Mdogo wangu mungu akubariki sana! Wala hujarogwa Kama unavyofikiria wewe unasumbuliwa na sick house syndrome! You're allergic to mold, ni tatizo Hilo Hilo lilinifanya Mimi kuwa mgonjwa kwa miaka 2 nikakata tamaa ya maisha aliyenifungulia njia alikuwa mmarekani mwanajeshi mgeni ambaye alikuwa amehamishiwa kikazi hapa Japan aliniomba nimsaidie kumtembeza hapa Tokyo japokuwa Hali yangu haikuwa nzuri kiafya nilikubali bahati mbaya ktk kumtembeza niliishiwa nguvu na kuanguka! Alinisaidia kwenda hospital lakini nilishakwenda hospital zote kubwa hapa Japan na hakuna walichokiona, huyu kijana mdogo wa kizungu aliponiambia inawezekana unasumbuliwa na mold! Sikuwahi kusikia habari za mold ila nilivyokuja fanya research nikakuta Nina dalili nyingi sana, bahati mbaya madaktari wanaotibu Hilo tatizo sio wengi ila linatibika nilikwenda kutibiwa marekani Washington na nimepona kabisaaaa! Nitakupa dalili chache za mold unaweza ukawa nazo zote a upungufu au zaidi, headache, insomnia, anxiety, depressed, fatigue, night sweating, low sexual drive, low cortisol, anemia. Low white blood cell, irregular heart beat, confusion, poor concentration, blurred vision, lack of energy, bad dreams,poor digestion, cold hands and feet, feeling thirsty all the time, burning sensation, ears ringing e.t.c. Nina uhakika ndio tatizo lako, mold ni aina ya fungus ambao wana produce secondary metabolic inaitwa mycotoxins, kadili inavyozidi kukaa kwenye mazingira ya mazalio yake ndivyo inavyozidi kukufanya mgonjwa Kama una uwezo wa kwenda kutibiwa marekani nitakupatia namba ya simu na jina la huyo daktari, ila kwa sasa jambo la kwanza kufanya ni kuhama hapo unapoishi.