Wa Kwilondo
JF-Expert Member
- Sep 15, 2007
- 1,079
- 313
Mnaongea Azania ya miaka ipi? Ile ya kugombea mikate na kukimbizana na beseni la wali hadi Jangwani au hii ya sasa?
Jangwani mojaaa....namkumbuka Mr Mbowe RIP na Mama Nkya...
Na Head wetu Mrs Mabula...she was so cool....
Yan yule mama alikuwa anapendwa!
Mimi nilisoma 1987-1992 Jangwani from form one to six Enzi za mwalimu mkuu Tegisa then Mkamati(RIP) wapi waliosoma Enzi hizi jamvini!
Hahahaaaaaa aisee hilo la kuchungulia kweli kbsa,nmekumbuka siku moja kaingia class akauliza what is blue chips??kila mmoja ajibu kivyake anapitia duh!hayo makorokocho tuliyojibu mara is a chips which its blue in colour..ilikuwa balaa commerce hiyo!!ah ndio nishakuwa mwalimu wa lugha hata sikumbuki alitusahihisha vp
Unamkumbuka Mafiga (RIP) wa Geog....yule alikuwa anajua geog hadi anakera yani......!
She is classic...yani anapendeza mwenyewe....anaonekana Alhamis tu assembly.....
Nlikuwa napenda anavyotoa msisitizo wa kulipa ada...kama anabembeleza vile
Nasikia alipelekwa wizarani ni Kamishna wa elimu Sekondari....
Ni kweli hazeeki ila anaishi pande za boko- bunju...
Azania juice ya mkemia pale nje geti kuu, na chips za zedi wa jangwani.
Sisi wengine tulisoma Mtendeni Azania.feed our hangry mind.
Nakumbuk hilo song, lilivyo kolevya na kupambwa na misauti mizito bt ilikuwa baridaa sana, enzi hizo.
Lebo yangu ilikuwa nyekundu, full kutawaliwa na mavurugu hii lebo ilikuwa noma sana.
Nakumbuka stiki za mchwaa, fix za mkongo na mambo mengi sana.
VIVA AZANI, LOV U AZANIA.
nimeon niseme kidgo kuhusu Azaboy ili wadau wengine mlete vile vituko, mabifu na Tambaza, mitikqsi ya kukamata watoto wa Zanaki , Jangwani....Fungukeni Azaboy
sisi wa benjamin mkapa ngoja tukae pembeni..ila azania walikua wanaiponda benja....wanasema watoto wa mama...cha kushangaza advance wanakuja kusoma hapo hapo benja....na kuwa mabrazameni balaa....
Nipo hapa Benja A level....ile shule O level wamepindaaa...
Unamkumbuka Mafiga (RIP) wa Geog....yule alikuwa anajua geog hadi anakera yani......!
siku hiyo mbona utachenji menu ndo ilikuaga meeting place ile
Mkuu usinikumbushe sijui tulikoswakoswa vipi na magonjwa kama kipindupindu na TB.Chupa ananywea mwenzako unamsikilizia amalize ukajaziwe,maji alikuwa anachota kwenye bomba pale karibu na ile police post.Gharama yake ni sukari,ndimu na rangi ya ice cream.
Nipo hapa Benja A level....ile shule O level wamepindaaa...
i was right kumbee
Heee jaman yule bibi alifariki.
. Si ndo ofs yake ilikuwa imejitenga kwa nyuma hv