Saaana...
Utasikia... "Bebii nimekumith..., alafu weaving imeachia"... Hujakaa vizur, simu nyingine ...ngriiiii... "Yani dia siku hizi umenisusa! tangu juz hata meseji... alafu nna kiu kweli ya dompo"...
Hapo mjamaa unaweka sawa buku 10 yako (kumi tu)... unaenda unakamua... unampa msimbazi wake unasepa...
(nawatania wachaga)...
mbwaNa kweli tuwaache mpumuwe aiseee
mbwa
paka
fisi,nyangumi woote wanazaana bila kujua mapenzi tatizo nyinyi binaadam mmechukulia mapenzi kama starehe thats whay ,tendo landoa liliwekwa kwa ajili yakuzaliana sio kwa kuoneshana maujuzi,mnaangaika na wachagga wachagga wapo makabika kibao tuu wanabaka hamna mapenzi tunawajua na tulishakuwa nao,wamasai wanajua mapenzi??.wanyiramba?,wasukuma??wahaya only katerero basi mnajiona mko juuuuu,tena mshukuru wachaga kuweka mapenzi pembeni nakutafuta hela hao dadazenu wangewaozea ,humo ndani na wakishaolea na hao wachagga kila siku kuomba pesa ,kwa mwaka huu nimehudhuria harusi nyingi nakuta wachaga wanawake wanaolewa tutututu na wanaume wakichagatutututu kwanini kama hawayawezi??????????mkome kama hawawezi oaneni mnayoyajua sie twasaka mkwanja.
hii aione Mamndenyi

Nivea kweli imekuumaje
pole mwaya
Sidhani kama wana iyo kitu .....
Yaani umeona eenh...ila all in all hakuna waliozaliwa wanayajua haya mautundu
Makabila mengine yapo juu kuliko mengine kwa kuwa tu wanazao taratibu za kufundana na kuweka wanawali ndani...
Makabila kama Wayao, Wamakonde, Wazaramo, Wadengereko na yote ya ukanda wa Pwani wamekuwa na tamaduni hizi miaka nenda miaka rudi...
Wachagga wamekuwa wakisemwa sana kwa kuwa mfumo wao wa kuendesha maisha upo tofauti kidogo na makabila mengine...
Mwanamke ni mhangaikaji na mtafutaji kama ilivyo kwa mwanaume....
Watu wangu wa nguvu Nivea, Mamndenyi, Smile na neggirl asanteni sana kwa kututetea sisi Wachagga na kueleza umma wa JF ukweli.
Mungu awabariki!!!
hao wanaume waliotuoa unakuta ni makabila yao hovyo kabisa kigoli kimoja ambacho hakina utaalamu analaal chaliiiiiianakoroma kama gari moshi lililoishiwa mafuta ,mimi sijaolewa na mchagga lakini i cannot see the difference ni mbwembwe tu ukifika kitandani kamoja tu alafu chaliiiiiiiiii hahahahaahi hao hao wanayoyajua ptuuuuu vyasaka wakubwa mapenzi mapenzi mapenzi utasomesha watoto na mapenzi ??hela kijijini utatuma mapenzi?? nyumba utajengea mapenzi ??mtaji wa duka na kilimo utatunzia mapenzi ptuuuuuuuNaunga mkono mia kwa mia! Mapenzi mapenzi mapenzi! Unakula mapenzi? Unavaa mapenzi? Watoto wanasoma mapenzi? Wazee wako kijijini utawatumia mapenzi? Utasafiria mapenzi? Wivu tuu umewajaa. Pesa tunayo. Mapenzi tunayajua. Kama mtu anabisha aje kwa Iron, chuma chenyewe aone kama hataomba half time. Watuache kabisa!
natamani kuuliza ila mmmmh
hao wanaume waliotuoa unakuta ni makabila yao hovyo kabisa kigoli kimoja ambacho hakina utaalamu analaal chaliiiiiianakoroma kama gari moshi lililoishiwa mafuta ,mimi sijaolewa na mchagga lakini i cannot see the difference ni mbwembwe tu ukifika kitandani kamoja tu alafu chaliiiiiiiiii hahahahaahi hao hao wanayoyajua ptuuuuu vyasaka wakubwa mapenzi mapenzi mapenzi utasomesha watoto na mapenzi ??hela kijijini utatuma mapenzi?? nyumba utajengea mapenzi ??mtaji wa duka na kilimo utatunzia mapenzi ptuuuuuuu
hii aione Mamndenyi na best watu8

Mkuu wakikusikia...mimi nimesha sign off huku...naenda zangu Siasani!!!
mie nampa mumewangu mapenzi matamu na mahaba mpaka anajiuliza weweni mchagga kweli hahahaahahahaha.japo huwa namwita kyasakaNivea lazima akufanye kimoja akorome
kwa kuwa uko bize kuwaza mabiashara hauna hata muda wa kumbembeleza wala hauna muda wa kuongea naye maneno matamu ya mapenzi, so akikufanya hicho kimoja kwa ajili ya kulinda ndoa mengine anamalizia kwa akina Madame B wanaojua kuimba mashairi ya mapenzi.
Nivea kuna muda wa kutafuta na pia kuna wakati wa kustarehe
hivi utakuwa mtu wa kuwaza kutafuta tuu masaa yote.
Hapo ndo wachagga mnaniacha hoi, Nivea kuna siku ukamwambia mumeo "nakupenda sana mume wangu"
wakati mwingine tuone na wenzetu wanafanyaje, tena najua ndoa za wachagga hazivunjiki hadi kifo so mnawapelekesha kweli hao wanaume zenu.
Mbona nakuona unaranda randa bado mitaa hii.siasani nitakula ban buree....
kama antena haahahahahaahahah nimecheka hapa mpaka basi tena haya mambo bwana hayana mwenyewe!!watuwache tupumuweeeeeeeeeeeeeeWanaume wengi utundu huwa tunaujua ukubwani tena wengi wetu ni baada ya kukutana na wanawake wawili watatu waliokubuhu...
Kwa kuwa huwa tunapenda kujionesha umwamba ndio utakuta wanaume tunakukuruka ili walau tusiachwe nyuma na steps ...
Leo hii hata ukutane na binti wa Kitanga ambao husifiwa kwa mapenzi, kama hajawahi kudinyana basi tegemea atajiegesha kitandani kama Antenna vile...kila mara utakuwa unamzungusha kulia, kushoto hadi mawimbi yakamate!!!