Avatar na jina lako, ulifikiria nini?

Avatar na jina lako, ulifikiria nini?

sorry kwa kutokamilisha maelezo zamani nilikuwa na ndoto za kuchezea man united enzi za kina boby charlton CBE mshindi wa pekee wa baloon O'dor kutoka england alikuwa anapenda sana kuvaa bosholi(kofia kama hii)
kwa hiyo naienzi ndoto yangu japo haijafanikiwa
Basi endelea kulala huenda ndoto yako ikakamilika ndugu obama wa bongo
 
Nimekuwa nikiangalia na kushangaa kwa muda mrefu, avatar na majina tunayoyachagua yanatokana na nini hasa? unakuta mtu kaweka avatar ya jicho moja au kichwa nazi, mara avatar ina pengo, huwa najiuliza hivi leo Mungu anasema kuanzia leo uwe kama avatar yako sijui utafanya nini, watapona walioweka avatar za warembo, sijui itakuwaje aliyeweka avatar ya kike na yeye ni mwanaume. Hebu tufunguke ilikuwaje ukachagua avatar na jina hilo. Binafsi nilichagua jina la JEKI likiwa na maana nakuja katika JF kuwapiga jeki wasiojiweza kama vile jeki inavyomsaidia mtu aliyeharibikiwa na gari lake, avatar nayo ikawa jeki yenyewe. WEWE JE????
Naomba unipige jeki mwana JF hapa.
 
Mimi najiita Mromboo kwasababu nimetokea Rombo na mimi ni Mrombo. Hiyo picha ya mgomba ni Kibungara achacho kinatengeneza mbege safi sana. kama una ugeni kama wa Ukwe lazima utengeneze mbege ya Kibungara peke yake ambayo ukiinywa hata bia unaacha unaendelea na mbege ya kibungara. kiujula jina na avata yangu inaonyesha uhalisia wangu. unasemaje mzee sirluta
Rombo ya wapi? rombo kubwa usije kuta ndugu zetu ni ndugu
 
jina nilichugua kwa kuwa ninashikilia nafasi kubwa sana ktk jamhuri ya muuungano kama obama wa muungano wa majimbo ya amareka
avatar ya nyerere ni kwa kuwa nakubalika kwa watanzania kama nyerere

khaaaaaaa! umentisha, sisemi tena nlichotaka!
 
Mi ilikua ukinitibua naondoka naenda zangu kuzurula peke yangu ndo mana nikajiita mzurulaji na avatar nimeweka hyo ili kuonesha upeeke ninaopata mara nyng nilikua nachukua mbuzi na kutimka zangu porini
 
My username naipenda sana am really princess blessed one so special to me ukimalizia na sayuni ina connect spiritully i like my username my princess the one and only
 
Ila avatar yako kama inapingana, navyojua fb ina mambo ya ajabu sana, nikikuona kwa picha unaonekana ni mcha Mungu mzuri, angalia fb isije ikakubadilisha maana wahuni wamejaa huko.

Nakushaur hebu ingia fb kama upo search siti juma dago halaf cheki pics uone kama.zina tofaut na hapa


Cc. CYBERTEQ
 
Last edited by a moderator:
Humjui huyo dada?

sina ubishi na wewe hata kidogo kwa jinsi navyokujua, hebu na mimi niambie huyo dada ana sifa gani nzuri maana mimi hata kumjua tu simjui.
 
Mi hata sielewi ilikuwaje nikawa na hii username na hii avatar.

Ilitokea kama ajali. Kama kuna uwezekano wa kubadili ningebadili.
 
Naomba Matege aje hapa, nimemuuliza sana hili swali hajanipa majibu ya kueleweka
 
Last edited by a moderator:
Kuna mzee mmoja ana username la ajabu na sidhan kama kutatokea kama yeye.

anaitumia .....

CC Tyta JEKI
 
Last edited by a moderator:
Anhaaa, hongera sana mkuu. Basi kuwa makini wakati wa kuchagua avatar ili iendane na uhalisia wa jina lako. Siyo mtu kaweka jina zuri lakini avatar ovyo kabisa.

Asante sana Ndugu,
Ushauri wako nitaufanyia kazi.
 
Back
Top Bottom