Avunjika mguu akipandisha bendera ya CCM mtini

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
1,311
Reaction score
289
Zikiwa zimebaki siku chache kupiga kura, kijana mmoja mwenye umri unaokadiriwa kuwa miaka 28, maarufu kwa jina la KIJOKA, aishiye eneo la Mbagala- Charambe, amejikuta akipata ajali kwa kuvunjika vibaya mguu wake wa kulia baada ya kuanguka wakati akipandisha bendera ya CCM juu ya mti mrefu.
 
Good News!!
 
Huyo atakuwa mtu wa pili siku Magufuli anakuja Arusha kuna Mzee mmoja jina nalihifadhi alivunjika mguu baada kupewa pombe za bure na kuvalishwa jezi ya CCM.Matokeo yake alipokwenda hospital hapakuwa na madaktari wa kumfanyia operation ya kuunga mguu kaambiwa asubiri siku nne ndio madaktari kutoka KCMC watakuja kumfanyia operation ikabidi atimkie Nairobi kwa gharama kubwa zaidi leo ndio kaanza mazoezi ya kutembea.

Wanywaji wa XL Pub walifurahia sana kitendo cha kuvunjika mguu wanadhani Mzee wa watu kapewa adhabu ya kutosha.
 
Kwanini asingezima kabisa?Jitu linaloishabikia CCM halitakiwi kuonewa huruma.

Yaani mimi ningepewa uwezo wa ki Mungu kwa sekunde 5 tu! Ningeamuru ccm wote wafe na kuiacha Tanzania yetu nzuri tuifaidi kwa haki wananchi wote!
 
Huyo atakuwa mtu wa pili siku Magufuli anakuja Arusha kuna Mzee mmoja jina nalihifadhi alivunjika mguu baada kupewa pombe za bure na kuvalishwa jezi ya CCM.Matokeo yake alipokwenda hospital hapakuwa na madaktari wa kumfanyia operation ya kuunga mguu kaambiwa asubiri siku nne ndio madaktari kutoka KCMC watakuja kumfanyia operation ikabidi atimkie Nairobi kwa gharama kubwa zaidi leo ndio kaanza mazoezi ya kutembea.

Wanywaji wa XL Pub walifurahia sana kitendo cha kuvunjika mguu wanadhani Mzee wa watu kapewa adhabu ya kutosha.

duuuuuh!!!!! ccm watawamaliza hawa watu... ndiyo maana inahitajika ELIMU, ELIMU, ELIMU...
 
Back
Top Bottom