Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Status
Not open for further replies.
Nina uwezo wa kumsaidia mtu huyu wagonjwa wa aina hii wanaongezeka sana.tatizo alilonalo ni moja kati ya magonjwa ya akili.na wengi wenu humu jammii forum mnayo so kwa msaada ni pm niwapatieni utabibu.shukran na karibuni.

Nice promotion
 
Ndugu zangu,

mimi ni kijana wa pekee na wa mwisho katika familia yetu yenye jumla ya watoto sita. Ni familia ya kimaskini ila watoto tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha tunapunguza ukali wa maisha hapa nyumbani kwa kufanya kazi bila kuchoka usiku na mchana ila changamoto kubwa imekuwa husuda na kijicho kwa majirani zetu ambao wanahaha kushika shati familia hii kwa ushirikina lakini mbali na hayo yote we never give u
p united we stand and moves foward regardless our acceleration toward our goals.

binafsi mimi ndio muhanga na muahthirika mkubwa kwa hili gumu kwani kwa zaidi ya miaka 19 hadi sasa ndugu zangu sijawahi kuwa na furaha maishani mwangu....trust me its all about misery, sickness, lack of affection, unlucky na mambo mengi mabaya kwa binadamu..there comes a times it feels like the world is upon my shoulder..can't take this shiit no more nimejaribu kuwa mwema, muungwana na mnyenyekevu kwao bila mafanikio sitaki kuchuma dlhambi tena kwa mateso niliyopata katika dunia hii imetosha mungu ni mwema atanipumzisha milele kiumbe wake ain't fear death!! because its inevitable am ghood to go for it for their happiness and fantasy..

nilikuwa na plan ya kutafuta anyone with the solution kwa maaana ya traditional healer au yeyote mwenye productive ideas aweze nisaidia NITOE AWARDS ya tshs milioni moja but naona kama its a waste of time watu nao wamekuwa matapeli tu nowdays..yaani we living in craaaazy time folks!!! nimetibiwa na wataaalamu wa tiba asilia, hospitali za rufaa na kuombewa na wachungaji lakini hoola!!! hell no!! mungu ananitaka mwanae si bure...na he is the master of the people so far so am good to go.....though ukioniona live huwezi hata kuhisi kama mimi ni mgonjwa!! huwezi!

nimetoa dukuduku langu nahisi kama relief flani nimepata...!

kila la kheri wandugu.....
Huna haja ya kutoa hiyo milioni moja kwani tiba ya matatizo yako unayo mwenyewe.
kwani kutokana na maelezo yako ni kuwa una stress iliyokithiri na imekuletea depression ambayo hali hiyo siyo nzuri kwani inaweza kusababisha ukafanya mambo ya ajabu tu.
unachotakiwa ni kuidhibiti hali hiyo [stress management] hebu jaribu ingia hapa
http://www.mayoclinic.com/health/positive-thinking
 
Vyema kwa vyema kaunga. umejenga hoja thabiti hii, Nahisi kama kuna haja ya kuutizama ushauri wako kwa uzito unaostahili.pia sokwe ni mtu mzuri anaonekana.

Nimesome page ya mwanzo mpaka mwsho, nimeziona comments zote, ila ndg sokwe kaonesha nia ya dhati maana hata kujitolea kuandka kwa marefu na mapana ni msaada tosha. Babadua kwa uelewa pia la msingi ufate ushaur wa ndg Sokwe unaweza saidiwa, fanya huo mpango wa U.S.A , nakuombea nafuu na uponaj wa haraka. AMEEN
 
Kama una smell odor nyumbani kwako ni halafu ya ajabu ila sio lazima watoe harufu mold grow kwenye sehemu zenye maji maji na moisture, bafuni, Kama paa linavuja, aircondition au takataka zilizoacha kwa muda mrefu or leakage water pipe Kama nyumba niliokuwa nikiishi, wengine wanaweza kuwa na mild symptoms Kama hujakuwa exposed sana, ambazo zitapotea baada ya kusafisha maeneo yenye mold, isipokuwa inabidi kazi hiyo ifanywe na wataalamu vinginevyo ni kusababisha kuzaliana zaidi kwa mold na athari kwa atakayekuwa anafanya zoezi Hilo, nafikiri umenielewa mkuu Ali124.
 
