Ati Wachagga hawajui mapenzi?

Ati Wachagga hawajui mapenzi?

Hahah thread sio yangu...ila leo nimeamua kuwakalia kooni Wachagga...post yangu ya ushauri nilishaitoa mwanzoni kabisa...
Nadhani Wachaga huwa wanawezana wenyewe...halafu nasikia hata wanaume wa Kichagga maneno mengi mdomoni tu, ila chumbani ni wavivu kama matembele, muda wote yamejilaza tutani tu!!!
mtuwache tupumue...sasa mnatutakia nini?
 
Preta ukweli ni ukweli mi ninaye ndo mama wa Watoto . Kwanza issue ya bed itakumbukwa kwa mbaaali na hata ikifanyika una note kabisa akili haipo pale na hamna juhudi ya kufanya kitu tofauti next time eg staili. Ni kweli hawawajibiki kabisa
well said boss, pole na mzigo wako huo
 
Wambuzi.. baada ya kumeza mate hasira zangu zimepungua. Nashauri ututake radhi wadada wa kichaga, au u-edit kichwa chako cha habari lolz. Kukutana kwako na mburula huko kusikufanye utushushie hadhi.
 
Last edited by a moderator:
Preta ukweli ni ukweli mi ninaye ndo mama wa Watoto . Kwanza issue ya bed itakumbukwa kwa mbaaali na hata ikifanyika una note kabisa akili haipo pale na hamna juhudi ya kufanya kitu tofauti next time eg staili. Ni kweli hawawajibiki kabisa

damn.............. nyie hao mnawatoa wapi aisee??????? Au ninyi wenyewe ndo hamwapi utamu unaotakikana lolz.. then mwaja kulia hapa Achana kabisa na hiyo basic need chali yangu.. Mmeshindwa kuwapa balance diet then wanakosa hamu ya mchezo. MJITIZAME
 
Hahah thread sio yangu...ila leo nimeamua kuwakalia kooni Wachagga...post yangu ya ushauri nilishaitoa mwanzoni kabisa...
Nadhani Wachaga huwa wanawezana wenyewe...halafu nasikia hata wanaume wa Kichagga maneno mengi mdomoni tu, ila chumbani ni wavivu kama matembele, muda wote yamejilaza tutani tu!!!

halafu wewe nitafuta urafiki na wewe ... nini kunitukania kaka zangu??
 
watu8 usiseme kabisa hiyo kitu
kila siku wengine tunafundishwa (naomba asipite tu hapa akayaona haya)
hayo makitu yana uzoefu wake

ila naamini wachagga wa siku hizi wengi wanajua
si wengine wanaangalia sehemu mbalimbali mitandaoni
so walau wanakuwa na ujuzi kiasi fulani.

kwa wengine mmmmh.

Hahahah eeenh bora umejileta mwenyewe....ukienda huko nje tafwazali usiache kumleta Nivea na Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
ulianzaje huu uzi lakini Pdidy?
Kumekuwa na maneno mitaani kuwa wachaga si wazuri kwenye 6x6 na sijawahi kupata ukweli wa tetesi hizi?

Ni kweli wachaga hawajui mapenzi?

Naomba jibu
 
Last edited by a moderator:
Jamani wachaga nimekaa nao 4 hivi sasa namtafuta mhaya;hata kama wanaitwa
mafataki nijaribu...ahsanten sana kwa maoni yenu ila wachaga mmhhhh!!!1labda
Aje mangi mareale
mkuu, nilikutana na muhaya mmoja hapa juzi, alinichosha viungo vyangu, yesuu na mariyaaaa, ila juu ya kujua mchezo ni mtu mwenyewe tu na ufundi (kipaji).
 
Mi ninarafiki yangu mchaga niliwahi kumuuliza swali kama hlo akanijibu hawajui mapenzi wanajua kutafuta pesa tu
 
Kama hawajui mapenzi, ina maana hawana familia? Watoto wanawapataje?
 
Nimependa namna ulivyokuwa decent na kueleza hali halisi...sasa namsubiria Nivea...

watu8 usiseme kabisa hiyo kitu
kila siku wengine tunafundishwa (naomba asipite tu hapa akayaona haya)
hayo makitu yana uzoefu wake

ila naamini wachagga wa siku hizi wengi wanajua
si wengine wanaangalia sehemu mbalimbali mitandaoni
so walau wanakuwa na ujuzi kiasi fulani.

kwa wengine mmmmh.
 
Last edited by a moderator:
Kama hawajui mapenzi, ina maana hawana familia? Watoto wanawapataje?

Mtoto hupatikanika pale tu mbegu ya uzazi ya kiume inaporutubisha yai la uzazi la mwanamke...
Suala la ufundi wa mahaba halina uhusiano na upatikanaji wa mtoto
 
Kumekuwa na maneno mitaani kuwa wachaga si wazuri kwenye 6x6 na sijawahi kupata ukweli wa tetesi hizi?

Ni kweli wachaga hawajui mapenzi?

Naomba jibu

Hii topic ni msala mtupu kwa sababu wengi watagusia sana kwenye udini, lakini ukweli ni kwamba; wachaga hawana kitu kwenye 6x6; ni mizigo.
 
utajibeba.......ulokote garasha.....uje utuseme wadada wa watu.....nyoooo.......
chagga babes wanakimbiza dunia.........bisha nikuletee facts..........
Usibishe Preta!

Madem wa kichaga wao ni mambo ya hela tu kwenye mahaba madem wa kichaga ni majanga tu. They are not romantic at all.
 
Back
Top Bottom