Avunjika mguu akipandisha bendera ya CCM mtini

Avunjika mguu akipandisha bendera ya CCM mtini

tumwonee huruma jamani, bado ni kijana huenda akipona atajitambua..

Mi simwonei huruma kwakuwa amechagua chama chenye laana ya waasisi wake, kinachochukiwa na Watanzania ila kinalazimisha kutawala kwa mbinu chafu. Jitu kama hili linafaa adhabu kubwa zaidi. MOI wafanye mambo yao kama kawaida yao
 
Pole Sana Aliyevunjika.

Updates:
Mitaa Ya Mwembeyanga Tayari Kumeshachafuka Rangi Za Kijani Na Njano,watu Tunangojea Time Tu,tuzuke Kiwanjani Na Sare Zetu.......
 
Tusifike huko,tutofautiane tu kimtazamo lkn tusichukiane

Namchukia anayeishabikia CCM maana who knows?Kura yake moja inaweza kubadili matokeo tukapitia kipindi kingine kigumu chini ya uongozi wa CCM.
Na wafe tu.....
 
Namchukia anayeishabikia CCM maana who knows?Kura yake moja inaweza kubadili matokeo tukapitia kipindi kingine kigumu chini ya uongozi wa CCM.
Na wafe tu.....

Na Mtatuchukia Sana Mwaka Huu.
Ccm Mbele Kwa Mbele,
tumeipenda Wenyewe Na Mvimbe Mpasuke,
wapinzani Msome Namba Eeh Ccm Mbele Kwa Mbeleeee!!

UPDATES:
Maeneo Na Mitaa Ya Mwembeyanga,mwembeladu,sandali,tandika,temeke,na Maeneo Yanayozunguka Viwanja Vya Mwembeyanga,tayari Kumeshachafuka Kwa Rangi Ya Kijani Na Njano.
Watu wamejiandaa,wamedhamiria,wamepania,wanania Na Wapotayari Kumpokea Rais Wao Wa Awamu Ya 5 Mh.John P Magufuli..
Picha Zitaletwa Na R.B
 
atagundua nini maana ya ccm ni walelwale, ccm ni mbele kwa mbele

Nitagundua Mabadiliko Ya Kweli Chini Ya John P Magufuli

UPDATES:
Mitaa Ya Mwembeyanga Imechafuka Kwa Rangi Za Kijani Na Njano.Full Yanga,hamna Namna Mtemvu Tayari Mbunge Temeke.
 
Zikiwa zimebaki siku chache kupiga kura, kijana mmoja mwenye umri unaokadiriwa kuwa miaka 28, maarufu kwa jina la KIJOKA, aishiye eneo la Mbagala- Charambe, amejikuta akipata ajali kwa kuvunjika vibaya mguu wake wa kulia baada ya kuanguka wakati akipandisha bendera ya CCM juu ya mti mrefu.

Acha aisome namba, ameipenda mwenyewe.Na hospitali hakuna dawa,....mbele kwa mbele.
 
Back
Top Bottom