Avunjika mguu akipandisha bendera ya CCM mtini

Inathibitisha uwezo wa busara huruma na aina ya mabadiliko yanayotarajiwa kuletwa na CDM mpya. Usimguse bi mkubwa utaadhibiwa shangilia mfuasi yeyote wa CCM akiumizwa ndiyo ushujaa! Tuungane kuwahudumia walioumizwa na mbegu mbovu za kipumbavu za ugomvi kisa CCM na CDM. Tanzania ni muhimu kuliko vyombo hivyo viwili.
 
Nang'atuka jf kwa muda..
Nang'atuka kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu..
**nang'atuka*
 
Zikiwa zimebaki siku chache kupiga kura, kijana mmoja mwenye umri unaokadiriwa kuwa miaka 28, maarufu kwa jina la KIJOKA, aishiye eneo la Mbagala- Charambe, amejikuta akipata ajali kwa kuvunjika vibaya mguu wake wa kulia baada ya kuanguka wakati akipandisha bendera ya CCM juu ya mti mrefu.

laana hiyo
 
JAMANI WATANZANIA MNAOILILIA CCM MTAMBUE KUWA VIGOGO WENGI WANAOFANYA KAMPENI KWA KUWAPA MANENO MATAMU HIYO YOTE WANAWAPIGANIA EIDHA WATOTO WAO AMA JAMAA ZAO. Je wewe mwenzangu na mm ulievunjika mguu unampigania nani?
 
Huyo gamba aliyevunjika huu ndy akome! Labda wakina faizafoxy na wenzake wamemchunia
 
Ningekuwa dakatari wa hospitali aliyopelekwa nimgeshauri akatwe mguu, ili liwe funzo kwa wajinga wenzie.
 
Inathibitisha uwezo wa busara huruma na aina ya mabadiliko yanayotarajiwa kuletwa na CDM mpya. Usimguse bi mkubwa utaadhibiwa shangilia mfuasi yeyote wa CCM akiumizwa ndiyo ushujaa! Tuungane kuwahudumia walioumizwa na mbegu mbovu za kipumbavu za ugomvi kisa CCM na CDM. Tanzania ni muhimu kuliko vyombo hivyo viwili.

Appreciate
 
Akifika hospital atajua nini maana ya wanachi kuondaa ccm madarakani
Cm wamenunua magari ya kuwasha lkn hawajanunua vifaa vya hospital
 
Back
Top Bottom