Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Status
Not open for further replies.
Ndugu zangu,

mimi ni kijana wa pekee na wa mwisho katika familia yetu yenye jumla ya watoto sita. Ni familia ya kimaskini ila watoto tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha tunapunguza ukali wa maisha hapa nyumbani kwa kufanya kazi bila kuchoka usiku na mchana ila changamoto kubwa imekuwa husuda na kijicho kwa majirani zetu ambao wanahaha kushika shati familia hii kwa ushirikina lakini mbali na hayo yote we never give u
p united we stand and moves foward regardless our acceleration toward our goals.

binafsi mimi ndio muhanga na muahthirika mkubwa kwa hili gumu kwani kwa zaidi ya miaka 19 hadi sasa ndugu zangu sijawahi kuwa na furaha maishani mwangu....trust me its all about misery, sickness, lack of affection, unlucky na mambo mengi mabaya kwa binadamu..there comes a times it feels like the world is upon my shoulder..can't take this shiit no more nimejaribu kuwa mwema, muungwana na mnyenyekevu kwao bila mafanikio sitaki kuchuma dlhambi tena kwa mateso niliyopata katika dunia hii imetosha mungu ni mwema atanipumzisha milele kiumbe wake ain't fear death!! because its inevitable am ghood to go for it for their happiness and fantasy..

nilikuwa na plan ya kutafuta anyone with the solution kwa maaana ya traditional healer au yeyote mwenye productive ideas aweze nisaidia NITOE AWARDS ya tshs milioni moja but naona kama its a waste of time watu nao wamekuwa matapeli tu nowdays..yaani we living in craaaazy time folks!!! nimetibiwa na wataaalamu wa tiba asilia, hospitali za rufaa na kuombewa na wachungaji lakini hoola!!! hell no!! mungu ananitaka mwanae si bure...na he is the master of the people so far so am good to go.....though ukioniona live huwezi hata kuhisi kama mimi ni mgonjwa!! huwezi!

nimetoa dukuduku langu nahisi kama relief flani nimepata...!

kila la kheri wandugu.....

Nakushauri hiyo Milioni moja nenda katoe sadaka. HAKIKA UTAPONA
 
You make me sad honestly.. Kwann hutaki kufanya vipimo nilivyo kushauri, utakwenda bugando hata miaka 100 Kama utaweza kuishi hutopata jibu kwasabab nimekuambia tatizo Hilo linalosumbua familia yenu bado lipo kwenye research, madaktari hawajaanza kufundishwa bado! Tuma urine and blood sample marekani watakupima baada ya week 2 utakuwa umepata majibu, kwann usinipatie namba ya simu ya member yoyote wa familia yako au mama yako pengine atasikia, kuna sababu gani ya kuomba msaada wakati umeshafanya conclusion kwamba umelogwa? Why are you here then!
 
Nipm uniambie nini kinakusumbua specifically ntakusaidia haya yapo mengi tu duniani hata mm yapo yaliyonipata lkn kwa sasa naona yanaelekea mwisho
 
Acha kukufuru Mbiirwa!!! Huwa napata tabu watu wengi huwa mnafikiri nini!! Nani alikuambia kuwa na dalili nyingi ni kufa?? Kwa taarifa yako Mimi nilikuwa na zaidi ya hizo na sikufa nipo hai mzima wa afya, ipo siku utazongwa na matatizo ya afya ndio utatia akili.
 
kwa msisi ndio wapi ndugu yangu popiexo?

kumbe hata kwa msisi hujaenda kisha unakuja kutoa ahadi ya 1m hapa...ebu nenda kafanye homework yako ipaavyo sio unakaa jf kuomba msaada online...tembea kijana acha kulialia.
 
You make me sad honestly.. Kwann hutaki kufanya vipimo nilivyo kushauri, utakwenda bugando hata miaka 100 Kama utaweza kuishi hutopata jibu kwasabab nimekuambia tatizo Hilo linalosumbua familia yenu bado lipo kwenye research, madaktari hawajaanza kufundishwa bado! Tuma urine and blood sample marekani watakupima baada ya week 2 utakuwa umepata majibu, kwann usinipatie namba ya simu ya member yoyote wa familia yako au mama yako pengine atasikia, kuna sababu gani ya kuomba msaada wakati umeshafanya conclusion kwamba umelogwa? Why are you here then!

huu ni zaidi ya ubinadamu

God bless you
 
Pole sana bwandugu haya mambo yapo jamani kuna jamaa namjua kabisa alijinyima akajenga nyumba yake ya kisasa nzuri mwanzo alikuwa amepanga shughuli ilianza pale alipohamia kwenye mjengo wake mara ana mapepo mara ndani kaingia nyoka nyumba yenyewe haina upenyo au makorokoro jamaa alikaa nyumbani mwaka mzima hawezi kwenda kazini akijaribu tu kupanda gari basi ataumwa na kichwa vibaya sana kaombewa na walokole lakini ndo kama wanayachokoza jamaa kajaribu tiba asilia wamepunguza kidogo sio km mwanzo lakini bado hayuko njema sana angalau kazini anaweza kwenda kiubishi usiombe yakukute haya mambo yapo
 
Mold can make your life a living hell, najua ninachokizungumza kwani yalinitokea ndio maana nipo tayari kukusaidia kwa Hali yoyote, hakuna daktari anayelijua hili bongo watu wengi wanasumbuliwa na mold na wala hawajui mpaka wanakufa, nilipanga kwenda kwenye television kuzungumzia hili tatizo Nina uhakika kuna watanzania wengi likawagusa, mtu mwingine unakuta haumwi kabisa ila anakuwa mgomvi,Ana tabia za ajabu familia Inashindwa kumuelewa kumbe mycotoxins ime damage brain yake bila kufanya detoxification Hali inabaki Kama ilivyo.

Kaka mambo mengi yaliyoongelewa humu yanamhusu mdogo wangu tatizo lilianza miaka sita iliyopita baada ya kupata matokeo ambayo hakuyapenda ingawa alipata nafasi ya kusoma mlimani alisoma mwaka mmoja akashindwa kuendelea.tumempeleka muhimbili kwa muda kama miaka miwili ndipo akafanikiwa kurudi chuo.amemaliza mwaka huu lakini tabia zake ni hovyo hovyo hasikii la yeyote hana ushirikiano tumeshindwa namna ya kumsaidia tunamuangalia tu.
 
Ndugu yangu Kirundi mdogo wako ni mgonjwa madhara ya toxins kwenye ubongo ni makubwa sana! Inasabsbisha neurotransmitter kushindwa kuwasiliana vyema, matokeo yake mtu anakuwa na tabia zisizoelezeka inabadilisha personality ya mtu kabisa, nakushauri Kama mna uwezo mpelekeni marekani kwa matibabu kuna center kubwa inayoshughulika na environmental disease atatibiwa na atapona kabisa,au pelekeni samples za mkojo na damu.
 
Rudi kanisani uombewe maombi ya mnyololo au maombi ya waombaji ambao wanafunga kwa ajili yako. nina amini ya kuwa utapona kwani wenye matatizo kama yako sasa wamepona na wanayashuhudia matendo makubwa ya Mungu Baba.Kama upo dar njoo Ubungo Kibangu muone Mchungaji Ananja nina hakika Mungu atakuponya kupitia Mtumishi wake hyo.

Asante kwa mawazo haya ila kwa sasa nipo mwanza, nitajitahidi kuratibu taratibu safari hata ya kwenda dar kuonana na mchungaji.
 
Kaka mi kifua kinabana sana nashindwa hata kufikiri kwa kina, nasahau hovyo hovyo, kichwa kinauma, mwili wote unawaka moto, ndoto za ajabu ajabu, mkosi na hakuna anaenipenda kwa sasa isipokuwa mama yangu mzazi tu...naambatana na mikosi ya ajabu!! N.k

Yaani hali tia maji tia maji kaka sokwe!!
Yaani wewe uwe na tabia mbaya halafu utegemee kupendwa..?? Usikute hata mama yako hakupendi ila afanyeje tu basi....
 
Mkuu Folk, kwanza pole sana kwa yote!, hapo hakuna uchawi wala ndumba!, its all inyour head!.
Uchawi ni kweli upo, ila unaweza kumdhuru tuu yule anayeamini!. Ili udhurike kwanza lazima uamini, na ukiamini kinachokudhuru sio huo uchawi bali the power inside you ina act negativelt kwa nguvu za giza, unaathirika na kwa vile ulidhani umelogwa, unajiona umelogwa!.

Kwa jinsi nilivyokusoma ni kweli unamatatizo, hata andiko lako linadhibitisha!, hujasema unasumbuliwa na nini?, unatoa ahadi ya kutoa milioni moja kwa atakayekusaidia!, huku unatuaga kuwa unakwenda kufa na uko tayari kufa!. Hii ni dalili ya confussion!. Msaada pekee wa kweli ni Be positive kuwa hulogeki, na amini utapata kila mafanikio unayoyataka!.
Hiyo milioni yangu nakuomba sana ukawape masikini!.
Pasco

Nimefurahi kuona maandishi yako hapa ndugu, huwa sina shaka na uwezo wako wa kuchambua mambo.

Nakushukuru pia nitazingatia na hili ndugu.
 
Pole sana ndgu yetu, kuna ndugu yetu aliwahi kuwa na matatizo km yako alitibiwa kila hospital ikiwa ni pamoja na muhimbiri na Lugaro lkn hakupata nafuu mwisho akakata shauri kwenda kwa watalaamu wa tiba kienyeji bahati mbaya tulipoteza. Likini kuna rafiki yangu alikuwa na matatizo km yako kwa sasa anaendelea vizuri lakini iligundulika kuwa alikuwa na tatizo kwenye uti wa mgongo na kusababisha kubanwa kwa mishipa ya fahamu hivyo kupoteza kumbukumbu, kuota ndoto mbaya, kukosa nguvu na nk. alipimwa kimipo cha MRI sina hakika na jina lake mi siyo Dakatari nahishi hivyo pale muhimbili ni laki 7 agha khan Dsm inaweza kuwa zaidi. lkn hivi karibuni nilikutana na mama mmoja kwenye basi katika maongezi tukazungumzia ugonjwa km huo, aliniambia kuwa yeye alikuwa anaumwa vibaya mpaka alihisi kurogwa lkn ilikuja kugundulika kuwa mishipa ya fahamu ilikuwa imebanwa kwenye uti wa mgongo. kwa sasa anafanya mazoezi kwa kutumia technolojia ya Korea ya kitanda cha umeme maarufu km huduma ya seragem hapa Dsm. jaribu kuangalia vitu hivyo huenda una tatizo hilo.

Pia jaribu kuulizia historia au wewe mwenyewe vuta kumbukumbu km hukuwahi kuumia mgongo au ajari katika michezo ya utotoni, au kuanguka kidogo na nk. ukipata jawabu fanya utafiti utapata jibu then nilazima umpate daktari bingwa nafikiri wa mifupa hao wengine watakula pesa zako na mwisho watakwambia umelogwa.

Polse sana. km ukifanikiwa leta majibu hapa ili tujue na tuwasaidie wengine pia.
 
Yaani wewe uwe na tabia mbaya halafu utegemee kupendwa..?? Usikute hata mama yako hakupendi ila afanyeje tu basi....

Binafsi nikisoma maandishi ya mtu huwa natengeneza sauti yake kwangu na kujaribu kubashiri hata tabia yake.jaribu kunisoma kupitia maandishi yangu ingawaje naamini nina intrapersonal conflict, stress na pia frastruation.

Ila nakutoa shaka ndugu, mimi ni kijana muungwana na mnyenyekevu pia..sijaribu kufake niko hivyo.
 
You make me sad honestly.. Kwann hutaki kufanya vipimo nilivyo kushauri, utakwenda bugando hata miaka 100 Kama utaweza kuishi hutopata jibu kwasabab nimekuambia tatizo Hilo linalosumbua familia yenu bado lipo kwenye research, madaktari hawajaanza kufundishwa bado! Tuma urine and blood sample marekani watakupima baada ya week 2 utakuwa umepata majibu, kwann usinipatie namba ya simu ya member yoyote wa familia yako au mama yako pengine atasikia, kuna sababu gani ya kuomba msaada wakati umeshafanya conclusion kwamba umelogwa? Why are you here then!

Uungwana ni vitendo ndugu! Binadamu wa kariba yako wamepungua kwa kasi kubwa sana huku Tanzania ndugu.

Helping and caring with empathy.

Nitakupa mrejesho punde baada ya kufikia hitimisho ndugu.

Kila la kheri sokwe.
 
Unanishangaza sana! Upo tayari kutoa million 1 kwa mtu atakayekusaidia tatizo lako, kwann usitumie hizo pesa kwa vipimo nilivyo kushauri? Ina cost dola 699 kwa kipimo cha mkojo, Hebu fanya hicho kimoja kwanza,au ndio umekubali umerogwa? Maana hutaki hata niongee na mama yako sasa sijui unataka msaada gani!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom