AU's dilemna and the Libyan crisis

AU's dilemna and the Libyan crisis

But Libyan authorities insisted there had been "no attack whatsoever" on rebel forces in the city.

Spiral ... plane appeared to be shot from ground


jet5_1275391a.jpg



Eject ... pilot bails stricken jet



jet3_1275393a.jpg



Plummet ... flaming fighter jet seconds from impact





jet1_1275395a.jpg



Blast ... huge fireball erupts as plane smashes into ground

halafu hii ndege ni ya waasi.. wameidungua wenyewe kimakosa.. sasa wamebakiza ndege 2 tu
 
Mods -- peleka hii kwenye International Forum na changanya na ile nyingine ilioanzishwa huko.
 
Africa kunatendeka nini?

Leo vikosi vya ushirika vimefanya mashambulizi na kuua raia wengi,uvamizi huu ni katika kile kinachodaiwa kuwalinda raia walibya..
Haiwezekani kuua rai eti ili kuwalinda,ni kweli Ghadafi amekaa madarakani muda mrefu,na ameua rai,lakini sikubaliani na hatua yoyote ya matumizi ya nguvu kumwondoa Madrakani.

Azimio la kuivamia libya ni batili,hakuna nchi yenye kura ya turufu kwa nchi nyingine.

Natoa wito kwa Africa kuungana na kupinga uvamizi huu wa kijeshi
 
Unless Africa we become serious with our issues, we are surely destined to be taken irrelevant as we are. I for one I dont trust western countries whenever they intervene in Africa/anywhere. But for this aspect of Ghadhafi, I support them 100%!

You cannot have a dictator in power for four decades and running his country as a private company and killing your own people..and you claim sovereignty.... Again why is it that in Africa we are NEVER willing to own up our failures? We claim that we should be left alone..yet we need these same people to take us serious! Hapana here there is nothing like oil or anything..Ghadhafi is stupid chap an embarrasment to Africa! For AU capability to adress these issues? God knows!

African elites pretend that this is the western interference because they know..the people on the ground have no power to challenge status quo...you kill and maim..and you want to be left alone...high time we redifine..what sovereignty means! I say bravo, France, UK and USA!

Hit Ghadhafi and his cronies back to the stone age! Thats the only language he can understand...
 
Tatizo sio kukomeshwa, hapa bado raia watauwawa wengi zaidi, kumbuka ya Iraq.
 
Unajua Gadafi keshaua watu wangapi hadi sasa, umeyaona madege yake yanavyoshambulia raia wanaoitwa waasi. Wenye nyumba wameamua kumuondoa mpangaji, wacha wasaidiwe
 
AU wamejidhalilisha kwa lipi? alichokuwa anafanya Gaddafi ni kulinda uhuru na heshima ya nchi yake, hao unaowaita wapinzani sio zaidi ya waasi; kama mtu anabeba silaha kwa ajili ya kuitoa madarakani serekali dawa yake ni kipigo kwa kutumia silaha kama anazotumia yeye. Gaddafi alikuwa hauwi raia wa Libya alikuwa anauwa waasi Uingereza, Marekani na Ufaransa wao ndio wanauwa raia kwa mashambulizi yao. Dunia siku zote imekuwa ikipinga kuchukuliwa serekali kwa mapinduzi ya silaha inashangaza leo hii wanabariki Libya kufanyiwa hivyo! Na sisi wengine tunashangilia "kama mazuzu"
Na mtu anayeua wenzake kwa kisingizio chochote kile hata kama ni wazungu dawa yake ni kipigo cha mbwa mwitu Gaddafi atajuta.
 
Acha akomeshwe

...Mpaka sasa hivi usomapo meseji hii amekomeshwa nini zaidi ya waLibya zaidi ya 40 wasio na hatia kuuawa mbali na miundo mbinu kuharibiwa na makombora ya majambazi wa kimataifa wanaojiita Polisi wa Dunia?????
 
...Mpaka sasa hivi usomapo meseji hii amekomeshwa nini zaidi ya waLibya zaidi ya 40 wasio na hatia kuuawa mbali na miundo mbinu kuharibiwa na makombora ya majambazi wa kimataifa wanaojiita Polisi wa Dunia?????

Just wait and see, huu ni mwanzo wa mwisho wa Ghaddafi.
 
Africa kunatendeka nini?
Leo vikosi vya ushirika vimefanya mashambulizi na kuua raia wengi,uvamizi huu ni katika kile kinachodaiwa kuwalinda raia walibya..
Haiwezekani kuua rai eti ili kuwalinda,ni kweli Ghadafi amekaa madarakani muda mrefu,na ameua rai,lakini sikubaliani na hatua yoyote ya matumizi ya nguvu kumwondoa Madrakani.
Azimio la kuivamia libya ni batili,hakuna nchi yenye kura ya turufu kwa nchi nyingine
natoa wito kwa Africa kuungana na kupinga uvamizi huu wa kijeshi


Let the Western military mighty hit him back to the stone age! We cannot continue pretending to be sovereign..if we cant respond to the legitimate challenges of our people! Sovereignty requires responsibility. African elites have continued to abuse and humiliate their own people in the name of sovereignty.