Soma biblia kuhusu mold kwenye,Leviticus 13:47-59 NIV, g'day.

Una ktu knaitwa sympath and compassion cjui we ni daktari, kama svyo bas ungetumia hata mshahara wako kuwatbu wagonjwa, Mungu akubariki sana ndg yangu
 
Kama kuna stream ya maji maji inapita karibu na mjengo wako! Hapo ndio mazalio ya mold ushauri wangu ni vyema ukahama maeneo hayo, maana hata ukisema mazingira yasafishwe toxins zinazosababishwa na mold zinachukua zaidi ya mwaka kupotea mkuu Ali124.
 
Mimi sio daktari ila yanayomkuta huyu ndugu yalinikuta Mimi, utaongopewa ni stress au depression labda nikuambie, niliambiwa hivyo na madaktari hapa Japan... Ooh unasumbuliwa na mentally illiness na hata kuanza kutumia antidepressants na anti anxiety medication hakuna nafuu hata kidogo, unapoumwa muda mrefu bila kujua unaumwa nn pekee yake inakupelekea kuwa stressful na depressed utapotibu Hilo tatizo utakuta depression na stress zinaondoka zenyewe.
 
ni kweli uyasemayo ila ndg yetu keshakuwa na hallucination (false believe) anashndwa kufanya maamuzi sahihi ya upande upi aende maana ushaur ni mwing mno hapa
 
Ni hiyari yake kufanya maamuzi yaliyo sahihi, nafikiri nimefanya kile mungu angependa nifanye, unaweza kumpeleka punda mtoni, ila kunywa maji ni hiyari yake, I play my part and god knows I played it well, muache aende anapotaka ila namuhakikishia hatopata Tiba.
 
Urogwe vp na uchawi ni story za kusadikika tu. Tulia, soma, Fanya kazi kwa juhudi mambo yatakua sawa tu. Pole sana kwa matatizo ya kiafya mkuu usichoke kutafuta tiba
 
Nimefanya medical examination Bugando medical center kaka sokwe kwa takribani miaka minne mfululizo bila mafanikio, pia ishu ni ya miaka zaidi ya 19 inasumbua. Sifichi kitu kaka mi kama kwa sangoma nimekwenda na nadhani idadi yao ni kubwa ila haimaanishi kwamba simpi mungu thanx and praises zake ila naamini mungu anatungua watu wake hata kwa magome ya miti ya sangoma maana yeye ndie alieweka miti hii hapa duniani.

Mbali na hayo naweza kuhisi kitu kisicho cha kawaida mwilini kwangu na kutafuta jawabu lake...I mean I can't feel it from what is going on through and within my body and make a soundable conclusion. Tunakubali au tunakataa kaka hii ni taaluma ya waswahili.

Kind regards.
kaka, why don't you see wataalam wa afya ya akili na fahamu - neuro. Nami nimeandika kiswanglishi Kama ulivyoandika wewe ili tuelewane
 
Ndugu zangu,

mimi ni kijana wa pekee na wa mwisho katika familia yetu yenye jumla ya watoto sita. Ni familia ya kimaskini ila watoto tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha tunapunguza ukali wa maisha hapa nyumbani kwa kufanya kazi bila kuchoka usiku na mchana ila changamoto kubwa imekuwa husuda na kijicho kwa majirani zetu ambao wanahaha kushika shati familia hii kwa ushirikina lakini mbali na hayo yote we never give u
p united we stand and moves foward regardless our acceleration toward our goals.

binafsi mimi ndio muhanga na muahthirika mkubwa kwa hili gumu kwani kwa zaidi ya miaka 19 hadi sasa ndugu zangu sijawahi kuwa na furaha maishani mwangu....trust me its all about misery, sickness, lack of affection, unlucky na mambo mengi mabaya kwa binadamu..there comes a times it feels like the world is upon my shoulder..can't take this shiit no more nimejaribu kuwa mwema, muungwana na mnyenyekevu kwao bila mafanikio sitaki kuchuma dlhambi tena kwa mateso niliyopata katika dunia hii imetosha mungu ni mwema atanipumzisha milele kiumbe wake ain't fear death!! because its inevitable am ghood to go for it for their happiness and fantasy..

nilikuwa na plan ya kutafuta anyone with the solution kwa maaana ya traditional healer au yeyote mwenye productive ideas aweze nisaidia NITOE AWARDS ya tshs milioni moja but naona kama its a waste of time watu nao wamekuwa matapeli tu nowdays..yaani we living in craaaazy time folks!!! nimetibiwa na wataaalamu wa tiba asilia, hospitali za rufaa na kuombewa na wachungaji lakini hoola!!! hell no!! mungu ananitaka mwanae si bure...na he is the master of the people so far so am good to go.....though ukioniona live huwezi hata kuhisi kama mimi ni mgonjwa!! huwezi!

nimetoa dukuduku langu nahisi kama relief flani nimepata...!

kila la kheri wandugu.....

Duh! Umasikini wako mzuri, unatoa zawadi hadi ya million moja.
 
ni kweli nafasi yako umeicheza ilvyo, hujasubr kuchezewa na mtu mwngne, binafs nashukuru umenifumbua macho kwa mengi
 
Hapa ugonjwa unaokusumbua ni kudhani umerogwa, toa hili wazo kwa akili yako kwanza ndio uendelee na mengine. Hakuna kitu kinaitwa uchawi hizo story tu
 
Pole ndugu yangu sijakuelewa vizuri ila nahisi kama unataka kujiua tafadhali usuthubutu vumilia ni majaribu yatapita kujiua kwa njia yoyote ni mbaya mno amini kuna maisha baada ya kufa.Pia nakushauri uombe kila wakati kwa bidii tubu makosa na epuka nafasi za kutenda dhambi maana yake ndio milango anayotumia mshirikina kuingia kirahisi kwa mtu.Pia epuka interaction zisizo za lazima na hao majirani zako unaowasema.Kama uko Dar es salaam nenda kituo cha huduma ya maombezi kiko River side(siyo kwa mzee wa upako) utasaidiiwa hakuna gharama yoyote!
 
Ndugu zangu,

mimi ni kijana wa pekee na wa mwisho katika familia yetu yenye jumla ya watoto sita. Ni familia ya kimaskini ila watoto tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha tunapunguza ukali wa maisha hapa nyumbani kwa kufanya kazi bila kuchoka usiku na mchana ila changamoto kubwa imekuwa husuda na kijicho kwa majirani zetu ambao wanahaha kushika shati familia hii kwa ushirikina lakini mbali na hayo yote we never give u
p united we stand and moves foward regardless our acceleration toward our goals.

binafsi mimi ndio muhanga na muahthirika mkubwa kwa hili gumu kwani kwa zaidi ya miaka 19 hadi sasa ndugu zangu sijawahi kuwa na furaha maishani mwangu....trust me its all about misery, sickness, lack of affection, unlucky na mambo mengi mabaya kwa binadamu..there comes a times it feels like the world is upon my shoulder..can't take this shiit no more nimejaribu kuwa mwema, muungwana na mnyenyekevu kwao bila mafanikio sitaki kuchuma dlhambi tena kwa mateso niliyopata katika dunia hii imetosha mungu ni mwema atanipumzisha milele kiumbe wake ain't fear death!! because its inevitable am ghood to go for it for their happiness and fantasy..

