Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,798
Do I need to say more...
jina nilichugua kwa kuwa ninashikilia nafasi kubwa sana ktk jamhuri ya muuungano kama obama wa muungano wa majimbo ya amareka
avatar ya nyerere ni kwa kuwa nakubalika kwa watanzania kama nyerere
Kwa kweli mi hata cjui ilikuwaje nikachagua hiyo username na kwa avatar pia cjui
NYEHUNGE ni sehemu ninayotokea. Avatar inaonesha utaifa wangu.