miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Sasa ukiweka avatar ya maua inakuwa ngumu kujua wataka pesa...
Yaani ulitakiwa uweke bonge la fuko la hela hapo...
Aya nitafanya hivyo
Sasa ukiweka avatar ya maua inakuwa ngumu kujua wataka pesa...
Yaani ulitakiwa uweke bonge la fuko la hela hapo...
mimi najiita Iron lady kwa sababu najiamini sipelekeshwi jasiri na imara na yale ninayoyata kuyafanikisha huwa sipumziki hadi niyafanikishe haijalishi ni magumu kiasi gani au ni kikwazo gani nitakachokutananacho.
siku zote huchagua picha yenye kuonesha mwanamke imara na jasirikwa muonekano wa nje wa haraka. siku zote huchagua picha ya mwanamke aliyeshika kisu,panga,shoka,risasi na siku zote huweka wanawake ambao bila kuuliza utawaona ni wababe na wanaojimudu yani ukimchokoza tu unae. lakini huchagua wanawake ambao katika filamu hizo wanazotoka ni leading character na kwa sababu yao wengi wamepona.
Nimekuwa nikiangalia na kushangaa kwa muda mrefu, avatar na majina tunayoyachagua yanatokana na nini hasa? unakuta mtu kaweka avatar ya jicho moja au kichwa nazi, mara avatar ina pengo, huwa najiuliza hivi leo Mungu anasema kuanzia leo uwe kama avatar yako sijui utafanya nini.
Watapona walioweka avatar za warembo, sijui itakuwaje aliyeweka avatar ya kike na yeye ni mwanaume.
Hebu tufunguke ilikuwaje ukachagua avatar na jina hilo.
Binafsi nilichagua jina la JEKI likiwa na maana nakuja katika JF kuwapiga jeki wasiojiweza kama vile jeki inavyomsaidia mtu aliyeharibikiwa na gari lake, avatar nayo ikawa jeki yenyewe.
Wewe je?
Kwa kweli mi hata cjui ilikuwaje nikachagua hiyo username na kwa avatar pia cjui