Azaboy, Jangwani, Zanaki, Kisutu, tukutane hapa

Kuna dada alikuwa anaitwa Vero, akikuwa Jangwani mi nikiwa Azania... Jaman yule dada alinipenda mnoooooo!!! Ingawa nilikuwa simpendi kiivo maana clue yangu tulikuwa tunajiita wasolid hatufagirii warembo wa Jangwani baada ya kumaliza form four tukapoteana. Baaba ya miaka kumi yaani mwaka jana nilikutana naye sehemu. Kawa mzuri zaidi ya Alicia keys....ana drive bonge la Gari, anapesa kama escrow.....alifurahi sana alipo niona kidogo alie, Mliman city hapo....akaniambia alikuwa anasoma Marekani kapata na Mume huko na kazi pia kaja Bongo kusalimia mara moja...akasema ilimchukua muda kunisahau. Akaniuliza una gari nikasema sina akacheeekaaaa....nikahisi huyu mwehu...kesho yake akanitafuta..sikuamini kanipa ka swift. Akaniambia moyo wake umeridhika....nikamuomba msamaha kwa kuutesa moyo wake. Thats life we are friends now....
 
Mama Nkya sina hamu nae...kuna siku alikuta darasa letu chafu, matunda ya ubuyu yamesambaa....akatusimamisha akaanza kutukagua ulimi...ukikutwa ulimi mwekundu unalo....

Unakumbuka mtiti wa kufyeka?

aisee kuna siku nilitoka yale malengelenge kwa kufyeka..tena nitakuwa mchoyo wa fadhila nikimsahau Ticha langu la biashara Mr.Kunga..hehee yule mtu ana mazito afadhali alivyoamishwa azania
 
Warioba alikuwa mzee mmoja ana story sanaa, namuelewa huyooo.

JORO lilikuwa linawekewa oda mapema sanaaa...ukifika mda wa lunch unambiwalishauzwa
Wewe kweli mwana azaboy mwenyewe mtoto wa mbuga class huonekani
 
aisee kuna siku nilitoka yale malengelenge kwa kufyeka..tena nitakuwa mchoyo wa fadhila nikimsahau Ticha langu la biashara Mr.Kunga..hehee yule mtu ana mazito afadhali alivyoamishwa azania

Hahahaa malenge lenge muhimu, nilihaha hadi nikawa assistant Monitress nisifyeke.....

Mr Kunga so ndio yule walikuwa wanamwita super tall?
 
Kuna dada alikuwa anaitwa Vero, akikuwa Jangwani mi nikiwa Azania... Jaman yule dada alinipenda mnoooooo!!! Ingawa nilikuwa simpendi kiivo maana clue yangu tulikuwa tunajiita wasolid hatufagirii warembo wa Jangwani baada ya kumaliza form four tukapoteana. Baaba ya miaka kumi yaani mwaka jana nilikutana naye sehemu. Kawa mzuri zaidi ya Alicia keys....ana drive bonge la Gari, anapesa kama escrow.....alifurahi sana alipo niona kidogo alie, Mliman city hapo....akaniambia alikuwa anasoma Marekani kapata na Mume huko na kazi pia kaja Bongo kusalimia mara moja...akasema ilimchukua muda kunisahau. Akaniuliza una gari nikasema sina akacheeekaaaa....nikahisi huyu mwehu...kesho yake akanitafuta..sikuamini kanipa ka swift. Akaniambia moyo wake umeridhika....nikamuomba msamaha kwa kuutesa moyo wake. Thats life we are friends now....

Haha hujala mzigoo??
 
Hahahaa malenge lenge muhimu, nilihaha hadi nikawa assistant Monitress nisifyeke.....

Mr Kunga so ndio yule walikuwa wanamwita super tall?

Hahaa hongera sie wengine sura zetu hazikufaa kwenye uongozi maana nilishakuwa wanted kwa vituko..yeah kunga alikuwa tall na mwembamba
 
Asante mwaya....Basi yule super tall alikamataga simu ya mtoto wa Rage...enzi hizo hajawa Mbunge....Nasikia akaenda kuihongaa....heheheee paliwaka....

Alikuwa nuksi yule....
 
Alaaa kumbe ndio maana alikuwa anapenda kupokonya cmu mnooo kumbe aenda kuzionga mmh
 
Turuhusu tukupuuzee....

hahaaaa kule kwenye dustibin
jangwani bwana walipinda wale 2000hadi 2004
walikua na vigroup uchwara kumgombania konda wa ipembe HANDSOME MMOJA HIVI wakushushwa,jayjoks na vigroup kibao
zanaki hatukupinda km jangwani
forondo walikua silent killers,kisutu wamayai
 
Ndo maana nlivyochaguliwa jangwani nilipewa kitchen party hiyoo....ooh shule huko, shule Mbaya, kifua nje nje....kila Mtu ananifunda lake.....
 
Back
Top Bottom