Azaboy, Jangwani, Zanaki, Kisutu, tukutane hapa

egentle

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
769
500
…………feed our hangry mind.

Nakumbuk hilo song, lilivyo kolevya na kupambwa na misauti mizito bt ilikuwa baridaa sana, enzi hizo.

Lebo yangu ilikuwa nyekundu, full kutawaliwa na mavurugu hii lebo ilikuwa noma sana.
Nakumbuka stiki za mchwaa, fix za mkongo na mambo mengi sana.

VIVA AZANI, LOV U AZANIA.
nimeon niseme kidgo kuhusu Azaboy ili wadau wengine mlete vile vituko, mabifu na Tambaza, mitikqsi ya kukamata watoto wa Zanaki , Jangwani....Fungukeni Azaboy
 
Nanaa

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
5,905
1,225
Jangwani mojaaa....namkumbuka Mr Mbowe RIP na Mama Nkya...

Na Head wetu Mrs Mabula...she was so cool....
 
MO11

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
17,450
2,000
in the heaven of peace azania stand atease
to awaken strengen to feed our hungry minds

Your nor far and wide your always our guide we look at you we fly

Azania has a key to a good and better life........

ndipo nakumbuka hapa
 
Nanaa

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
5,905
1,225
unakumbuka nn hapa?
Hahahaaa nakumbuka kile kigeti cha kuingilia Azania kupitia jangwani...

Halafu wamekiziba...ile ilikuwa njia ya kutorokea. Tunaingilia pale tunazuga tunaenda library halafu ndukiiii.....
 
egentle

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
769
500
Hahahaaa nakumbuka kile kigeti cha kuingilia Azania kupitia jangwani...

Halafu wamekiziba...ile ilikuwa njia ya kutorokea. Tunaingilia pale tunazuga tunaenda library halafu ndukiiii.....
Kile kigeti, kimetumika kwa mengii
 
egentle

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
769
500
in the heaven of peace azania stand atease
to awaken strengen to feed our hungry minds

Your nor far and wide your always our guide we look at you we fly

Azania has a key to a good and better life........

ndipo nakumbuka hapa
Hauku opoa demu pale jangwani,
 
Nanaa

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
5,905
1,225
Enzi hizo mkituonq watoto wa Aza boy, basi full kujirembesha....sijui nivae zile nguo tena
Hahahaaa na tulivyokuwa na swaga ndani ya karoti na raba nyeupe....Halafu kulikuwa na watoto wana mata.ko paleeee......ni Shidaaa vaa tena uniform....
 
egentle

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
769
500
Hahahaaa na tulivyokuwa na swaga ndani ya karoti na raba nyeupe....Halafu kulikuwa na watoto wana mata.ko paleeee......ni Shidaaa vaa tena uniform....
Ntavaaa nipite pite makazini, lazma nikamate kibinda nkoiii,,,,,aisee.
 
egentle

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
769
500
Aiseeee endeleeni kutumwagia mchele wale tuliosoma kibosho girls, umbwe, weruweru, masama, bi shop, masalato enzi hizo bwiru na kwingineko tufaidi mauzauza msiogope.
Si dhambi ukitupa utamu wa huko piaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom