Avatar ya Meezy

Abiria chunga mzigo wako dada, JF mjini!
Haya machenza ya kutangaza online tuna shaka
Sometimes ni machungwa, mengine hata ndim kali!
Chenza la kweli hapa JF ni tunalo mimi na Smile tu
anae bisha amuulize anti wangu wa ukwee AshaDii.
Mpenzi wako Asprin tapeli!We siunaona sura lilivo komaa?
Kazi kutafuna mbegu za machungwa tu, kisa? ukaguzi!
Mi nilijikatalia mapema kukaguliwa, saving myself for later

danielemilfork.jpg
Mwali huo ukomavu wake na undimu wake, mie ndio asali yangu kwenye ncha ya ulimi! na vile nautambua fika, sina hiyana kumruhusu atandaze maukaguzi kwa kila mgeni jamvini! lol, na si unajua mjini vijiti kupokezana?? lol
 
Last edited by a moderator:
Asante Uncle! You are the best! :busu:hug:
Niko njiani nakuja nyumbani for a week
May njiwa and Meezy visit me home?
Can they sleep over tuchezee PS3 yangu?

ooow welcome home my niece Mwali.

PS3 yako utacheza nayo uzuri tu ila njiwa unajua tena ana issues na jirani zake wa M4C sasa wasije wakanichomea nyumba bure hali sio nzuri kwa sasa. Kwa nini usimwalike @st ivuga au yeye hajui kucheza iyo? Huyo Meezy hebu ongea na aunt yako AshaDii labda anaweza kumruhusu ila asije tena na video cassette zake za buluu ntamchapeni.
 
Last edited by a moderator:
we unazungumzia gx 110, saiv tupo kwenye, gx 115 na verosa mkuu!

hahahaha charminglady kumbe upo kwen mambo ya magari eeh? Ila hizo gx 115 ni za muda mmoja tu na hizo gx 110 tofauti ni displacement. unapenda verosa au Grande?
 
Last edited by a moderator:
Kumbe sina Habari mimi,unajua kitambo sana sijazama Jf kabisa nipo kama mgeni hapa
 
ooow welcome home my niece Mwali.

PS3 yako utacheza nayo uzuri tu ila njiwa unajua tena ana issues na jirani zake wa M4C sasa wasije wakanichomea nyumba bure hali sio nzuri kwa sasa. Kwa nini usimwalike @st ivuga au yeye hajui kucheza iyo? Huyo Meezy hebu ongea na aunt yako AshaDii labda anaweza kumruhusu ila asije tena na video cassette zake za buluu ntamchapeni.

hehehe! usijali njiwa know`s how behave ..
 
hahahaha charminglady kumbe upo kwen mambo ya magari eeh? Ila hizo gx 115 ni za muda mmoja tu na hizo gx 110 tofauti ni displacement. unapenda verosa au Grande?

kitu verosa aisee, yan body yake mayai mayai. naipenda mbaya. . .
 
Last edited by a moderator:
yeah,bt ya kuazima ndugu yangu. cku mshikaji akifurah ananipa nanyoosha miguu. lakn cha kuazima ndugu yangu daima hakistiri makalio!

haahaaa..( (Apo unaniyeyusha nisikuombe lift)) ila if you work hard na ukiwa determined unaiweza tu nini milioni 18 bana
 
haahaaa..( (Apo unaniyeyusha nisikuombe lift)) ila if you work hard na ukiwa determined unaiweza tu nini milioni 18 bana

yeah, nilikuwa na mpango wa kukachukua ka-pension kangu niweke heshima mjini but sheria ikapitishwa. yan nawalaani mbaya!
 
Hommie... Hizo napata kreti ngapi za guinness?

hommie Asprin saa 06.23 upo chit chat? charminglady hanywi iyo makitu ila kwa wewe ni wastani wa kreti 600 ambazo ni bia 12000 ambazo ungezinywa kwa siku 3000 sawa na miaka 8.2 yaani hadi ustaafu kabisa kwa mkoloni! manina
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom