Azaboy, Jangwani, Zanaki, Kisutu, tukutane hapa

Mafiga namkumbuka lkn sie walituletea mwalimu mpya kweny geog..sikuwahi kumuelewa hata sistaduu huyoo,akiingia anaishia mlangoni tu pale mwanzon,afu akiongea kama hataki..anaitwa madam mary huyo

Ila Mafiga ilkuwa ukipata B kwenye pepa yake basi Necta una A....
 
Mafiga namkumbuka lkn sie walituletea mwalimu mpya kweny geog..sikuwahi kumuelewa hata sistaduu huyoo,akiingia anaishia mlangoni tu pale mwanzon,afu akiongea kama hataki..anaitwa madam mary huyo

Hahahaa kalikuwa kafupifupi hv! Yan akiongea kama hataki vilee
 
Back
Top Bottom