Avatar ya Meezy

Wallah huyu mjeda akiisoma hiyo red hapo unarestishwa in Piis! Mungu aepushe mbali.
We babu mbea, huna siri! :eek2:
Kitu nakunong'oneza in secret
we unaweka red, bold large? Kha!
 
hahaha ... whose quote was this -

""You weak pathetic fools! I came for your souls!"

a)Shang Tsung
b)Emperor
c)Goro
d)Sub-Zero
Emperor Shao Khan, last scene of MK I
And Rayden replies: I don't think so
(With lightening sparking in his eyes)
640px-MK_Legacy_Emperor_Shao_Kahn_by_Esau13.jpg

Hahahaha, naona upele umepata mkunaji!
 
b) Emperor

we noma ... au sababu nimetoa MCQ`s jaribu hii basi .. whose quote is this

"Shang Tsung is a great sorcerer. The wise cultivate his favor. Those who challenge his power, become his slaves"

Emperor Shao Khan, last scene of MK I
And Rayden replies: I don't think so
(With lightening sparking in his eyes)
Hahahaha, naona upele umepata mkunaji!

ah! mwali jaribu hii basi ...

" "Don't tell me you're afraid of a simple beggar?" ...
 
Ha ha ha Asprini mbona una kiburi hivyo???

Hii picha nlochora chini ya mgongo kidogo umeipataje??
Mnaingia usiku kwa watu kama gongagonga??
 
Last edited by a moderator:
Jamani, yaani mnanifanya naanza kugomba hapa ofisini bure nikidhani niko home.
Nimedhani wamebadilisha taarifa ya habari wakaweka katuni

Haya makatuni ya kina benteni, enyumangasosi na gweni haya yananinyimaga raha kabisa

Emperor Shao Khan, last scene of MK I
And Rayden replies: I don't think so
(With lightening sparking in his eyes)
640px-MK_Legacy_Emperor_Shao_Kahn_by_Esau13.jpg

Hahahaha, naona upele umepata mkunaji!
 
we noma ... au sababu nimetoa MCQ`s jaribu hii basi .. whose quote is this

"Shang Tsung is a great sorcerer. The wise cultivate his favor. Those who challenge his power, become his slaves"
Is this Goro to Kanu? while having diner?
Kanu is enjoying a HUGE turkey leg?

images

ah! mwali jaribu hii basi ...

" "Don't tell me you're afraid of a simple beggar?" ...
Raiden challeging Liu Kang to a fight after Liu kang dismissed Raiden as a simple beggar.
This scene is exactely 10 minutes after the opening scene of MK I
 
Jamani, yaani mnanifanya naanza kugomba hapa ofisini bure nikidhani niko home.
Nimedhani wamebadilisha taarifa ya habari wakaweka katuni

Haya makatuni ya kina benteni, enyumangasosi na gweni haya yananinyimaga raha kabisa
Konnie, we ni old generation zaidi bwana!
Hata hawa huwajui?
the movie is for the born in the 80s,
the game is for the born in the 90s
 
Is this Goro to Kanu? while having diner?
Kanu is enjoying a HUGE turkey leg?

images

Raiden challeging Liu Kang to a fight after Liu kang dismissed Raiden as a simple beggar.
This scene is exactely 10 minutes after the opening scene of MK I

mwali unagonga mulemule usinambie hii ipo kichwani must have a lil help .. btw! reptile nilikuwa simpendi acha nikimbie jukwaa la siasa! BRB!
 
njiwa, ulicheza Shaolin Monk kwenye PS2? Meezy wewe je?
"...Earth has been speared but Shang Tsung is a poor loser..."
 
Last edited by a moderator:
mwali unagonga mulemule usinambie hii ipo kichwani must have a lil help .. btw! reptile nilikuwa simpendi
Hii ipo kichwani, it is one of my fave movies yaan.
Changa na video games, hasa Shaolin Monk, uwiiii!
Hata mimi nilikua sipoendi special moves zake bwana
Mara ateme mimate, mara a-turn invisible, aaaah!
 
Nikilambwa ban usisahau kumwambia hommie Kaizer aandae maandamano kama CHADEMA. Hatuogopi polisi mpaka kieleweke. Mods wana BAN sisi tuna MUNGU.
nimekupata hubby! najiandaa kuandaa maandamano ya Natalia, lol! ni balaa vibaya!
 
Last edited by a moderator:
Hii ipo kichwani, it is one of my fave movies yaan.
Changa na video games, hasa Shaolin Monk, uwiiii!
Hata mimi nilikua sipoendi special moves zake bwana
Mara ateme mimate, mara a-turn invisible, aaaah!

Mie hadi theme song yake nimeweka ndio ringing tone kwenye simu yangu

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom