Ati Wachagga hawajui mapenzi?

Ati Wachagga hawajui mapenzi?

nikahsi una njaa unafikiria kwenda buchani mayb..btw natafta kungwi mm..so buchan ctapata nitakacho
Kuna GYM maeneo ya kinondoni inafundisha jinsi ya kulainisha viungo vya kiutu uzima kama kiuno ni-pm ulipo nikuunganishe.
 
mbona kama sikuamini amini ivo?..nahc kubadili mawazo..nisubri kitchen party
I thought ulisema wahitaji mwalimu...??? ila kama wataka Kungwi basi hata hayo makitu huwa nafanya ila shurti usiwe Mchagga maana hao huwa hawaelewi kabisaaa hasa wakati wa somo la praktiko
 
vipi huduma inayotolewa na nyinyi inahamasisha kurudia siku ya pili,3,4.........

Saaana...
Utasikia... "Bebii nimekumith..., alafu weaving imeachia"... Hujakaa vizur, simu nyingine ...ngriiiii... "Yani dia siku hizi umenisusa! tangu juz hata meseji... alafu nna kiu kweli ya dompo"...
Hapo mjamaa unaweka sawa buku 10 yako (kumi tu)... unaenda unakamua... unampa msimbazi wake unasepa...

(nawatania wachaga)...
 
benk ya mukulima
hufai


Where is it written?...inaonekana huifahamu vizuri Tanzania na evolution ya Banks...initially what so called CRDB ndio ilianzishwa purposely kwa ajili ya Wakulima.
NMB emerged from the former National Bank Of Commerce...ambayo sasa imeongezewa jina Limited kwa mbele na ikabinafsishwa kipindi cha Mkapa...
NMB ikabakia 100% owned by the Government na ndio benki ya kwanza ku-serve Watanzania wa kawaida...
Sera ya uwekezaji na biashara huria ndiyo imeleta haya mabenki mengine matahalani Stanbic, Barclays, Standard Chartered, Akiba, UBA, Baroda, BOA, Equity etc.
NMB ni benki pekee yenye ATM Machine katika kila wilaya unayoifahamu Tanzania hii...so tell me the reason(s) why shouldn't I be proud of such an achievements?


#ProudlyTanzanian
 
utajibeba.......ulokote garasha.....uje utuseme wadada wa watu.....nyoooo.......
chagga babes wanakimbiza dunia.........bisha nikuletee facts..........

yeah waambie hao kama hawaamin tunawakaribisha mje mjionee mbona mtafia mgongoni
 
utajibeba.......ulokote garasha.....uje utuseme wadada wa watu.....nyoooo.......
chagga babes wanakimbiza dunia.........bisha nikuletee facts..........

Preta ukweli ni ukweli mi ninaye ndo mama wa Watoto . Kwanza issue ya bed itakumbukwa kwa mbaaali na hata ikifanyika una note kabisa akili haipo pale na hamna juhudi ya kufanya kitu tofauti next time eg staili. Ni kweli hawawajibiki kabisa
 
yeah waambie hao kama hawaamin tunawakaribisha mje mjionee mbona mtafia mgongoni

hahahah...nina wasiwasi kuna mtu kakusaidia kuandika...btw huwa mnatoa na mgongoni pia?
 
Back
Top Bottom