Habari ,
Ninasikitika kusema kuwa jambo ambalo laonekana kuwa dogo, hilolohilo limekatisha ndoto za vijana wengi nchini Tanzania, nimefanya application ya mkopo ili niendelee na chuo kikuu, nimesoma kozi ya technical education in electrical engineering.
Lakini baada ya kufuatilia avn kila kitu kiligonga mwamba,, kwa kifupi kozi yetu haipo kwenye database ya NACTE.
Pamoja na kwamba nimesoma chuo cha serikali, na nimefanya mtihani wa baraza, NECTA.
Hivyo basi naomba kama kuna wahusika katika mamlaka hizo mbili (nacte & necta), wafanye kazi yao kwa weledi mkubwa, kama hawawezi basi hizo mamlaka hazifai kuwepo, wabuni mbinu nyingine yenye ufanisi mkubwa.
Nimeumia kiasi cha kufa kwa kupoteza gharama zangu nyingi bila mafanikio😱😱😱