Huyu mtu anaudhi sana, yaani ni binadamu wale wanaosherehea watu wakipatw na mabaya, ni kama mchawi Fulani hivi,Huu ujinga wa kuamini Mungu wengine tulishaukataa kitambo.
Nikikwambia uthibitishe Mungu yupo huwezi.
Huwezi.
Usitulishe huu ujinga in secular spaces nenda kahubiri kanisani huko.
Ukiwajibu unakula tusi, kama ulikuwa umri wa makamo, utakuwa ulikiona kipindi changu cha Kiti Moto, yale ndio maswali yangu, JPM ni mtu wangu, tukikutana tunaongea, hivyo nililala kawaida kabisa.Umri wa makamo tu, hutaki kujibu GenZ?
Ndugu yangu , unasema watabadilika, ili waweje, hivi kwa akili ya kawaida, wakinadilika wanabadilikaje, hicho chama , kuanzia Viongozi wao wote mpaka uongozi wa chini kabisa, akili zao ndio hizo, mpaka washabiki wao wapo hivyo, leo wabadikike, kinabadilika kitu gani, ndio maisha waliozoea, dawa ni kufura hicho chama kabisaNaunga mkono, isipokuwa paragraph ya mwisho niweke maneno kidogo.
Maandamano haya yana element nyingi sana ndani yake, naamini hata wao na vyombo vyao kuna kitu wamejifunza. Huko mbele hali itakuwaje, ni swali ambalo nadhani nitaweka akiba ya maneno kidogo kwasababu ni ukweli CCM wakipata tishio la msingi kabisa hufanya jitihada za kubadilika. Ngoja tuendelee tazama wanavyo changa karata zao upya.
Okay, nilijiwa na swali hilo kwakuwa niliona video yako nyingine ukieleza maswahibu yaliyo kukuta baada ya kuuliza swali lile ikulu na kuwa kweli mayalla (njaa) ilikupata baada ya pale.Ukiwajibu unakula tusi, kama ulikuwa umri wa makamo, utakuwa ulikiona kipindi changu cha Kiti Moto, yale ndio maswali yangu, JPM ni mtu wangu, tukikutana tunaongea, hivyo nililala kawaida kabisa.
Huwa tunakutana kutana na JPM kitaa
View: https://youtu.be/kws2YUVqNq0?si=e2-xC_q5v6XPXMaf
P
Niliandika kwa kurejea hali ya 2015 na maamuzi ya CCM kuja na JPM kama mtu sahihi dhidi ya hoja zote zilizo elekezwa kwao kisiasa.Ndugu yangu , unasema watabadilika, ili waweje, hivi kwa akili ya kawaida, wakinadilika wanabadilikaje, hicho chama , kuanzia Viongozi wao wote mpaka uongozi wa chini kabisa, akili zao ndio hizo, mpaka washabiki wao wapo hivyo, leo wabadikike, kinabadilika kitu gani, ndio maisha waliozoea, dawa ni kufura hicho chama kabisa
Unawaboa watu, watakuunganisha kwenye list.Ukiwajibu unakula tusi, kama ulikuwa umri wa makamo, utakuwa ulikiona kipindi changu cha Kiti Moto, yale ndio maswali yangu, JPM ni mtu wangu, tukikutana tunaongea, hivyo nililala kawaida kabisa.
Huwa tunakutana kutana na JPM kitaa
View: https://youtu.be/kws2YUVqNq0?si=e2-xC_q5v6XPXMaf
P
Sawa NimekusikiaKwani wewe ni Mungu?, kuna mtu alikuwa mbabe kama JPM?, yuko wapi?, kama tulipambana na hali zetu wakati wa Chuma, Magufuli na bado tupo, itakuwa huyu Dada yangu Samia?. Nipo napambana na nipo sana tuu!.
P
Kosa langu kuu humu jf ndio hili la kuusema ukweli ulivyo hata kama utawaboa wasioukubali ukweli,siandiki kufurahisha watu,nawaeleza ukweliUnawaboa watu, watakuunganisha kwenye list.
Read the room.
Kwa nini iwe hivyo?Kosa langu kuu humu jf ndio hili la kuusema ukweli ulivyo hata kama utawaboa wasioukubali ukweli,siandiki kufurahisha watu,nawaeleza ukweli
Mfano mzuri ni kuhusu matokeo ya uchaguzi, akiishatangazwa ni uchaguzi umekwisha,akiisha apishwa ni rais wa JMT, no one can do anything na sasa ndio itakuwa hakuna nywinyi wala nywinywinywi!
P
Kwa nini iwe hivyo?
Kwa nini iwe ukitangazwa uchaguzi umekwisha?
