Au huenda Mungu nae wa mchongo wazee!!!!

Twin_Kids

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,007
Reaction score
5,969
Hivi, mpaka lile taifa la mchoongo(linalojiita teule)

Mungu wao hakujua wateule wake wanaenda kukosa makazi! Na wengine kupukutika(japo kwa akili za wenzetu tunajua Makombola ya Iran yanashusha tu mijengo hayaui!!!

Mbali na hilo, akaamua wateule wake wawe wanakimbilia mashimoni kama panya! Daadeki. Matango bado tutalishwa tuuuu
 
Top layer yote ya jeshi, majasusi na Wana nyuklia wameenda na maji wewe unakuja kuongea utumbo.

Hivi Israel Kwa jinsi alivyokuwa anashambulia hiyo miundombinu ya kijeshi na nuclear sites angefanya hivyo hivyo Kwa raia wa kawaida wa Iran ni nyumba ngapi zingeenda na maji? Au unataka kuniambia nyumba za raia Zina air defence kuliko hiyo miundombinu iliyobomolewa?
 
Hahahahahaha kwa hiyo wewe ni mu Israel wa Bonyokwa? Na mi ngoja niwe mu Iran wa Ruvu: wanasayansi waliokufa ndo hao hao waliokuwa wakitegemewa? Dunia ya leo ni win win. Una uhakika hawana wengine wazuri kuendeleza hiyo kazi?
Je, una uhakika hawawezi pata wengine kutoka mataifa yaliyokwishafanikisha?
Utakuwa unakosea sana, kana kwamba Iran haikujua hao wataalam wake kuna siku watakufa. Haya, wamekufa wangapi? Tupe idadi kamili ya wanasayansi wake wanaohusika na hayo maswala.
Nani kaomba poo!!!
 
Hivi, mpaka lile taifa la mchoongo(linalojiita teule)

Mungu wao hakujua wateule wake wanaenda kukosa makazi! Na wengine kupukutika(japo kwa akili za wenzetu tunajua Makombola ya Iran yanashusha tu mijengo hayaui!!!

Mbali na hilo, akaamua wateule wake wawe wanakimbilia mashimoni kama panya! Daadeki. Matango bado tutalishwa tuuuu
Iran alijua Vita ni ngumu kwake ndio maana alikuwa analenga majengo ya raia tu
 
Refa kauza mechi 😂
Screenshot_20250624-214359.png
 
Zayuni safari kawa kama mandonga yani kadundwa na wengine mpaka kuikimbia nchi ya ahadi lkn wazayuni wa homboza hawataki kukubali kilichotokea.. wakati wenzao wamekuwa wakimbizi Cyprus ,France nk
Duh unakuta wewe ni Shehe kabisa alafu mjinga
 
Hahahahaha ila jamani jamani.

Kwani, Israel hiyo huko Gaza ilifanya nini? Au wao kupiga majumba ya raia kwingine ruksa, lakini ya kwao kupigwa, kosa!
Wameonja kitu UKIMBIZI na wao,
So wewe ni kama ameoba au ? kinazungumziwa Iran wewe unaleta ya Gaza? ni ngumu kuzungumza na naive people stick to one topic utakuwa mwerevu.. how old are you?

Unadhani Israel nae angelipa kisasi kuua raia wa Iran ingekuwaje? Lazima mjue Israel huwa anapiga wapi hizo ni sera zipo Jeshini waliopita Jeshi la IDF wote wanafuata huo Utaratibu tokea enzi hizo, Israel aki target sehemu kisha akaonekana Mtoto au Mwanamke huwa hawapigi, labda iwe hamna namna but always huwa wanakatisha strike, Always wanachunguza eneo kama kuna mbaya sana na wa muhimu wanapiga eneo husika Muslims wanajua hilo so ndio maana wanatumia Watoto na Wanawake kama kinga muhimu kwa Israel, Magaidi wengi wamepona vifo kwa hizo Kinga ndio Maana huko Gaza Vita imekuwa Ngumu, Sera za Jeshi huwa zinafanyiwa maombi wapo wanaokosea na wana adhibiwa na wao hukubali kwa moyo safi
 
