Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 3,048
- 6,930
Kwaiyo Mungu wa waislamu ni powerless mpaka apiganiwe na mwanadamu???Hizi stori tangu hujazaliwa dogo ,takataka umemuacha kwenu..Ukileta dharau utashughulikiwa .
Kwaiyo Mungu wa waislamu ni powerless mpaka apiganiwe na mwanadamu???Hizi stori tangu hujazaliwa dogo ,takataka umemuacha kwenu..Ukileta dharau utashughulikiwa .
Unajificha😂😂😂....Muoga , unaumia sana ,watu wanaongezeka dogo...Mpaka unaleta stori za kutunga ; eti una miaka 50 ..Kiufupi hauwezi kuufanya chochote uislamu...
Kwaiyo Mungu wa waislamu ni powerless mpaka apiganiwe na mwanadamu???
Hawa wamezidi sasaMwanamke mmoja ameuawa kwa kuchomwa moto na kundi la watu katika jimbo la Niger Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutuhumiwa kumkufuru Mtume Muhammad (S.A.W).
Polisi walilaani mauaji ya mwanamke huyo aliyetambuliwa katika vyombo vya habari vya ndani kama mchuuzi wa chakula anayeitwa Amaye .
Polisi wamesema kuwa uchunguzi unaendelea ili kuwakamata na kuwafungulia mashtaka wahusika.
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International lilisema kuwa kufuru mara nyingi hutumiwa kutatua matokeo ya kibinafsi kaskazini mwa Nigeria.
Mnamo 2022, mwanafunzi Deborah Samuel alipigwa na kuchomwa moto akiwa hai katika jimbo la Sokoto baada ya kushtakiwa kwa kutoa maoni ya kufuru.
View attachment 3461637
Hiyo ni nyuma Keyboard. Kobaz hawacheki na wowote.Yaan sisi huku tuna mnanga mudi kama vibaka wengine tu
Unavyofikiria ndio hivyo hivyo ,sijakulazimisha.Kwaiyo Mungu wa waislamu ni powerless mpaka apiganiwe na mwanadamu???
Kwa hiyo hao walioua ni Waislamu waliopotoka sio?Africa hatujawahi kujielewa hata siku moja. Dini ya kiislam ukiisoma vizuri hakuna mahali inakwambia umuuwe mwenzako au umdhuru kwa njia yoyote ile eti amekufuru au ameenda kinyume na maamrisho ya Allah. Unatakiwa kumnasihi,kumpa mawaidha na kumuelekeza ili umjenge kiimani aone kwa kuna Mungu aliemuumba. Matatizo ya kuuana Africa sio kwenye dini tu ni mambo mengi sana mfano makabila,siasa,mali na mambo mengne.
Meanwhile ,is the fastest growing religion 😂😂unaumia dogo ...Unapoteza nguvu zako bure 😂Mimi sina cha kumfanya shetani. Nawapa watu Elimu. Watu kwa shetani wanaongezeka kila siku. Nenda hata magerezani wahalifu wanaongezeka ila hilo halifanyi na sisi tujiunge na uhalifu au tuache kukemea uhalifu. Mimi akili nyingi siyo kama nyie kobaz hamwezi jenga hoja.
Kuna tofauti kati ya kuabudu dini na kuabudu Mungu.Tofaut Waislam hawapendi Dini yao kuchezewa na yoyote hata Muislamu mwenzao watapitanae fasta. Tofaut na Wakristo ipo hapo.
Hongera ww Dini lako la kizungu la MUNGU Mzungu Malaika Mzungu Maria Mzungu Watakatifu wote Wazungu mipapa yote MizunguAjabu ni pale dini ya waarabu inapotetewa na mtu mweusi aliyeletewa majuzi kati hapo kwa majahazi! Mtu mweusi ni mtumwa wa kila kitu[emoji706]
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Asante kwa kujibu jibu sahihiUnavyofikiria ndio hivyo hivyo ,sijakulazimisha.
Dini ya haki ipi?....hii inayoruhusu watoto wabakwe dini inayesema ukifa unaenda kupewa mabikila 70....fyuuuuDini ya haki
Ukisema Udi kwanza wanaotumia ni wengi sio Waislam tu Dini nyingi wanatumia !!!Kuuziwa mchanga na maji kuna tofauti ipi na kuuziwa udi, mishumaa ya dua, maji ya zamzam na dawa za Kisuna? Masheikh wenu ndo waganga maarufu mjini na bado mnaamini hiyo ndo dini ya kweli!!!!??? Uislam ni uchawi uliorasimishwa.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app