Hivi unaweza kuutetea utawala dhalimu wa makaburu wa Afrika Kusini kwa sababu kulikuwa na sheria zinazoupa nguvu ya kubagua weusi ulivyowabagua?
Kama sheria ni dhalimu, ukitetea utawala unaosimamishwa na sheria dhalimu, kwa nini na wewe tusikuite mdhalimu?
Na wewe nawe?Tumemshauri humu kazi ya kwanza baada ya kuapishwa ni healing the nation,
Kwa mujibu wa katiba yetu,akiishatangazwa,ndio ametangazwa,uchaguzi umekwisha,there is nothing anybody can do. Kitu cha kwanza baada ya kuapishwa,
1. atoe a general amnesty kwa wale wahalifu wote waliofanya ule uhalifu kwasababu japo ni wahalifu kwa maandamano yaliyoambatana na uharibifu wa mali wa kijinai, kwa wengine hawa vijana ni mashujaa wakombozi waliojitoa kuipigania nchi yao, asiwaadhibu. Tena CDF Mkunda aondoshwe, Wale the good ones waandikishwe JKT wachujwe, waajiriwe jeshini.
2. akubali serikali italipa fidia kwa kila uharibifu uliotokea kwasababu ni serikali yake imesababisha yote haya.
3. a heal the nation kwa kuwateua Lissu,Zitto,Mpina,na Mwalimu katika zile nafasi zake 10 za ubunge ili kuwapoza moto Gen Zii, mtu kama Lissu akisimama na kusema tulieni, vijana wanatulia.
4. Ashushe mabega chini,awe humble,aje down to earth, asiendelee kutambia urais wake wala u mimi ndie Amiri Jeshi, 5 days taifa limechafuka hakuna kauli ya CinC!
5. a wa disband wasiojulikana ambao ni 'wasiojulikana', na ni “wasiojulikana” kweli hawajulikani,akubali serikali yetu haina uwezo kuwabaini,aombe msaada wa kusaidiwa na yeyote,tukiwemo sisi waandishi wa IJ.
P
Kosa langu kuu humu jf ndio hili la kuusema ukweli ulivyo hata kama utawaboa wasioukubali ukweli,siandiki kufurahisha watu,nawaeleza ukweli
Mfano mzuri ni kuhusu matokeo ya uchaguzi, akiishatangazwa ni uchaguzi umekwisha,akiisha apishwa ni rais wa JMT, no one can do anything na sasa ndio itakuwa hakuna nywinyi wala nywinywinywi!
P
Unaumia ukiwa wapi?Wamemtangaza..watamuapisha
Watawalazimisha Watanzania kumpenda na kumuimbia tena...picha zake zitajazwa kila kona
Atakapoapishwa atapangua jeshi la polisi na kuwalaumu wao...
Lakini hadi hivi sasa hawajaonesha hata kidogo kuelewa kilichotokea...kusikitika lakini kitendo cha kuleta mamluki kwenye nchi yetu ni dhambi kubwa sana...
Wao wamemtangaza kwa risasi
Mioyo imemkataa na kuasi.
for the second or third timeTutaanza kusikia neno "Wakimbizi wa Kitanzania"
Mkuu Kija, Kijakazi , kuna watu ni ma bold, kama wewe ni wa mwaka 47 utakuwa unakijua kipindi changu cha Kiti Motohaiwezekani hata siku moja kwenye communist country ukatumia real id yako halafu ukawa huru kimawazo.
kwangu mimi you are just gaslighting people lkn ni mmoja wao, i.e sehemu ya huu mfumo unao tesa na kuuwa watu, vinginevyo usingekuwa huru hivyo tena na picha yako juu? halipo hilo.
i mean kwenye nchi ambayo wanadiriki kuzima internet karibia wiki in the 21st century ambapo internet ni kila kitu halafu wewe ujianike hivyo huku ukijaribu kuaminisha watu kwamba hauna upande? …
ukaharibu kabisa na kuthibitisha kualika mwandishia wa kujitegemea ni makosa.Mkuu Kija, Kijakazi , kuna watu ni ma bold, kama wewe ni wa mwaka 47 utakuwa unakijua kipindi changu cha Kiti Moto
Naamini hili
View: https://youtu.be/Ta0URHvUlko?si=PYRR9SOeHpyu98oNswali uliliona.
January nimealikwa Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma na kupewa a VIP treatment, angalia nilichokuja kuandika kwenye gazeti la Mwananchi
https://www.mwananchi.co.tz/mw/haba...fanyika-mkutano-mkuu-wa-ccm-ni-batili-4905320
Na sikuishia hapo, nikamwandikia Dada barua
P
I mean Tanganyikansfor the second or third time
Yes, kina Lema, Wenje, TAL hawakuwa wakimbizi?I mean Tanganyikans