Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 370
Habari za kuaminika
Shirika la ndege Tanzania (AIR TANZANIA) limewaachisha wafanya kazi wake karibia wote kituo cha Dar na Arusha, na waliobakia ni wafanyakazi wawili Dar na wawili Arusha,
Kilichotokea ni kuwa wafanyakazi waliitwa na kupewa barua zao za kuachishwa kazi na kulipwa mafao yao yote ikiwa naamaanisha barua ya kuachishwa kazi ilikuwa imeambatanishwa na cheque ya malipo yao yote hata kama kwenu ni mwanza usafiri umekuwa included.
Sasa Hao walio pewa AIR Tanzania tumeambiwa ni wachina Je watakuja na wafanyakazi wao wote??
Je Huo ndio ubinafsishaji ambao raia anstahiri kufaidika nao??
Mwana JF yoyote atupe sera za ubinafsishaji na faida zake kwa wananchi!
Viongozi wa nchi hii wakabidhiwapo mashirika ya umma ni kwamba hawana uwezo wa kuyaongoza??
Wapi twaendaaa??