Avunjika mguu akipandisha bendera ya CCM mtini

Kikwete anampigania Ridhwan,Warioba anampigania Kippi,Mwinyi anampigania Mwinyi,Mkapa anampigania Anna Mkapa,Je wewe unampigania nani?
 
Wewe gamba lazima ukimbie kama wenzio akina GENTAMYCINE.
Bado kuna huyo popoma mmoja nae atakimbia tu.

Ukome Sikukimbia Bali Nilikuwa Red Carded Na Wenye JF Kwa Muda Kidogo Ili Niweze KUKUSANYA Data Za Kutosha Za UKAWA Na Kuanzia Kesho Hadi Jumamosi Usiku Nitaanza Kuzitoa Moja Baada Ya Nyingine Labda Akina nifah Wanisihi Nisiwaumbue Vinginevyo Vitu Nilivyonavyo Na Nitakavyovitoa Nina Uhakika 75% Ya Wana UKAWA Humu JF Nitawabadilisha Na Jumapili Kwa Pamoja Tutampigia Kura Dr. Magufuli.
 
Last edited by a moderator:

hatutaki kiongozi DIKTETA
 
Last edited by a moderator:
hatutaki kiongozi DIKTETA

Hata Baba Yako Tu Asingekuwa Dikteta Leo Usinge Nyooka Hivyo Na Kuwa Na Mafaniko. Kwahiyo Hamtaki Kiongozi Dikteta Mnataka Kiongozi Ambaye Kila Wakati Tutakuwa Tunamsindikiza Tu Chooni KUJISAIDIA HAJA KUBWA? Huoni Kama 75% Ya Muda Wake Wote Atakuwa MSALANI?
 
Huyo unayempigia debe inasemekana alipataga matatizo ya @ki!! Sasa urais atauweza wapi?
 
hapo ndipo ataelewa kuwa ccm inawenyewe.

CCM wakiumwa si huwa wanakwenda kutibiwa India? Mfano Marehemu Kombani, Marehemu Kigoda, n.k. Kwa hiyo tusubiri nae wampeleke India akatibiwe. Wasipompeleka India, basi ajue alivamia kijiwe cha watu kisichomuhusu. Sie nduguze tunaompenda tutamsaidia kwa kuipiga chini CCM kwa kuichagua UKAWA. Na akipona ajifunze kutumia akili zake za kichwani.
 
Zikiwa zimebaki siku chache kupiga kura, kijana mmoja mwenye umri unaokadiriwa kuwa miaka 28, maarufu kwa jina la KIJOKA, aishiye eneo la Mbagala- Charambe, amejikuta akipata ajali kwa kuvunjika vibaya mguu wake wa kulia baada ya kuanguka wakati akipandisha bendera ya CCM juu ya mti mrefu.

ni laana kwa kufanya promotion ya chama kilichotuibia na kutugandamiza kwa miaka mingi
 
Zikiwa zimebaki siku chache kupiga kura, kijana mmoja mwenye umri unaokadiriwa kuwa miaka 28, maarufu kwa jina la KIJOKA, aishiye eneo la Mbagala- Charambe, amejikuta akipata ajali kwa kuvunjika vibaya mguu wake wa kulia baada ya kuanguka wakati akipandisha bendera ya CCM juu ya mti mrefu.

Tupia picha zombi la ukawa tuone
 
we wee,nyie mtu anajinyea still mnapigia kampeni na huyo naye ni laana yanani??
 
Back
Top Bottom