KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,958
- 40,289
mama BARAKA mwanamke ana roho mbaya yule sijaona
kuongea hajui wanaume anaita wanyaume
Hahahahaaaaaaa......ngoja akusikie yumo humu.......
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
mama BARAKA mwanamke ana roho mbaya yule sijaona
kuongea hajui wanaume anaita wanyaume
Ulisoma pia TAMBAZA advance......????sie ilikua Tambaza tena fellowship maana shule zetu zilikua mbalimbali
asubuhi tukitoka hosteli tunapita MZIZIMA kwa watoto wa kishua wanadrive wenyewe
ishakula kwako hahahaaaaa
Ni yengela ticha wa history
Zanakiii nipo mtoto wa upanga mashariki
na mama mramba
Ulisoma pia TAMBAZA advance......????
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
umenikumbusha mbali ulikuwa ukingia mikononi mwa huyu mama hutoki salama, na yule mbeba pochi wake mama lema uwiiiiii nilikuwa namchukiaje.
hahahahaaaaaaa......ngoja akusikie yumo humu.......
Sent from my blackberry 9800 using jamiiforums
hapana mi ni zanaki damu
TAMBAZA TULIKUA TUNAENDAGA FELLOWESHIP NA KUTEMBELEA MASHOSTI
weweee acha mama lema jamani alikua full kujiependekeza yaani mama mramba alikua anaogopeka lloohh
mruma nae second master yupoyupo tu
mam mramba nakumbuka siku moja katuambia tukae chini pale assembly watu tukawa tunasita akasema"natamani niwapeleke sweden mkaone wenzenu wanaingia darasani peku peku"(kwa sauti ya kichaga)
Wale WA jangwani tuliokuwa Enzi za Tegisa mwalimu mkuu miaka ya 1986 wapi
Ukali wake hadi kwa walimu, alikuwa kama Mungu mtu vile. Mama malenga mzee wa siketi, Mr. Juma na Maliki walikuwa wanaboa na viingereza vyao vya chini ya mti assembly tunawazomeaje, ila sijui kwanini rebo nyekundu ilikuwaga fujo miaka yote.
Ila sitamsahau Mtoni na Otieno walikuwaga powa na Madam Abeid alikuwa anachamba hatari mtoto wa magomeni yule.
Kipindi niko jangwani (1996-1999) kulikuwa na P,Q,R,S,X,Y na Z..Hakukuwa na T.. Darasa lilokuwa linaogopewa ni P..Full vipanga humo.!
Nilijua tulikuwa wote pia TAMBAZA.....
umenikumbusha mbali sana mpenzi
mama sketi anasema hataki ona macho ya miguu
mama abedi jamani kwa michambo lloooh na mam bakari
mwl mwilike ndo alikua ananiua na kiinglish chake lazma ucheke
mama sketi anatusema sie tuna tabia mbaya wakati wanawe vigui walivyokua wanavaa vya ajabh tupu
....mr Mbowe (rip), nilikuwa enzi za mama mkamati (rip). Mrs mabula academic enzi hizo. Mwalimu Mkichwa wa physic bado yupo jamani, dah siku zinakimbia!!
Ila mama sketi alikuwaga na watoto wazuri balaa, had I twajiuliza wake kwelii hasa yule wa kiume.
Mmmh,umenikumbusha mbali mkuu!