Ati Wachagga hawajui mapenzi?

Ati Wachagga hawajui mapenzi?

nadhani mapenzi ni makubaliano ya watu wawili,kuna mwingine anapenda manjonjo mwingine hapendi,mwingine anapenda vilio mwingine hapendi,so unaweza sema wachaga hawajui coz tuliskia wanasema"ukimarisa funika"but for me nikiwa na mpenzi ntafanya vile nafsi yangu inanituma kufanya,kama ni kelele ntapiga mpaka majirani waskie kama ni sarakasi ntaruka mpaka nitoboe celing boad,its pat of refleshment na kutoa stress.so I will enjoy to the fullest,na kama anaona sijui au hataki nifanye hivyo navyofanya beta aniambie anataka nifanye vipi ikiwezekana anifundishe ngoma za kwao.
huyo tena kama starehe yake ina nyongeza ya hapo atakuwa ni too much. Hila i like what your willing to do kujifurahishi. Zis iz fantastic you made my day.
 
acha wapige chabo dia kwani mzuka ukipanda si wataenda kuanzisha mechi yao?yani starehe yangu nikatishe kisa chabo zao?wapiiiii!
yani point wife ila makelele yakizidi watapiga chabo sana akuna kabila lisilojua mapaenzi kwani mapenzi si yakabila fulani bali ni ya mtu binafsi na ampendaye na mkifika uwanjani akuna kutegeana ni full mzuka
 
acha wapige chabo dia kwani mzuka ukipanda si wataenda kuanzisha mechi yao?yani starehe yangu nikatishe kisa chabo zao?wapiiiii!

bora wakaanzishe zakwao badala kufanya mapinduzi bigup dia

raha ya mapenzi furahia mpaka tone la mwisho
 
oh maimai, wapendwa meamua kujiunga na hii kitu hii manake JF inanipa raha.oooh kwa habari ya wachaga mi naona wanaume wa kichaga ndo bwiii kabisa manake wao wanabaka tuu.hata iwe ndani ya ndoa mapenzi ya njiwa kupetipeti hawawezi.
ukiwa na bf wa kichaga ujue utapelekwa mchakamchaka tu. most of them they dont care unafil aje.once ze mzee asumani is up they need to put it zea hata kama wewe bado. huo ndo ukweli hata kama watapinga
 
Sasa je?kila mtu duniani mekuja kivyake,tena kupitia mwanamke na mwanamme,n duniani kuna watu wawili tu!mwanamke na mwanamme,so y umuogope mwanamke na mwanamme wakati ww pia ni mwanamke/mwanamme?
bora wakaanzishe zakwao badala kufanya mapinduzi bigup dia

raha ya mapenzi furahia mpaka tone la mwisho
 
oh maimai, wapendwa meamua kujiunga na hii kitu hii manake JF inanipa raha.oooh kwa habari ya wachaga mi naona wanaume wa kichaga ndo bwiii kabisa manake wao wanabaka tuu.hata iwe ndani ya ndoa mapenzi ya njiwa kupetipeti hawawezi.
ukiwa na bf wa kichaga ujue utapelekwa mchakamchaka tu. most of them they dont care unafil aje.once ze mzee asumani is up they need to put it zea hata kama wewe bado. huo ndo ukweli hata kama watapinga
Karibu binti! taratibu lakini!
tupo kibiashara zaidi, kupetipeti ndo nn? utapata bei gani ukipetipeti?
Huwa hatufanyi vitu visivyo na faida sisi!
 
Karibu binti! taratibu lakini!
tupo kibiashara zaidi, kupetipeti ndo nn? utapata bei gani ukipetipeti?
Huwa hatufanyi vitu visivyo na faida sisi!

weeeeeeeee mweleezeeee pesa mbele mapenzi nyuma kudumisha mila muhimu
 
Jamani wachaga nimekaa nao 4 hivi sasa namtafuta mhaya;hata kama wanaitwa
mafataki nijaribu...ahsanten sana kwa maoni yenu ila wachaga mmhhhh!!!1labda
Aje mangi mareale

Mama mia karibugi na kwa wazee wa kudondokea uone TSUNAMI au Elnino ya mambozi...
Na mapenzi mama mia si MTANGA wala MHAYA taste that real....MCHAGA pia anayaweza...
 
