Ati wachumi hii imekaaje?

Ati wachumi hii imekaaje?

Hata hapa Tanzania kuna Coins, point ni kwamba isiwe Ghafi, inafanywa hivyo kuzuia utakatishaji Dhahabu watu wasiwe na machimbo feki na Serikali isipate mapato. Sonara wanafuatiliwa na ukinunua kwao ambayo imeshasafishwa unapunguza risk ya kununua Dhahabu haramu.

Na hayo mapambo unayosema yapo makubwa kushinda bars na coins, it's just watu ni artistic.

Na hata hio Dhahabu Ghafi sio kwamba vibali vyake ni complicated kivile kuna minada kibao ya Serikali Nchi nzima.
Vibali vya dhahabu ni complicated na vina masharti mengi. Mtanzania wa kawaida si rahisi kununua. Bidhaa zote ambazo serikali inategemea kuexport kupata pesa za kigeni zina masharti mengi ili mtanzania wa kawaida asiweze kununua. Vitu kama dhahabu, kahawa, korosho, cocoa nk. Huwezi tu kwenda kununua kama unavyonunua mchele na mahindi. Ukidakwa unaingilia hizo mali za serikali unakuwa mhujumu uchumi.

Mapambo unayosema yanakuwa na gharama kubwa ukilinganisha na uzito wa dhahabu iliyopo. Bars na coins huwa hazichezi mbali sana na price ya gold halisi.
 
Boss kajifinze Tofauti ya Dhahabu Ghafi na ambayo inakua processed we unachanganya madesa hapa, bar, coin na mapambo yote Yana bei Sawa as long as yapo processed, unachanganya bars na Dhahabu Ghafi.
 
Ghafi na processed hazina maana sana kwenye dhahabu. Dhahabu inapimwa kwa purity/carats. Unaweza ukaokota dhahabu mtoni ikawa pure kuliko iliyopita refinery. Na ikawa pure kuliko ya kwenye vito maana ya kwenye vito huongezewa madini mengine ili iwe ngumu.

Hiyo ghafi na processed ni mbinu tu za kubana watu kumiliki dhahabu.
 
Mjukuu wako ana hoja nzuri sana na ya kiakili, kwani dhahabu na ardhi ni rasilimali zinazoonekana kwa macho na ambazo zimekuwa zikitunza thamani yake kwa karne nyingi dhidi ya mfumuko wa bei (inflation).
Hata hivyo, kutoa majibu kwa misingi ya kifedha inahitaji uelewa wa usawa, kwani kila aina ya uwekezaji ina faida na mapungufu yake.
Wejamaa nimekujua , uwa ukosi point za maana ata siku Moja.
 
Ghafi na processed hazina maana sana kwenye dhahabu. Dhahabu inapimwa kwa purity/carats. Unaweza ukaokota dhahabu mtoni ikawa pure kuliko iliyopita refinery. Na ikawa pure kuliko ya kwenye vito maana ya kwenye vito huongezewa madini mengine ili iwe ngumu.

Hiyo ghafi na processed ni mbinu tu za kubana watu kumiliki dhahabu.
Sawa for the sake of discussion na kuamini ulichoandika, processed gold ipo kibao ina thamani kuliko Ghafi kanunue, kuna maelfu ya sonara, minada na wauzaji Tofauti tofauti ulalamishi wa nini? Hujitaji kibali chochote.
 
Sonara kazi yake siyo kuuza dhahabu. Na huko minadani huendi tu kununua kama unaenda kununua mchele. Vibali vinahitajika na uvilipie.
 
Sonara wanauza Dhahabu na minada yote ya processed gold haina vibali, ni Ghafi ndio kuna vibali, processed upewe tu risiti kuthibitisha wewe ni mmiliki, umelipa Kodi etc
 
Dhahabu na ardhi hauwezi kuipeleka kwenye cash immediately kama yakitokea matumizi ya dharula. Pia sio kila ardhi ni potential. Kuna maeneo mengine unaweza kununua na ikapita miaka 10 thamani yake haijapanda
 
Back
Top Bottom