Azaboy, Jangwani, Zanaki, Kisutu, tukutane hapa

Ha!ha!najua hamna atakaye karibisa migangwe yaTambaza hapa!tukaribisheni tumesha acha undava!
 
Unamjua mwalimu Maleko wa biology wewe?
Unamjua Mr Warioba wa civics wewe?
Unamkumbuka mama tery wa biology?
Nimekula sana jolo kwa mama mchwa kupitia CHAJOA wakati wa kamanda Mr Kwayu.
 
Unamjua mwalimu Maleko wa biology wewe?
Unamjua Mr Warioba wa civics wewe?
Unamkumbuka mama tery wa biology?
Nimekula sana jolo kwa mama mchwa kupitia CHAJOA wakati wa kamanda Mr Kwayu.

Warioba alikuwa mzee mmoja ana story sanaa, namuelewa huyooo.

JORO lilikuwa linawekewa oda mapema sanaaa...ukifika mda wa lunch unambiwa lishauzwa
 
Niliwai gonganisha magali pale jangwani kama wapo hapa wana jijua.Wale wa loyola mpo apa....
 
Zanaki mwl Juma biology. Physics na mathematics mwl Tony na mr Ramza.
 
Madam maleko hazeeki nilikutana naye aiseee nahisi anakaa kawe
 
Mwaka 1994 ilitokea shida kati ya Tambaza na Azania nikiwa nasoma Kisambukile form one.Infact ,kulitokea mapambano kati ya wanafunzi wa Tambaza na Askari Polisi.Sitoisahau siku ile.
 
Back
Top Bottom