nilikuwa na plan ya kutafuta anyone with the solution kwa maaana ya traditional healer au yeyote mwenye productive ideas aweze nisaidia NITOE AWARDS ya tshs milioni moja but naona kama its a waste of time watu nao wamekuwa matapeli tu nowdays..yaani we living in craaaazy time folks!!! nimetibiwa na wataaalamu wa tiba asilia, hospitali za rufaa na kuombewa na wachungaji lakini hoola!!! hell no!! mungu ananitaka mwanae si bure...na he is the master of the people so far so am good to go.....though ukioniona live huwezi hata kuhisi kama mimi ni mgonjwa!! huwezi!

nimetoa dukuduku langu nahisi kama relief flani nimepata...!

kila la kheri wandugu.....
Mkuu Folk, kwanza pole sana kwa yote!, hapo hakuna uchawi wala ndumba!, its all inyour head!.
Uchawi ni kweli upo, ila unaweza kumdhuru tuu yule anayeamini!. Ili udhurike kwanza lazima uamini, na ukiamini kinachokudhuru sio huo uchawi bali the power inside you ina act negativelt kwa nguvu za giza, unaathirika na kwa vile ulidhani umelogwa, unajiona umelogwa!.

Kwa jinsi nilivyokusoma ni kweli unamatatizo, hata andiko lako linadhibitisha!, hujasema unasumbuliwa na nini?, unatoa ahadi ya kutoa milioni moja kwa atakayekusaidia!, huku unatuaga kuwa unakwenda kufa na uko tayari kufa!. Hii ni dalili ya confussion!. Msaada pekee wa kweli ni Be positive kuwa hulogeki, na amini utapata kila mafanikio unayoyataka!.
Hiyo milioni yangu nakuomba sana ukawape masikini!.
Pasco
 
Mdogo wangu mungu akubariki sana! Wala hujarogwa Kama unavyofikiria wewe unasumbuliwa na sick house syndrome! You're allergic to mold, ni tatizo Hilo Hilo lilinifanya Mimi kuwa mgonjwa kwa miaka 2 nikakata tamaa ya maisha aliyenifungulia njia alikuwa mmarekani mwanajeshi mgeni ambaye alikuwa amehamishiwa kikazi hapa Japan aliniomba nimsaidie kumtembeza hapa Tokyo japokuwa Hali yangu haikuwa nzuri kiafya nilikubali bahati mbaya ktk kumtembeza niliishiwa nguvu na kuanguka! Alinisaidia kwenda hospital lakini nilishakwenda hospital zote kubwa hapa Japan na hakuna walichokiona, huyu kijana mdogo wa kizungu aliponiambia inawezekana unasumbuliwa na mold! Sikuwahi kusikia habari za mold ila nilivyokuja fanya research nikakuta Nina dalili nyingi sana, bahati mbaya madaktari wanaotibu Hilo tatizo sio wengi ila linatibika nilikwenda kutibiwa marekani Washington na nimepona kabisaaaa! Nitakupa dalili chache za mold unaweza ukawa nazo zote a upungufu au zaidi, headache, insomnia, anxiety, depressed, fatigue, night sweating, low sexual drive, low cortisol, anemia. Low white blood cell, irregular heart beat, confusion, poor concentration, blurred vision, lack of energy, bad dreams,poor digestion, cold hands and feet, feeling thirsty all the time, burning sensation, ears ringing e.t.c. Nina uhakika ndio tatizo lako, mold ni aina ya fungus ambao wana produce secondary metabolic inaitwa mycotoxins, kadili inavyozidi kukaa kwenye mazingira ya mazalio yake ndivyo inavyozidi kukufanya mgonjwa Kama una uwezo wa kwenda kutibiwa marekani nitakupatia namba ya simu na jina la huyo daktari, ila kwa sasa jambo la kwanza kufanya ni kuhama hapo unapoishi.

Uwe dalili zote hizo na usife!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom