Azaboy, Jangwani, Zanaki, Kisutu, tukutane hapa

Azaboy, Jangwani, Zanaki, Kisutu, tukutane hapa

Nakumbuka hakuna kipindi cha dini ambacho kilikuwa kinapendwa kama AZAJANGWA yaani tulikuwa tunajimix hata kama ni waislamu......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Hahahaaa ila itakuwa walikuwa wanaingia wasafi tuu....Chezea maduu ya Jangwani kitu raba nyeupe safiiii......Nlikuwa navaa zangu DH ole wako unikanyage kwenye daladala ntakukata jicho hiloooo.....
Full kutembea na leso mbilimbili....ya kiatu na ya kujifuta jasho......

Naipenda sana jangwani.....
 
Duh Shikamoo kwanza.....Form two T walikuwa wanakaa wale walorudia mtihani wa form Two wa taifa....wajeuri haoo....nilisoma X na S.......

P ni always vipanga.....

Marahaba mdogo wangu..! Nimecheka sana na hiyo form two T.!! Hivi Mwl.Mkisi alikuwa anafundisha Geog ulimuacha? Enzi hizo alikuwa bonge la bishoo..!!
 
Marahaba mdogo wangu..! Nimecheka sana na hiyo form two T.!! Hivi Mwl.Mkisi alikuwa anafundisha Geog ulimuacha? Enzi hizo alikuwa bonge la bishoo..!!

Yeah nilimuacha Mkisi...bishoo kama kawaida ila kakongorokaa....inasemekana ana kifua....
Hata Mbowe wanasema kifua ndo kilimuondoa...ungemuona Siku za mwisho mwisho usingeamini kama ni yule alikuwaga Shababi.....!

Hiyo form two T tulikuwa tunawaita Form two taahira....ila wakikusikiaaa.....watata hao.
waliwekwa pale kwenye kona ya kuelekea toilet karibu na form Three X......
 
sitamsahau mama nkya,jamani kuna siku tulikimbia kipindi cha dini tukaenda kujificha jumba la mbowe kimya....yule mama asituibukie kulekule tukapiga magoti then akatuongoza kiroho mwenyewe hahaa anatamka tunafuata loh nimemis maisha ya Jangwani
 
Hebu acheni utoto, vishule vyenyewe vya ajabu tu, na wa ILBORU, KIBAHA, MZUMBE NA KILAKALA TUFANYEJE, acheni ujinga
 
Azania of today Azania Yesterday...Azania forever we will always saaaaaaay.... you are known far and wide.. you are always our guide... we will never forget youuuu..... maisha ya shule kama chuo...Yani binafsi niliona nimesoma muaka michache sana.. bado nilibaki na hamu ya kuendelea kusoma pale... nakumbuka msuli wa forest.. sometimes muhimbili chuo... life was so poa kwa kweli... man to man

Dah ckuwahi kulikumbuka hilo song dah !!!!!way back
 
Yeah nilimuacha Mkisi...bishoo kama kawaida ila kakongorokaa....inasemekana ana kifua....
Hata Mbowe wanasema kifua ndo kilimuondoa...ungemuona Siku za mwisho mwisho usingeamini kama ni yule alikuwaga Shababi.....!

Hiyo form two T tulikuwa tunawaita Form two taahira....ila wakikusikiaaa.....watata hao.
waliwekwa pale kwenye kona ya kuelekea toilet karibu na form Three X......

aisee kama nakujua Lol...hata mie nilisoma S a.k.a special kuanzia form3 na 4
 
Nilikuwa nadamka alfajiri kwa ajili ya kuwachungulia pale hostel kwenu mkioga...
Ilikuwa raha bin utamu kumshuhudia binti mbichi akichojoa nguo moja baada ya nyingine.....
But sitasahau siku niliyodakwa na ticha mkongo dah....msala ulikuwa mkubwa hadi nikaambiwa nikamuite mzazi.....
Nikazunguka fire nikamchukua dereva taxi akaja school tukayamaliza kibingwa na huo ndio ukawa mwisho wa chabo.........

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Dah mkongo nae busara zilikuwa nyingi ila angekuwa mr charles au kwayu mwenyewe kesi ndogo sana hyo
 
Mkuu MO11 ulipata story enzi zile mwl Mchwampaka aliponunua tv?
Lakini uongo mbaya unaonaje mkuda kama Mchwa umpe kitengo kama PCCB/kitengo cha kuzuia madawa ya kulevya kuna fisadi atakaebaki uraiani?

Rip mchwa mpaka yule ni mwanaume bwana!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
sitamsahau mama nkya,jamani kuna siku tulikimbia kipindi cha dini tukaenda kujificha jumba la mbowe kimya....yule mama asituibukie kulekule tukapiga magoti then akatuongoza kiroho mwenyewe hahaa anatamka tunafuata loh nimemis maisha ya Jangwani

Mama Nkya sina hamu nae...kuna siku alikuta darasa letu chafu, matunda ya ubuyu yamesambaa....akatusimamisha akaanza kutukagua ulimi...ukikutwa ulimi mwekundu unalo....

Unakumbuka mtiti wa kufyeka?
 
AZAJANGWA ilikuwa dini pendwa sana.....
Kuna binti mmoja pale Jangwani nilikuwa nampenda mpaka kesho.....sijui kama nitakuja kumuona tena....
Anaitwa NANZIA......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Lol.... kamaliza mwaka gani???
Hivi ni kweli ndie huyu nimjuae....
 
Back
Top Bottom