Avatar na jina lako, ulifikiria nini?

Avatar na jina lako, ulifikiria nini?

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,967
Nimekuwa nikiangalia na kushangaa kwa muda mrefu, avatar na majina tunayoyachagua yanatokana na nini hasa? unakuta mtu kaweka avatar ya jicho moja au kichwa nazi, mara avatar ina pengo, huwa najiuliza hivi leo Mungu anasema kuanzia leo uwe kama avatar yako sijui utafanya nini.

Watapona walioweka avatar za warembo, sijui itakuwaje aliyeweka avatar ya kike na yeye ni mwanaume.

Hebu tufunguke ilikuwaje ukachagua avatar na jina hilo.

Binafsi nilichagua jina la JEKI likiwa na maana nakuja katika JF kuwapiga jeki wasiojiweza kama vile jeki inavyomsaidia mtu aliyeharibikiwa na gari lake, avatar nayo ikawa jeki yenyewe.

Wewe je?
 
jina nilichugua kwa kuwa ninashikilia nafasi kubwa sana ktk jamhuri ya muuungano kama obama wa muungano wa majimbo ya amareka
avatar ya nyerere ni kwa kuwa nakubalika kwa watanzania kama nyerere
No kofia ya man U kichwani mwa nyerere inauhusiano gani? usiniambie nikwasababu wewe ni mpenzi wa Man U na wala usithubutu kusema Man U inakubalika kama Nyerere itakuwa ni kosa. Njoo kikamilifu
 
Mimi najiita Mromboo kwasababu nimetokea Rombo na mimi ni Mrombo. Hiyo picha ya mgomba ni Kibungara achacho kinatengeneza mbege safi sana. kama una ugeni kama wa Ukwe lazima utengeneze mbege ya Kibungara peke yake ambayo ukiinywa hata bia unaacha unaendelea na mbege ya kibungara. kiujula jina na avata yangu inaonyesha uhalisia wangu. unasemaje mzee sirluta
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mimi niliiga tu nikajua ni fasheni kumbe Mungu akikasirika ina madhara eeh?
 
mkuu kweli umetoa uhalisia wenyewe, kuna watu nawasubilia hapa sijui watanyosha vipi maelezo yaweze kuendana, wengi wanakurupuka tu kuchagua jina na avatar.
 
mkuu kweli umetoa uhalisia wenyewe, kuna watu nawasubilia hapa sijui watanyosha vipi maelezo yaweze kuendana, wengi wanakurupuka tu kuchagua jina na avatar.
Sasa JEKI malizia hiyo label ya Man u kwa Mwl nyerere
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mimi niliiga tu nikajua ni fasheni kumbe Mungu akikasirika ina madhara eeh?

pole sana, ila hujachelewa unaweza kufanya marekebisho, hiyo avatar yako jamaa katoa kweli macho, mtu akikuuliza una maana gani utaishia kutoa macho tu kama avatar yako.
 
Najiita CleverKING sababu naamini Mungu amenipendelea na kunipa akili za kutatua matatizo na kutoa maoni ya ku solve problems,namshukuru sana Mungu,sijaamua bado kuweka avatar
Thanks.
 
Sasa JEKI malizia hiyo label ya Man u kwa Mwl nyerere

Mkuu Mromboo hiyo label ya Man U ni mtego kwa sasa, labda aliiweka kipindi kile timu yetu ikiwa ipo chati, maana hata mwaka wa jamaa kujiunga JF bado hauwezi kusaport kikamilifu maana ndo kipindi tumeanza kushuka. Ila Di Maria katua machinjioni.
 
