matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,511
JF wangechoma thread na watu wengi sana.
Sasa mkuu huyo dada aliyeuawa amechoma Quran? 😭😭 Astaghfirullah 😭Kwani hao wamewezaje ? Si unaona kuna kisa ,yule aliyekuwa anachoma Qur an mpaka kupigwa bastola ...Kiufupi ,hao jamaa ni wanafiki sana ,angalia wanavyounguza Qur an kila siku ..Ulishawahi kuona nchi za kiislam wkimtukana huyo yesu wao? Pale Iran hauwezi kumtukana Yesu wakakuacha salama .
Wanatakiwa wakome kuleta kejeli .
Nimekuelewa inamaana dogo alitaka kumuoa mtu anaemzidi umri kama ilivyokuwa kwa bi hadja wakiwa wanazungumza kama utani hapo hujasema alisema nini kuhusu mtume?Nimejaribu kupitia habari iyo kwa uchache
Kumbe ulikuwa utani wa mama lishe na mteja wake kahuni ka mtaa
Akawa kijana anachombeza kiutani mshangazi ili akikubali Dogo atimize sunna ya mtume na bi khadija.!
Mshangazi ukajibu ulivyojibu wadau wa pembeni ndio wakawa hawajaridhishwa na majibu aliyojibiwa Dogo na mshangazi, balaa likaanzia hapo
Sitetei kilichofanywa ila nawashangaa humu wanao kashifu uislamu. Wangesikia ni mwizi kauwawa kwa moto wangepongeza kweli kweli.Mwanamke mmoja ameuawa kwa kuchomwa moto na kundi la watu katika jimbo la Niger Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutuhumiwa kumkufuru Mtume Muhammad (S.A.W).
Polisi walilaani mauaji ya mwanamke huyo aliyetambuliwa katika vyombo vya habari vya ndani kama mchuuzi wa chakula anayeitwa Amaye .
Polisi wamesema kuwa uchunguzi unaendelea ili kuwakamata na kuwafungulia mashtaka wahusika.
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International lilisema kuwa kufuru mara nyingi hutumiwa kutatua matokeo ya kibinafsi kaskazini mwa Nigeria.
Mnamo 2022, mwanafunzi Deborah Samuel alipigwa na kuchomwa moto akiwa hai katika jimbo la Sokoto baada ya kushtakiwa kwa kutoa maoni ya kufuru.
View attachment 3461637
Wapuuzi na imani yao nayo ni ya kipuuzi.Nimejaribu kupitia habari iyo kwa uchache
Kumbe ulikuwa utani wa mama lishe na mteja wake kahuni ka mtaa
Akawa kijana anachombeza kiutani mshangazi ili akikubali Dogo atimize sunna ya mtume na bi khadija.!
Mshangazi ukajibu ulivyojibu wadau wa pembeni ndio wakawa hawajaridhishwa na majibu aliyojibiwa Dogo na mshangazi, balaa likaanzia hapo
Angalia kuna kisa hapo...So wamemuua bila ya sababu? Kiufupi heshimu wengine ,hata ukimtukana Raisi utapata kichapo mpaka muwe na heshima .Sasa mkuu huyo dada aliyeuawa amechoma Quran? 😭😭 Astaghfirullah 😭
Unatetea upuuzi.Moja, Kitendo kilichofanyika n chakikatili
Mbili, nawasihi wakristo wote mjiepushe na kujeli zinazo epukika, kashfa na dharau Kwa kitu ambacho ww huamini lkn mwenzio anaamini sio SAWA.
Mwisho, imekua rahisi mkristo kukashfu uislamu Kwa njia ya matusi, kejeli na mizaha kuliko hoja.