Museveni's, Mugabe's, Ghadhafi's, Biya's et al..run their countries as their private companies with no accountability whatsover... If we cant negotiate with our leaders through peaceful means like ballot boxes (because they steal votes!)..what is there for us..we wananchi with no missiles and guns? Folks, it is high time our generation changed to understand the realities of our fellow compatriots. Not everything Western is good..but not everything from them is bad either. We have a stalemate in Ivory Coast. Gbabo has openly rejected AU mediation proposal and the AU is just hapless pondering another move (non existent so far). These stupid leaders...continue to make us destitutes, hopeless before the eyes of other citizens of the world, refugees and the wretched of the earth in general..yet they claim to represent us!

I dont believe that, democracy can be transfered from anywhere..but perhaps we need to start from the scratch...WE THE PEOPLE OF AFRICA have reached a point where we cant take it anymore... We can no longer continue to believe in sovereignty and right to make our decisions when those we 'elect' or those 'steal votes' to represent us cant respond to our needs. I fully understand that even China and Russia who abstained to support intervention..they did so for selfish reasons...not because they care for Libyans...In fact these two are worse than those who intervened. Because they know Ghadhafi has oil.

In Tanzania we have always believed in democracy in the right to chose our leaders..but look hw our leaders continue to insult and challenge our intellectual capability as citizens. Waziri anatibiwa nje na familia yake..wakati wanaolipa hizo gharama wanakufa hata bila kupata aspirin! And you want people to sacrifice for these kind of leaders? We are simply tired. People like Ghadhafi hawatusaidii lolote. Let them go!

Africa, we really need to get out of this old mentalities of sovereignty without responsibility or accountability. We need to think big! We shouldnt defend 'our' leaders for the sake of defending them!
 
Africa kunatendeka nini?
Leo vikosi vya ushirika vimefanya mashambulizi na kuua raia wengi,uvamizi huu ni katika kile kinachodaiwa kuwalinda raia walibya..
Haiwezekani kuua rai eti ili kuwalinda,ni kweli Ghadafi amekaa madarakani muda mrefu,na ameua rai,lakini sikubaliani na hatua yoyote ya matumizi ya nguvu kumwondoa Madrakani.
Azimio la kuivamia libya ni batili,hakuna nchi yenye kura ya turufu kwa nchi nyingine
natoa wito kwa Africa kuungana na kupinga uvamizi huu wa kijeshi

1. Kwanza. Walibya na Gaddafi wao wanajitambua kama Waarabu, na si Waafrika kama akili yako inavokutuma. hata maamuzi ya kumuadabisha yamechukuliwa kati ya viongozi wa EU, USA na Arab League. Kama AU wanataka kuingilia labda wafanye hivyo kama mamluki.

2. Si Ghaddafi huyu huyu aliyemtoa muuwaji wa wahanga wa Pan-Am Air kwenye anga ya Lokabie? Wahanga wengi wa ajali ya Pan-Am Air walikuwa Mayahudi. Au umesahau? Si alikula njama na BP ili wapate dili za kuchimba mafuta? Unajua kilichowapata BP kwenye Gulf ya Mexico? unajua kilichompata Gordon Brown?

Gaddafi anakula mshahara wa dhambi yake. Dhambi ya kucheza na taifa la Mungu Israel.

One thing am sure of: lazima Gaddafi atavuliwa kama samaki. atake asitake.

Tartiiibu namuona gaddafi anaingia kwenye orodha ya kina Milosevic, Saddam Hussein, Charles Taylor, you name them.
 
Wakoloni wanaamua kutumia nguvu baada ya collbaoration techniques kushindwa kazi. Tza, DRC na kwingineko collabarotaion ilishafanikiwa ndo maaana wanachimba madini bila wasiwasi kabisa. Africa tunakazi ya kujikomboa tena. Wakoloni wamesharudi na walikuwa wanatamani Libya sana kwa sababu ya Mafuta. Ni afadhali Afrika nzima tuakaanza vita tu na hawa wajangili wa utajiri wetu, Marekani na Ulaya. Siyapendi
 
Wakuu.
Kuna msemo huu.
Ukiona vyaelea vimeundwa. Natumai munaelewa maana yake. Afrika au sisi waafrika kwa kutaka kujilinganisha na US au EU kwa ufanisi wa Taasisi zao ni kuukataa ukweli.
Mtoto anapozaliwa hawezi kukimbia tu, kutimua mbio.Ni lazima atambae, aende tata na aanze kupiga mwendo, halafu mwendo mdundo!

Katika Afrika yetu leo tumeanza utamaduni wa chaguzi za kidemokrasia katika baadhi ya nchi.Zamani ilikuwa ni mapinduzi ya kijeshi kila wiki.