Wachaga wanajua Mapenzi sana.
Mchaga huwezi kumpata kirahisi kama ilivyo kwa Makabila mengine.
Mchaga urafiki wao ni wa miaka mingi.
Watu walio wengi wanapenda Mwanamke amtongoze na kumpata siku hiyo hiyo.
Kwetu sisi Mwanamke ukimtongoza akakubalia siku hiyo hiyo sisi tunahisi anaugonjwa wa kukuna maeneo yake Nyeti.
Wachaga wanajua mapenzi na ukijaliwa kuwa naye utafurahi sana.
Lakini kwa wale wanaotaka chapu chapu kwa Mchaga watakwama.
Kama hujao oa Mchaga, Mchaga ni Mchumi kama kwenu ni masikini oa Mchaga uone maendeleo sio muna ng,ang,ania kuwa hawajui Mapenzi.
Kumbuka wako wakubwa wengi wameoa wachaga, Hali zao ni nzuri,
Mfano Rais Mstaafu W. B. MKAPA, Rais Mustaafu wa Zaanzibar Salimini A.
Waziri Mkuu Mstaafu F . SUMAYE na wengine wengi.
Wewe umebakia kujenga majungu yoo hawajui mapenzi lakini wamezaa na watoto wako Ulaya wanasoma.
Jichanganyeni ilikupata maarifa ya Maendeleo.
Mambo ya ajabu achana nayo.
Wewe kama ni Mzaramo oa Mchaga. Nimekupa Mifano ya waliofanikiwa kwa ajili ya wachaga.
 
Aisee nyie watu mnachekesha, mwanamke wa kichaga kwanza msafi, heshima iko juu, mapenzi yake yanathaminika bana, anakumbeleza mpaka unasema bas mama, na kama ww mwanaume wa kichaga pia unayejua kucare unamtunza mpaka bas, yaan wanawake wazuri wa kuoa ni wachaga ....
 
Kama hawajui mapenzi wasinge zaliana hivyo. Offsprings za wachaga ziko kila pahala, hatasehemu ambayo hutegemei kumkuta mchaga unamkuta.
 
Kama hawajui mapenzi wasinge zaliana hivyo. Offsprings za wachaga ziko kila pahala, hatasehemu ambayo hutegemei kumkuta mchaga unamkuta.
Pamoja na hilo la kuzaliana, wachaga wako juu, wasomi, wasafi, heshima, mchaga asipokuwa na mkewe au mmewe home basi wako kwene makulaji, pombe na nyama, so lovely, kwanza wachaga waaminifu sana, ushawahi kuona maskendo ya ajabu ajabu kwa wachaga? Na uchagani kuna mababy face balaa, tuseme tu ukweli , mwanamke sura bana , makalio hata kwa mchina yanapatikana.....loh
 
huyo tena kama starehe yake ina nyongeza ya hapo atakuwa ni too much. Hila i like what your willing to do kujifurahishi. Zis iz fantastic you made my day.

nandivyo wachaga walivyo wanakupa k2 roho inapenda bila karaha
 
sasa mamia hii siyo fare mbona wachaga tu na baadae wahaya na sisi wajaluo na wakuria je?...kwa nini usitujaribu sisi wajaluo kabla ya kumtafuta mhaya na amini utakuwa umemaliza matatizo yako yote...na hopefully utafunga na thread kabisa.
Hebu mwambie
 
Wadada punguzeni uvivu kitandani...Mapenzi yamekuwa ya ushindani sana kama Simba na Yanga...Ukipoteza mechi mpinzani atakaa kileleni kuongoza Ligi.
Tabia za kulala tuu chanuuuu kama xxxxxxxxxxxxxxx sio issue,huu ni uvivu uliotukuka...Jitume kutetea uhalali wako wa kuwa Mpenzi wa huyo mtu...Mapenzi hayana kupiga ramli its how you make it live wewe mwenyewe,Manage ur bed,vingine ni Secondary tu,nawaambia kweli,..Mnaoamini Mapenzi hayalindwi na Sex nawapa pole,Mta-Supp mtihani kabla hamjaanza testi...Bed is everything.
Mimi nashangaa Imejipost Yenyewe kutoka Kishumundu
 
Back
Top Bottom