Avatar na jina lako, ulifikiria nini?

Avatar na jina lako, ulifikiria nini?

...ngoja aje SPYMATE atueleze avatar yake inamaana gani...
 
Last edited by a moderator:
Kajirita maana yake ni kiwembe!

Natumaini kazi ya kiwembe wana_JF wote mnaijua!
Asiyejua anaruhusiwa kuuliza!!
 
Mungu ana mambo mengi yakufanya hawezi shughulika na vichwa mchungu vya humu JF,watu umsingizia Mungu mara hivi mara vile,wangejua hana time na Inshu zingine za ajabu ajabu.
 
Kajirita maana yake ni kiwembe!

Natumaini kazi ya kiwembe wana_JF wote mnaijua!
Asiyejua anaruhusiwa kuuliza!!

wembe una kazi nyingi sana, watu wanatumia kunyoa ndevu, mafundi cherehani wanakatia vitambaa, vibaka wanatumia kama siraha wakati wa uporaji. Wewe umeweka kwa maana ipi?
 
wembe una kazi nyingi sana, watu wanatumia kunyoa ndevu, mafundi cherehani wanakatia vitambaa, vibaka wanatumia kama siraha wakati wa uporaji. Wewe umeweka kwa maana ipi?

Vizuri!

Kazi zote halali unazozifahamu,kiwembe hiki zinakihusu!

Generally kazi ya kiwembe hiki ni kufanya marekebisho na kusafisha palipo pachafu!!
 
Af kuna mtu anajiita ..... Sijui ht jina lake linatamkwaje
 
Last edited by a moderator:
BINARY NO is 0,1 hii ni lugha ya computer mf. 01100111111001 hiyo computer ukiandika neno yenyewe inaconvert ktk mfumo wa zero n one then inatoa kitu ktk lugha yako halisi.. Avater sijàweka sababu SINA thats al
 
Back
Top Bottom