Pia ilikuwa ni kawaida kwa viongozi waliopigania uhuru au walioongoza madai ya uhuru, unapopatikana uhuru huwa wanataka kubaki madarakani kwa muda mrefu. Leo kuna nchi nyingi hapa Afrika zinaweka ukomo wa mihula miwili au mitatu kwa rais.

Tusisahau, west walikuwa wanachapana mpaka walipoona wakipigana vita ya Tatu basi hakuna nchi ingebakia, ndio wakaanzisha umoja na mashirikiano kidogo kidogo. EEC mpaka EU. Kutoka wanachama 6 hadi 27. Taasisi zao hazikutoka ardhini tu kama uyoga. Kama hatuyazingatii haya na tunataka AU iwe na uwezo na ufanisi kama wa EU au US basi ni Over expectation na ndio maana dissappointment yetu inakuwa ni kubwa pale tunapoona AU haifanyi vile tunavyotaka.

Hata na ugoi ugoi wa Taasisi hii ya AU bado ni muhimu kuwepo lakini zaidi ni muhimu kujikomaza ili kufikia lengo na matarajio ya waafrika. Kila kitu kinachukua muda.
Tuwe tunaziponda taasisi zetu, sawa tufanye hivyo lakini pia ni lazima tuwe tayari kushiriki katika kuzijenga taasisi zetu kwa kutoa mawazo yetu, kwa kuwa-pressure viongozi wetu na kuwatia moyo pia. Isiwe lawama tu saa zote na kuwaponda.

Tunapojifanya kuwa hatuhusiki katika kuzihuisha taasisi zetu lakini tutegemee matunda yake tu ni kujidanganya na wala hawa EU na US hawatakuja kutuundia Taasisi zetu. Wao wakija ni kujaribu kuzidhoofisha ili tuendelee kuwa hatujitambui na tujione hatuna tunaloweza bila ya wao. jee kuna utumwa mbaya zaidi ya huu. Mtu kujiona dhaifu? Tuamke.

Hatupo pale tunapotaka tuwe lakini kwa umoja wetu na kazi ngumu, maarifa, juhudi na imani basi tutafika tukutakako.
Kama AU hatuitaki..je tunaitaka ECOWAS au AEC?

"Kuikamilisha Safari ya maili elfu ni lazima mtu aanze na hatua ya kwanza" huu ni msemo wa kichina.
 
wamarekani wahuni tu, washenzi na wavamizi na wenye kuingilia mambo ya ndani ya nchi za wengine

kwa kweli nnasikitika sana kwa yanayotokea na jinsi ambavyo yanaendeshwa. yaani dhuluma ilio wazi kuna nchi zina matatizo zaidi ya libya mbona hamjavamia


wamerekani mbwa washenzi na wafuasi wao

Mkuu mbona unakuwa na Myopia kiasi hicho?, Shughuli inafanywa na UN hii na kati ya walipiga kura ya kuidhinisha ni Nigeria, South Africa, Gabon. Hawa wao wanatekeleza kazi waliyotumwa tu.

Unajua ukiangalia sana wanaolaani kichapo hiki ni viongozi wa Afrika waliotaka kuset precedence baada ya Gaddafi kuendelea kutawala kwa kuua raia wasio na hatia na kuitumia wao kama mfano kuwatishia wananchi wa nchi zao ili waendelee kuwatawala kwa nguvu. Kichapo hiki kinatoa somo kwa wenye mawazo kama Gaddafi na Tanzania tukiwemo kuwa dola haiwezi kuwa ndiyo source of power bali ni wananchi kwa ridhaa yao. Pia inaongeza ujasiri kwa wale watakao taka kupinga serikali za kidikteta kuwa theya are not alone, hata kama watauwawa sheria itachukua mkondo wake.

Ule wakati wa kuua wananchi kama ilivyotokea Pemba 2001, Mwembechai 1998 na Arusha 2011 na hakuna accountability yoyote sasa unatakiwa kukoma. Ninaamini kabisa kuwa watawala wa Afrika wanaong'ang'ania madaraka kwa kuchakachua hii attack ya Libya itawatisha sana na kuwatia kiwewe.
 
Africa kunatendeka nini?
Leo vikosi vya ushirika vimefanya mashambulizi na kuua raia wengi,uvamizi huu ni katika kile kinachodaiwa kuwalinda raia walibya..
Haiwezekani kuua rai eti ili kuwalinda,ni kweli Ghadafi amekaa madarakani muda mrefu,na ameua rai,lakini sikubaliani na hatua yoyote ya matumizi ya nguvu kumwondoa Madrakani.
Azimio la kuivamia libya ni batili,hakuna nchi yenye kura ya turufu kwa nchi nyingine
natoa wito kwa Africa kuungana na kupinga uvamizi huu wa kijeshi

Haukubaliani na gadaffi kuua watu,unataka nini kifanyike ili asiue raia wa libya?

Acha kubweka wewe,acha apewe mambo
 
Back
Top Bottom