Last edited by a moderator:
No kofia ya man U kichwani mwa nyerere inauhusiano gani? usiniambie nikwasababu wewe ni mpenzi wa Man U na wala usithubutu kusema Man U inakubalika kama Nyerere itakuwa ni kosa. Njoo kikamilifu
sorry kwa kutokamilisha maelezo zamani nilikuwa na ndoto za kuchezea man united enzi za kina boby charlton CBE mshindi wa pekee wa baloon O'dor kutoka england alikuwa anapenda sana kuvaa bosholi(kofia kama hii)
kwa hiyo naienzi ndoto yangu japo haijafanikiwa
 
Najiita CleverKING sababu naamini Mungu amenipendelea na kunipa akili za kutatua matatizo na kutoa maoni ya ku solve problems,namshukuru sana Mungu,sijaamua bado kuweka avatar
Thanks.

Anhaaa, hongera sana mkuu. Basi kuwa makini wakati wa kuchagua avatar ili iendane na uhalisia wa jina lako. Siyo mtu kaweka jina zuri lakini avatar ovyo kabisa.
 
Nimekuwa nikiangalia na kushangaa kwa muda mrefu, avatar na majina tunayoyachagua yanatokana na nini hasa? unakuta mtu kaweka avatar ya jicho moja au kichwa nazi, mara avatar ina pengo, huwa najiuliza hivi leo Mungu anasema kuanzia leo uwe kama avatar yako sijui utafanya nini, watapona walioweka avatar za warembo, sijui itakuwaje aliyeweka avatar ya kike na yeye ni mwanaume. Hebu tufunguke ilikuwaje ukachagua avatar na jina hilo. Binafsi nilichagua jina la JEKI likiwa na maana nakuja katika JF kuwapiga jeki wasiojiweza kama vile jeki inavyomsaidia mtu aliyeharibikiwa na gari lake, avatar nayo ikawa jeki yenyewe. WEWE JE????

Mie ni.mtumiaj mzur wa fb na avatar yangu n mimi halisi

Mamaafacebook
 
Last edited by a moderator:
sorry kwa kutokamilisha maelezo zamani nilikuwa na ndoto za kuchezea man united enzi za kina boby charlton CBE mshindi wa pekee wa baloon O'dor kutoka england alikuwa anapenda sana kuvaa bosholi(kofia kama hii)
kwa hiyo naienzi ndoto yangu japo haijafanikiwa

Nimekukubali kweli wewe Obama, umekwepa vizuri huo mtego.
 
Nampenda sana huyu dada kwenye avatar yangu, kwa kudhihirisha upendo wangu kwake kuna kitu nilifanya kumuenzi but sitapenda kuweka hadharani. "She is my role model" ID inanielezea jinsi nilivyo!
 
Mie ni.mtumiaj mzur wa fb na avatar yangu n mimi halisi

Mamaafacebook

Ila avatar yako kama inapingana, navyojua fb ina mambo ya ajabu sana, nikikuona kwa picha unaonekana ni mcha Mungu mzuri, angalia fb isije ikakubadilisha maana wahuni wamejaa huko.
 
nimekuwa nikiangalia na kushangaa kwa muda mrefu, avatar na majina tunayoyachagua yanatokana na nini hasa? Unakuta mtu kaweka avatar ya jicho moja au kichwa nazi, mara avatar ina pengo, huwa najiuliza hivi leo mungu anasema kuanzia leo uwe kama avatar yako sijui utafanya nini, watapona walioweka avatar za warembo, sijui itakuwaje aliyeweka avatar ya kike na yeye ni mwanaume. Hebu tufunguke ilikuwaje ukachagua avatar na jina hilo. Binafsi nilichagua jina la jeki likiwa na maana nakuja katika jf kuwapiga jeki wasiojiweza kama vile jeki inavyomsaidia mtu aliyeharibikiwa na gari lake, avatar nayo ikawa jeki yenyewe. wewe je????

unakumbuka uliipata wapi???
 
Nampenda sana huyu dada kwenye avatar yangu, kwa kudhihirisha upendo wangu kwake kuna kitu nilifanya kumuenzi but sitapenda kuweka hadharani. "She is my role model" ID inanielezea jinsi nilivyo!

sina ubishi na wewe hata kidogo kwa jinsi navyokujua, hebu na mimi niambie huyo dada ana sifa gani nzuri maana mimi hata kumjua tu simjui.
 
Back
Top Bottom