Azaboy, Jangwani, Zanaki, Kisutu, tukutane hapa

Ofcoz nyie azaboy kila ixhu kwenu vurugu hamstaharabiki hata kama punje ya haradali
 
Nakumbuka hakuna kipindi cha dini ambacho kilikuwa kinapendwa kama AZAJANGWA yaani tulikuwa tunajimix hata kama ni waislamu......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nakumbuka wakati huo geti la jangwani halijafungwa kuingilia Azania....kuna jamaa nakumbuka alikuwa lebo nyeusi na alikuwa maarufu sana pale AZANIA wakati huo mimi nilikuwa greenlabel....basi wakati tunakatiza na tupo katikati ya eneo la jangwani ghafla jamaa akaanza kutapika.....lakini cha ajabu jamaa alikuwa fasta kwenye kufukia...yaani akitapika anafukia hapo hapo...
Na wale wadada wakawa wanachafuka kwa vicheko....
Kumbe jamaa alikuwa anatapika kipolo cha ubwabwa na maarage.....ilikuwa noma sana......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
AZAJANGWA na TAMBAZANA

AZAJANGWA ilikuwa dini pendwa sana.....
Kuna binti mmoja pale Jangwani nilikuwa nampenda mpaka kesho.....sijui kama nitakuja kumuona tena....
Anaitwa NANZIA......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nakumbuka hakuna kipindi cha dini ambacho kilikuwa kinapendwa kama AZAJANGWA yaani tulikuwa tunajimix hata kama ni waislamu......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

hahaaa mkaone warembo mnakutana kwenye darasa la hapa ndani linalounganisha hosteli
 
ukiwa unaingia ndani kuna duka la container sijui lipo

Bado lipo mkuu.....hapo ndio walikuwa wanakutana mabishoo wa azania na masista duu wa zanaki na jangwani yaani full kuringishiana.....
Sisi wagumu tulikuwa tunajificha chaka huko ambako hata ticha asogei........kutokana tulikuwa wachafu sana......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
AZAJANGWA ilikuwa dini pendwa sana.....
Kuna binti mmoja pale Jangwani nilikuwa nampenda mpaka kesho.....sijui kama nitakuja kumuona tena....
Anaitwa NANZIA......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

hahahaaaaa
hukumuimbishaga?!!
 
hahaaa mkaone warembo mnakutana kwenye darasa la hapa ndani linalounganisha hosteli

Yaani nitakosa vipindi vyote lakini sio hicho......ilikuwa lazima niende nikasafishe macho.......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Bado lipo mkuu.....hapo ndio walikuwa wanakutana mabishoo wa azania na masista duu wa zanaki na jangwani yaani full kuringishiana.....
Sisi wagumu tulikuwa tunajificha chaka huko ambako hata ticha asogei........kutokana tulikuwa wachafu sana......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

yaani tukifika pale wanaonunua soda,matunda
pale meeting place
ila mama baraka asikukute(matroni wetu)
 
Yule mama alikuwa anatukata stimu kweli watu ndio tunaanza kuimbisha mara huyoooo....unatamani hata umpe mangumi......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Yaani nitakosa vipindi vyote lakini sio hicho......ilikuwa lazima niende nikasafishe macho.......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

sie ilikua Tambaza tena fellowship maana shule zetu zilikua mbalimbali
asubuhi tukitoka hosteli tunapita MZIZIMA kwa watoto wa kishua wanadrive wenyewe
 
Yule mama alikuwa anatukata stimu kweli watu ndio tunaanza kuimbisha mara huyoooo....unatamani hata umpe mangumi......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

mama BARAKA mwanamke ana roho mbaya yule sijaona
kuongea hajui wanaume anaita wanyaume
 
Back
Top Bottom