Ati Wachagga hawajui mapenzi?

Ati Wachagga hawajui mapenzi?

Nivea umenikumbusha mbali! Vyasaka!
 
Last edited by a moderator:
Kila nikiondoka nakuwa navutwa shati mkuu...inabidi nirudi kuja kuangalia ni wito gani nilioitiwa...naona Chitchat nako kumenoga kuna dialogue ya matunda kule imeletwa na FP unaweza enda huko ukasafishe macho...nilikuwa sijui kumbe matunda nayo yana mambo ya kikubwa

Nimemwona FP amekufunga breki na mapicha yako...umeona uchokozi wa charminglady? Mwambie aniPM bana .
 
Last edited by a moderator:
Nimemwona FP amekufunga breki na mapicha yako...umeona uchokozi wa charminglady? Mwambie aniPM bana .
watu8 na Kaizer..... huu uzi mmeufukunyua wapi tena? utahamishwa msipoangalia......
mambo ya antena sasa yametoka wapi tena wewe watu8?
huyu ndo anaanzaga hivi hivi Kaizer, ukishtuka tayari kishamwaga mapicha.....
kule kwangu nimemkimbiza maana nimegundua "home sweet home"
 
Last edited by a moderator:
Hahaha mtani yaani unanisaka hadi huku loh!!!

na kuna sehemu nimekuita mtani ukapokee asante yako na kutoa ushauri endelevu, project imejibu.....
kumbe mtaalam hivyo!!!!! lol! hongera mtani
 
Wachaga hawajui mapenzi wao ni kutafuta pesa tu, ndio maana wanakuwa na upesi. Mfano,
  • Vigeregere hawana muda wa kupiga muda mrefu kama wazaramo au wa Tanga. Wao ni fasta tu "Herere..!!"
  • Majina ya maeneo ni pesa, HAI (Hakikisha Akaunti Inaongezeka), nk
  • "Aisee hebu ingiza haraka niwahi kununua kreti za bia kwa Manka.."
  • ...
 
Hahaha wakati mwingine hizi ID's zetu feki huficha mengi...
Yaani huo msaada niliutoa kitambo sana hadi nilikuwa nimeshasahau...

na kuna sehemu nimekuita mtani ukapokee asante yako na kutoa ushauri endelevu, project imejibu.....
kumbe mtaalam hivyo!!!!! lol! hongera mtani
 
Hahaha wakati mwingine hizi ID's zetu feki huficha mengi...
Yaani huo msaada niliutoa kitambo sana hadi nilikuwa nimeshasahau...

mtani nitakutafuta pale kwa yusuph tukae kama kamati!
manake nasikia uko vizuri kwenye kaproject flani hav!watu wanatafta kwaju t hko sa hz!
 
Hahaha wakati mwingine hizi ID's zetu feki huficha mengi...
Yaani huo msaada niliutoa kitambo sana hadi nilikuwa nimeshasahau...
ha haaa, lol!
ndo uwe unakuwa real, except ID......
huoni kwa nini mimi napenda kuwa real? sitaki kujichanganya
 
hahahaaaa sasa weye wasema kwanguvu bana. nanilu atasikia shauri yako.

hahaha neggirl mi ni mwanaume na unajua sifa za mwanaume wa kweli......haogopi kusema hisia zake, thats just one. Now come.
 
Last edited by a moderator:
Kaizer nishike!
we unajua lakini hasira zanhu kwenye sredi kama hizi!
daadeki hebu watuache watu na vibao vyetu vya nazi !

lol snowhite labda tufanye mpango tuhamie kule JW ukawape experience ya wachagga walivyo fiti? LOL

NGoja nikushike mwaya....najua sitaishia hivi hivi:tongue:
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...najua wajua namna ya kunipata mtani, hebu leta hilo dili tulidiskasi Kichagga zaidi!!

mtani nitakutafuta pale kwa yusuph tukae kama kamati!
manake nasikia uko vizuri kwenye kaproject flani hav!watu wanatafta kwaju t hko sa hz!
 
Back
Top Bottom