Baba yako Mzazi anaweza kuwa tajiri na anakupenda sana, ila Kuna wakati akikuona huendi vizuri anaweza kukufukuza ilo upate akili, Hilo halimaanishi uwezo wa Baba yako ni mdogo!
Akili ya kuelewa Hilo Hana hata kidogo. Mapango au mashimo anawaza ujinga anaona Kama mashimo ya ngiri vile. Ajui kama yalijengwa kimkakati
 
Hivi, mpaka lile taifa la mchoongo(linalojiita teule)

Mungu wao hakujua wateule wake wanaenda kukosa makazi! Na wengine kupukutika(japo kwa akili za wenzetu tunajua Makombola ya Iran yanashusha tu mijengo hayaui!!!

Mbali na hilo, akaamua wateule wake wawe wanakimbilia mashimoni kama panya! Daadeki. Matango bado tutalishwa tuuuu
Netanyahu ni mwehu sana
Kwa hasara aliyoipata israel ukiacha gharam za undesheshaje wa vita itawachukua miaka kama 7 hivi kuweza jurejesha miindo mbinu iliyoharibiwa na pia kurudisha imana kwa wawekezaji hapo telaviv
 
Top layer yote ya jeshi, majasusi na Wana nyuklia wameenda na maji wewe unakuja kuongea utumbo.

Hivi Israel Kwa jinsi alivyokuwa anashambulia hiyo miundombinu ya kijeshi na nuclear sites angefanya hivyo hivyo Kwa raia wa kawaida wa Iran ni nyumba ngapi zingeenda na maji? Au unataka kuniambia nyumba za raia Zina air defence kuliko hiyo miundombinu iliyobomolewa?
Ajitambui huyo. Anaendeshwa na udini tu.
 
Hivi, mpaka lile taifa la mchoongo(linalojiita teule)

Mungu wao hakujua wateule wake wanaenda kukosa makazi! Na wengine kupukutika(japo kwa akili za wenzetu tunajua Makombola ya Iran yanashusha tu mijengo hayaui!!!

Mbali na hilo, akaamua wateule wake wawe wanakimbilia mashimoni kama panya! Daadeki. Matango bado tutalishwa tuuuu
Kwani kuna mungu ambaye si WA mchango ambaye tumeletewa habari zake na hawa ngozi nyeupe????
 
Hahahahahaha hapa utaambiwa ohh, Mungu huyo asie wa mchongo bado anawapenda watu wake. Daadeki. Yaani Mungu anipende,af aachie kweli kombola lituwe kichwani kwangu! Hapana aise, mi bado nashindwa kuelewa watu tuna akili gani.
 
Mungu ni wamchongo siku zote

Mungu anaye hubiriwa na hizi dini zote ni pyramid scheme

Kama kweli yupo hawezi kuacha watu wawe wanauwana Kila kukicha

Huyo baba yako mzazi tu akikuta unagombana na dada au kaka yako lazima atachukua jukumu la kuwasuluhisha So inakuwaje mungu awaache Palestine na Israel wawe wanapigana miaka na miaka bila Huyo mungu kuingilia kati na kumaliza huo mrafaruku !??

Ina maana Kifikra Mungu anashindwa na baba wa kibinaadamu ambaye anaona kabisa kitendo Cha watoto wake kugombana sio kitendo chema na ana amua kuwasuluhisha
 
Yaani, Mungu anaewapenda watu wake, awaache Kombola kubwa liwashukie wang'oke kama visiki! Af, taifa hilo hilo la Mungu, ndo linaua balaa. Means na huyo Mungu gaidi sasa.
 
Hivi wenzetu hua mnasoma Bible gani? Mbona Mungu alishatemana na hao jamaa toka kule jangwani baada ya kutoka Egypt, walimletea mazongi mazongi sana, Mungu akaona isiwe tabu kila mtu ashike njia zake.
 
Hahahahahaha japo huyo Mungu simuaminigi, lakini umenichekesha sana aise.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom