches)
Kama unatumia dish la StarTimes unaona Afcon live mechi zote ila sio kwenye list ya Chanel zao. Kama unataka kujua niambie nikupe ujanja hapahapa bure
 
Aiseeee! Startimes kwa wenye dish wana channels nyingi kuliko kisimbusi chochote zinafika hadi 1000 hadi brazzers tv ya porno ipo ila ni ujuzi wako tu ili upate acces yake ionyeshe!

AFCON inaonekana startimes kwenye machanel ya nchi kibao ila kama una cha antena unaweza kukichoma moto ni mara elfu 50 Azam
@Dripboy. Nisaidie ujanja kuzipata hizo chanel 1000 mkuu
 
Pumbavu kabisa hawa.halafu hata kuomba radhi hayawezi,Ngoja nikanunue DSTV sasa.
 
Kama unatumia dish la StarTimes unaona Afcon live mechi zote ila sio kwenye list ya Chanel zao. Kama unataka kujua niambie nikupe ujanja hapahapa bure
mkuu utakuwa umefanya jambo la maana, nipe ujuzi huo!
 
Mungu keshatubainishia ishara na tunashuhudia kwa macho chuki za hawa viumbe. Wanatamka kwa kuchukia muislamu kumiliki ata television channel, je vipi yaliokua katika vifua vyao.
Jaman waislamu turudini katika dini, hakika dini ya Uislamu n ya kweli tufate mafundisho yake
Yaaani hawa watu chuki Yao dhidi ya waislamu na Uislamu ni kubwa mno kuliko tunavyodhani . Mie mwenyewe azam wamaniuz kukatisha gafla afcon lakini isiwe chanzo cha kuingiza udini. Walianza kusema waajiria wote ni waislamu, juzi wakaumbuka baada ya ajari kuonesha wengi ya waliokufa ni wakristo tena makabira tofauti tofauti wala sio wapemba kama wanavyosemaga. Lakini kingine azam kuna Chanel nyingi mnoo ni wewe na hela yako , huwezi amini kunachaneli za kikiritu hadi za Uganda . Ila bado mtu anasema azam ni mdini.
 
Zuku(Rwanda)
Dstv(South Africa)
Startimes(China akina Huawei)
AzamTv(Tanzania)
N.K
Ukiona mtandao mmoja hauna 5G hamia wenye 5G
Hatulazimishani,Rudi nyumbani Kumenoga.
Naenda Kununua Azam TV na ninalipia saaaafi kabisa.
Kama umeumia hicho kidonda weka pilipili utapona haraka sana!!!!
 
niliyonayo inaitwa STRONG 4922 nlinunua laki mbili, napata local channels karibia zote free silipii daima, pia napata channels za movies kali na mpya kila siku, wanyama, mpira ligi kama zote bure silipii na sitakuja kulipia daima. channels kama 1000+ satellite tofauti bureeeeee! nlichofanya nimetega dish kwenye satellite tofauti zinazorusha channels bure bila malipo. wanachokifanya azam na maboya wengine kama zuku wanazitafuta channels nyingi kwenye satellite tofauti kisha wanazikusanya kwenye kingámuzi kimoja ndo wanawalipisha, ila kama unadishi lako unatega tu mwenyewe unajitafutia channels unazopenda, tena ziko nyingi hadi utachoka kutazama.
Hii umenikumbusha kitambo mzee wetu alikuwa anafanya haya. Ila dah..kosa kubwa sikujifunza hii ujanja kwa mshua. Nakumbuka tulikua na channels zaidi ya elfu 2.
 
Back
Top Bottom