Azaboy, Jangwani, Zanaki, Kisutu, tukutane hapa

Azaboy, Jangwani, Zanaki, Kisutu, tukutane hapa

..watoto wa kwayu ...mama mabula ..mnakumbushana sio...
..nani HUMU alikua anaenda pale Double Twoo Hotel karibu na kituo cha Fire
 
Azania juice ya mkemia pale nje geti kuu, na chips za zedi wa jangwani.
 
Ila ile aliirudisha aiseee...alimletea ndugu yake shangingi huyooo....chaaaambwaaa....ikarudi ikiwa imefutwa kila kitu....

Halafu alikuwa anachungulia kwenye vile vidirisha vya koridoni. ...anawaona wapiga kelele wote akiingia anawachomoa tuu....

Hahahaaaaaa aisee hilo la kuchungulia kweli kbsa,nmekumbuka siku moja kaingia class akauliza what is blue chips??kila mmoja ajibu kivyake anapitia duh!hayo makorokocho tuliyojibu mara is a chips which its blue in colour..ilikuwa balaa commerce hiyo!!ah ndio nishakuwa mwalimu wa lugha hata sikumbuki alitusahihisha vp
 
Lebo ya blue.Enz hzo fom 3 L.Wapi vichwa wangu onesphory poul,victor koroso,amir malengwe ,octa javet,kassim mtepele,shomari ahmad,chimpa,mayagi nyega,charles.dah wadau wengi nawakumbuka
 
tunatoka ZANAKI sie wa hosteli tunakuja kunnua chips jangwani kwa ZEDI

Kwa sisi yulio kuwa tunaishi hostel siku ukipata mshiko kutoka home, ilikuwa unaenda kula wali rosti nyama kwenye kantini ya Muhimbili.
 
.....ndio mwenyewe huyo mkichwa kilema wa miguu. Alikuwa mnoko balaa! Darasa letu form 4p tulikatwa nywele wote ili tufaulu physic.
Mkisi mwalimu wa geography alikuwa bitozi, ila sura ngumuuuu!!

Hahahaaa nakumbuka kipindi cha form4 sayansi kukatwa nywele hapana chezea mkichwe
 
ah nami nlikua Aza mwaka huo, label Nyekundu. Mwalimu Ryoba alifariki mnajua?
Aaah mkuu ulikua class gani form 4? Mi nlikua Form 4C Chini ya Mr Maganga mzee wa kukariri majina...dah aisee hiyo ya Ryoba kufariki nlikua cjaipata...
 
Sisi wengine tunawajua walimu wa mapindi kuliko walimu wa madarasa......kwa mfano mimi mpaka namaliza pale mwaka 2007 nilikuwa tu nawafahamu tu.....Mkongo ,Ngoziye, na Mchwa Mpaka........kwa mwaka unaweza ingia class mara 7 au mara 6 tu.......siku za kwaida unakuta class watu wachache.......njoo siku za pepa....mpaka wengine unawashangaa....maana hujawahi kuwaona......mimi mpaka namaliza sijawahi kujua jina la mwalimu wa darasa letu.......
 
Aiseeee endeleeni kutumwagia mchele wale tuliosoma kibosho girls, umbwe, weruweru, masama, bi shop, masalato enzi hizo bwiru na kwingineko tufaidi mauzauza msiogope.
bila kusahau MACHAME GIRLS'watoto wa ukwee
 
weweee acha mama lema jamani alikua full kujiependekeza yaani mama mramba alikua anaogopeka lloohh
mruma nae second master yupoyupo tu
mam mramba nakumbuka siku moja katuambia tukae chini pale assembly watu tukawa tunasita akasema"natamani niwapeleke sweden mkaone wenzenu wanaingia darasani peku peku"(kwa sauti ya kichaga)

Hahaaa
siku amerudi toka Ufaransa ilikua shida "nlivyokua kule Parii...'
 
Kwa sisi yulio kuwa tunaishi hostel siku ukipata mshiko kutoka home, ilikuwa unaenda kula wali rosti nyama kwenye kantini ya Muhimbili.

siku hiyo mbona utachenji menu ndo ilikuaga meeting place ile
 
Back
Top Bottom