grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Uliona wapi wachezaji wakachagua refarii ama kamisaa wa mchezo. Nyie pasheni moto tuwakute kiwanjani tu.hahaaa naona mnagawana madaraka wakati wahusika wa mchezo tuko pembeni!!!!!!!
Uliona wapi wachezaji wakachagua refarii ama kamisaa wa mchezo. Nyie pasheni moto tuwakute kiwanjani tu.hahaaa naona mnagawana madaraka wakati wahusika wa mchezo tuko pembeni!!!!!!!
ha ha ha ha ha ha.............. bro ya kweli hayo............... kina massawe watakuua leo humu wakikuta hio mineno... ha ha h ha
Nenda bucha ya jirani wagogo wapo watakutendea haki.natafta mwl anifundshe kukata kiuno..nani yu tayar?
Msiwaseme sana dada zangu bhana
ngoja kwanza nikameze mate naja!
Wadada punguzeni uvivu kitandani...Mapenzi yamekuwa ya ushindani sana kama Simba na Yanga...Ukipoteza mechi mpinzani atakaa kileleni kuongoza Ligi.
Tabia za kulala tuu chanuuuu kama xxxxxxxxxxxxxxx sio issue,huu ni uvivu uliotukuka...Jitume kutetea uhalali wako wa kuwa Mpenzi wa huyo mtu...Mapenzi hayana kupiga ramli its how you make it live wewe mwenyewe,Manage ur bed,vingine ni Secondary tu,nawaambia kweli,..Mnaoamini Mapenzi hayalindwi na Sex nawapa pole,Mta-Supp mtihani kabla hamjaanza testi...Bed is everything.
Mimi nashangaa Imejipost Yenyewe kutoka Kishumundu
Wewe ni kabila gani kwani...kama ni Mchagga wala usijaribu kujifunza utavunjika bure...
Nenda bucha ya jirani wagogo wapo watakutendea haki.
Benki zote za Bongo hapa kwa nini nihangaike kuweka hela zangu mbali kote huko?
Halafu nasikia ninyi Wasomali mambo yenu si haba?
Nenda bucha ya jirani wagogo wapo watakutendea haki.
Benki zote za Bongo hapa kwa nini nihangaike kuweka hela zangu mbali kote huko?
Halafu nasikia ninyi Wasomali mambo yenu si haba?
mashambulizi yamehamia kwa wanaume wa kichaga sa hii.... na we umo nini?
Wanaume wa kichaga tuko vizuri... hatukamatiki kirahisi. Nalipa baada ya huduma... kama ni hela hadi siku nyingine tena ya huduma...
Unataka uje unipike?mm naongelea yanayoongelewa hapa..una njaa?
mm ata sio mchaga..ila nataka ongeza maujuzi..
Unataka uje unipike?