ATC plane makes emergency landing in Kigoma due to cracked windscreen

ATC plane makes emergency landing in Kigoma due to cracked windscreen

Kiwi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2009
Posts
1,054
Reaction score
995
Habari za kutwa wanajamvi,

Ndege ya ATC imelazimika kurudi Kigoma mchana huu baada ya kioo (windscreen) kupata ufa (crack) ikiwa hewani mara baada ya kuanza safari yake kurudi Dar es Salaam. Watu wote wako salama.

Chanzo: Abiria kwa njia ya simu.
 
Againnnnnnn! Eish, im glad im done with this company. Wapi Kiranga.
 
Last edited by a moderator:
Ndege hiyo ni ya kwanza tangu uwanja huo ulipoachwa kutumiwa na ndege za abiria kupisha matengenezo. Ilikuwa iondoke jana alfajiri, wakaahirisha 0930hrs then 2 hours na ilipofika saa 1600hrs wakaanza oooh jamani samahanini.. abiria walitaka kuwala! Abiria wengine wakawapeleka hotel, waliahidiwa kuondoka 0900hrs yaani leo, jana usiku abiria wakapata sms eti waje 0930hrs na wakapaa around 1200. Abiria walipewa barua za samahani kwa yaliyotokea jana na kuambiwa wakikata tena tiket za atc watapewa punguzo la 50%. Kazi kweli kweli, hiyo ndio ATC the wings of Kilimanjaro.
 
Kweli mbuzi wa masikini hazai hata akipandwa na ng'ombe.Wangekipiga sello tape kuficha aibu.Ngoja tusubiri mwarabu aje kutukomboa.
 
While ATC is legendary for its less than mediocre quality control and almost nonexistent safety standards - I can recall hearing a squeaking wing this past July to attest to this personally-, the aviation industry in general, even in the confines of the best maintained and well funded airlines, is not without genuine difficulties. A case in point is the recent snafu to do with Japan Airlines' 787 fuel and other technical issues the flag carrier is having.

It remains to be seen whether this incident is a characteristic of the former or the latter.

An analysis steeped in sobriety and empiricism would require a transparent technical investigation and an open report.
 
Kuna haja ya kutafakari tena kwa makini na kuamua kama serikali ijiingize kwenye biashara au ibakie kwenye sera, usimamizi etc. ATC inaendeshwa kisiasa na kama hatukuwa makini (mungu apitishe mbali) tunaweza kujikuta tunaimba mapambio. Hii ni mara ya pili less than 12 months kwa 'kioo - whatever that means- kupasuka!

Kwanini hilo shirika lisifumuliwe na kuundwa upya, serkali inakuwa na hisa zake lakini kampuni iendeshwe kibiashara? Tunayo mifano ya makampuni ambayo serikali ni mwanahisa na wanafanya kazi vizuri -NMB. Inachosha sasa!
 
Jamani hizi ndege mpaka ziue Ndio ijulikane Halifai?watu wameshachukua vyao basi na sisi jamani tuache kupanda,it is no longer safe.........
 
leka dutigite uwi shavu lihere = kigoma.
 
While ATC is legendary for its less than mediocre quality control and almost nonexistent safety standards - I can recall hearing a squeaking wing this past July to attest to this personally-, the aviation industry in general, even in the confines of the best maintained and well funded airlines, is not without genuine difficulties. A case in point is the recent snafu to do with Japan Airlines' 787 fuel and other technical issues the flag carrier is having.

It remains to be seen whether this incident is a characteristic of the former or the latter.

An analysis steeped in sobriety and empiricism would require a transparent technical investigation and an open report.

Dah kingereza chako wewe?! Kama mtu hajashiba hakielewi
 
serikali iachana na biashara ya ndege,ndege 1,wafanyaka zaidi ya 200,tena wana adi ofis kampala,wakat ndege aiend uko,tanzania tukubali tumeshindwa,viongoz hawana utayari na uzalendo,nashauri tuachane na hii biashara itakuja kutoa roho za watu
 
Habari za kutwa wanajamvi,

Ndege ya ATC imelazimika kurudi Kigoma mchana huu baada ya kioo (windscreen) kupata ufa (crack) ikiwa hewani mara baada ya kuanza safari yake kurudi Dar es Salaam. Watu wote wako salama.

Chanzo: Abiria kwa njia ya simu.

Kwani hizi winscreen za ndege za ATC wanatengeneza KIOO LIMITED kama chupa za soda???
 
Kuna ndege nyingine pia ilipata ufa kwenye dirisha kule KIA na ikashindwa kuruka. Sijui ilikuwa ya shirika ngani vile?
 
Back
Top Bottom