Avunjika mguu akipandisha bendera ya CCM mtini

Zikiwa zimebaki siku chache kupiga kura, kijana mmoja mwenye umri unaokadiriwa kuwa miaka 28, maarufu kwa jina la KIJOKA, aishiye eneo la Mbagala- Charambe, amejikuta akipata ajali kwa kuvunjika vibaya mguu wake wa kulia baada ya kuanguka wakati akipandisha bendera ya CCM juu ya mti mrefu.
Wavunjike tu maana tumechoka!
 
Weka clip tumpe pole aache kushabikia chama cha mizimu aulize wanavyotoa kafara!
 
Yawezekana amepewa T-shirt, kofia + buku 2 au 3 tu then atapata cost ya Mapokezi ya Dharura, gharama za operation & za ku-attend clinic na hapo hujahesabia nauli za kwenda hospital.
 
Zikiwa zimebaki siku chache kupiga kura, kijana mmoja mwenye umri unaokadiriwa kuwa miaka 28, maarufu kwa jina la KIJOKA, aishiye eneo la Mbagala- Charambe, amejikuta akipata ajali kwa kuvunjika vibaya mguu wake wa kulia baada ya kuanguka wakati akipandisha bendera ya CCM juu ya mti mrefu.
Wewe unampiga mtu mtama halafu unaleta visingizio.shauri yako
 
Zikiwa zimebaki siku chache kupiga kura, kijana mmoja mwenye umri unaokadiriwa kuwa miaka 28, maarufu kwa jina la KIJOKA, aishiye eneo la Mbagala- Charambe, amejikuta akipata ajali kwa kuvunjika vibaya mguu wake wa kulia baada ya kuanguka wakati akipandisha bendera ya CCM juu ya mti mrefu.

Laana ya kushabikia chama cha mafisadi
 
zikiwa zimebaki siku chache kupiga kura, kijana mmoja mwenye umri unaokadiriwa kuwa miaka 28, maarufu kwa jina la kijoka, aishiye eneo la mbagala- charambe, amejikuta akipata ajali kwa kuvunjika vibaya mguu wake wa kulia baada ya kuanguka wakati akipandisha bendera ya ccm juu ya mti mrefu.

viroba bana...

Back
Top Bottom