Murukulazo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 574
- 221
Mimi jina langu lina maana moja kuu,ni pale nilipozaliwa na kukulia.....
nimeamini dada yangu.
Msalani ninni?
mwanamke ameumwa kuwa vp?umefanya nikuogope, mwanamke hakuumbwa kuwa katili kiasi hicho.
Nimekuwa nikiangalia na kushangaa kwa muda mrefu, avatar na majina tunayoyachagua yanatokana na nini hasa? unakuta mtu kaweka avatar ya jicho moja au kichwa nazi, mara avatar ina pengo, huwa najiuliza hivi leo Mungu anasema kuanzia leo uwe kama avatar yako sijui utafanya nini.
Watapona walioweka avatar za warembo, sijui itakuwaje aliyeweka avatar ya kike na yeye ni mwanaume.
Hebu tufunguke ilikuwaje ukachagua avatar na jina hilo.
Binafsi nilichagua jina la JEKI likiwa na maana nakuja katika JF kuwapiga jeki wasiojiweza kama vile jeki inavyomsaidia mtu aliyeharibikiwa na gari lake, avatar nayo ikawa jeki yenyewe.
Wewe je?
du nimekomaID inatumiwa na watu wanane mkuu...ndio maana ID hii ina mawazo unpredictable mara zote!!!
nimeipenda avatar yakoId yangu ni jina langu kwa kifupi, wanavyoniita mtaani. No comment on my avatar!
Aliimba wimbo wa mukhomboti, ni wa kutoka hukooo kwa madiba JEKI
Mimi avatar yangu ni kama inavyojionesha, ram ni kifupi cha majina ya watoto wangu na baba yao