Kwangu mimi kama wamelipwa wote mafao, halafu mchina akaanza nao baadhi yao naoni ni sawa kabisa. Uzoefu unaonyesha kuwa wawekezaji wengi wanarithi wafanyakazi wakati wa kununua biashara baadae wafanyakazi hao huwa wananyanyasika sana, kwani huwkuta na maslahi yao (Voluntary Agreement) ambayo wawekezaji wengi kwa kujifanya kwenda na wakati huyapuuza na wafanyakazi kuishia pabaya kimaslahi au kufukuzwa kabisa na miaka yao waliotoa jasho kupotea kabisa.
Unless, kuna kitu hatujaambiwa.
Unless, kuna kitu hatujaambiwa.