Kosoa kwa hoja utajibiwa na utajiepusha na matokeo mabaya yasiotarajiwa, mfano mzuri dada Setfree hatukani na wala akejel Iman nyingne anapanga hoja zake vzuri tu na anaeleweka
Mwisho kabsa, kuhusu sijui mambo ya pedophile kwanza jiulize bikira Maria alitolewa mahari akiwa na miaka mingapi na Joseph alikua na miaka mingapi
Nawasilisha
Kila Mtu anayo haki kuchukia kutukaniwa kitu anachokiamini hata mzazi wako unaweza chukua jukumu ww kumpigania badala ya mzazi wako mwenyewe!!!Kwaiyo Mungu wa waislamu ni powerless mpaka apiganiwe na mwanadamu yeye hana nguvu wala uwezo wa kumfanya mtu alie kufuru chochote???
We jamaa, nioneshe nilipotetea huo upuuzi unaosema?Unatetea upuuzi.
No matter what. Hakuna mwenye haki ya kumtoa mwenziye uhai kwa kisingizio cha imani.
Pili kuhusu pedophilia. Mabinti wapewe fursa ya kujiendeleza na kujikomboa kama wenzao wa kiume. UtamchumbiaJe mtoto wa miaka 9 ?! Unatamani ni kwa mtoto huyo kama si pedophilia !!.
Afrika na middle east kuna watu wa ajabu sanaAfrica hatujawahi kujielewa hata siku moja. Dini ya kiislam ukiisoma vizuri hakuna mahali inakwambia umuuwe mwenzako au umdhuru kwa njia yoyote ile eti amekufuru au ameenda kinyume na maamrisho ya Allah. Unatakiwa kumnasihi,kumpa mawaidha na kumuelekeza ili umjenge kiimani aone kwa kuna Mungu aliemuumba. Matatizo ya kuuana Africa sio kwenye dini tu ni mambo mengi sana mfano makabila,siasa,mali na mambo mengne.
Dunia nzima watu wanauana kwa mambo ya diniAfrika na middle east kuna watu wa ajabu sana
Nyie ni Manyani tu na mapua yenu mapana kama kalmat🤣Unafanya nini katikati ya manyani ,kiazi wewe?
Nawe unakufuru sivyo?Binadamu halisi anapoteza maisha kwa madai ya kumkufuru muhusika wa hadithi za kusadikika ambaye huenda hata hakuwahi kupata kutokea juu ya sura ya nchi.
Kijana kuwa na adabu , na hao mademu wenu wenye vitako kama nyanya chungu🚮Nyie ni Manyani tu na mapua yenu mapana kama kalmat🤣
Chakushangaza watoto ubakwa zaidi upande wa Ukristo kesi zimetamalaki pembe yote ya Dunia !!!Dini ya haki ipi?....hii inayoruhusu watoto wabakwe dini inayesema ukifa unaenda kupewa mabikila 70....fyuuuu
Mkuu hizi fiction stories ambazo hazina solid evidence sio za kuzipa promo kabisa. Huwezi kukatili uhai wa mwingine kwa kujifanya unampambania mtu ambaye hata uhakika kuwa alikuwepo huna na hauna nasaba naye yoyote ile.Nawe unakufuru sivyo?
Yesu au naniTatizo mtume mwenyewe ni upinde
Uko sahihi kabisa. Maendeleo Afrika na hasa Tanzania yatakuja tutakapozikana imani za zote za kuletewa na kuaminishwa. Mwogope sana ntu mweupe.Mkuu hizi fiction stories ambazo hazina solid evidence sio za kuzipa promo kabisa. Huwezi kukatili uhai wa mwingine kwa kujifanya unampambania mtu ambaye hata uhakika kuwa alikuwepo huna na hauna nasaba naye yoyote ile.
Mbona mizimu ya mababu zetu haikuhitaji watu wa kuipambania ila ukiizingua yenyewe ilikuwa inajua itashughulika na wewe kwa namna gani.
Nonsense!.Ukiendelea na kejeli lazima upate utakacho ,endelea kujificha maana ni muoga ..Ila kwa yeyote atakayeleta kejeli kwa wengine apigwe tu ..Kama huamini tuliza mdomo wako .