Avunjika mguu akipandisha bendera ya CCM mtini

Zikiwa zimebaki siku chache kupiga kura, kijana mmoja mwenye umri unaokadiriwa kuwa miaka 28, maarufu kwa jina la KIJOKA, aishiye eneo la Mbagala- Charambe, amejikuta akipata ajali kwa kuvunjika vibaya mguu wake wa kulia baada ya kuanguka wakati akipandisha bendera ya CCM juu ya mti mrefu.
Atapelekwa kutibiwa india, mipango iko mbioni, tunasubiri matokeo ya uchaguzi
 
...huo mti si ndo umemuangusha? ...Akijifunga mguu na bendera ya chadema mguu utaunga...vinginevyo Akate tu huo mtu ajifunge kama muhogo
 
Zikiwa zimebaki siku chache kupiga kura, kijana mmoja mwenye umri unaokadiriwa kuwa miaka 28, maarufu kwa jina la KIJOKA, aishiye eneo la Mbagala- Charambe, amejikuta akipata ajali kwa kuvunjika vibaya mguu wake wa kulia baada ya kuanguka wakati akipandisha bendera ya CCM juu ya mti mrefu.

Ndio ataijua ccm akifika hospital dawa hakuna
 
Zikiwa zimebaki siku chache kupiga kura, kijana mmoja mwenye umri unaokadiriwa kuwa miaka 28, maarufu kwa jina la KIJOKA, aishiye eneo la Mbagala- Charambe, amejikuta akipata ajali kwa kuvunjika vibaya mguu wake wa kulia baada ya kuanguka wakati akipandisha bendera ya CCM juu ya mti mrefu.
Kijoka yafaa angevunjika yote miwili ndio angepata raha kamili ya hao bwana zake waliomtuma
 
Hadi miti inaichukia ccm?.... kweli nature imeamua kuwaadhibu
Mashetani wakubwa ninyi. Maana nyie mmelipwa ili kumsafisha fisadi aliyejinyea lowasa, mtakoma subirini atakaposhindwa
 
.. Ritz...faiza foxy.. Mudawote na magamba wengine nendeni m kam saidia gamba mwenzenu huko mbagala
mrangi wewe ni mpumbavu na lofa. Dr Magufuli ndiye rais wako utake usitake, na ukijifanya kuandamana safari hii nadhani umeone mziki ulivyo murua wa migari ya washa washa. Na hivi mmemtukana hata mwamunyange lazima mtiwe adabu nyumbu nyie
 
Last edited by a moderator:
Zikiwa zimebaki siku chache kupiga kura, kijana mmoja mwenye umri unaokadiriwa kuwa miaka 28, maarufu kwa jina la KIJOKA, aishiye eneo la Mbagala- Charambe, amejikuta akipata ajali kwa kuvunjika vibaya mguu wake wa kulia baada ya kuanguka wakati akipandisha bendera ya CCM juu ya mti mrefu.
Kwa mbiku, Ikulu au machinjioni..??
 
mrangi wewe ni mpumbavu na lofa. Dr Magufuli ndiye rais wako utake usitake, na ukijifanya kuandamana safari hii nadhani umeone mziki ulivyo murua wa migari ya washa washa. Na hivi mmemtukana hata mwamunyange lazima mtiwe adabu nyumbu nyie

hamtupati ng'oo na hayo magari yenu ya kuwasha. Tutawang'oa KISAYANSI tu.
 
Last edited by a moderator:
Mi simwonei huruma kwakuwa amechagua chama chenye laana ya waasisi wake, kinachochukiwa na Watanzania ila kinalazimisha kutawala kwa mbinu chafu. Jitu kama hili linafaa adhabu kubwa zaidi. MOI wafanye mambo yao kama kawaida yao
Dah! Hii thread ni ya kusikitisha lakini comments za humu mimi nashindwa kujizuia kucheka....
MOI wafanye yao kwa hiyo?!!
 
Na Mtatuchukia Sana Mwaka Huu.
Ccm Mbele Kwa Mbele,
tumeipenda Wenyewe Na Mvimbe Mpasuke,
wapinzani Msome Namba Eeh Ccm Mbele Kwa Mbeleeee!!

UPDATES:
Maeneo Na Mitaa Ya Mwembeyanga,mwembeladu,sandali,tandika,temeke,na Maeneo Yanayozunguka Viwanja Vya Mwembeyanga,tayari Kumeshachafuka Kwa Rangi Ya Kijani Na Njano.
Watu wamejiandaa,wamedhamiria,wamepania,wanania Na Wapotayari Kumpokea Rais Wao Wa Awamu Ya 5 Mh.John P Magufuli..
Picha Zitaletwa Na R.B
We gamba chunga kauli yako hiyo
 
mrangi wewe ni mpumbavu na lofa. Dr Magufuli ndiye rais wako utake usitake, na ukijifanya kuandamana safari hii nadhani umeone mziki ulivyo murua wa migari ya washa washa. Na hivi mmemtukana hata mwamunyange lazima mtiwe adabu nyumbu nyie
Zichi wee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom