Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Status
Not open for further replies.
Angalia mazingira ya nyumbani kwenu, Kama paa linavuja yaani Kama unaona ceiling board zimeweka maduara yenye rangi ya kijani au weusi, bafuni au aircondition unit, mold growth depend on moisture, dark area and low air circulation.
 
Unahitaji body detoxification na antifungal therapy lakini ni lazima daktari ajue ni aina gani mold umekuwa exposed to na mycotoxins kwenye mwili wako pamoja na nutrition supplements.

Sio siri nimefurahishwa na kuhamasishwa sana wewe kaka kwana namna ulivyoguswa na kutoa moral and material support kwa hili gumu kwangu natayafanyia kazi yale yote uliyonishauri na kunielekeza. You are awesoooome!!

Watanzania tujifunze kitu kwa kaka sokwe this life don't last forever, tusikejeli na kuhukumu offer tujenge kwa mawazo huru hata kama tujitofautiana haiondoi ukweli kwamba watanzania tunapendana pia kutotautiana ndio utajiri wa mawazo na pia ndio njia sahihi ya kujenga mawazo imara na murua.

Thanx bro your appreciated!!
 
Angalia mazingira ya nyumbani kwenu, Kama paa linavuja yaani Kama unaona ceiling board zimeweka maduara yenye rangi ya kijani au weusi, bafuni au aircondition unit, mold growth depend on moisture, dark area and low air circulation.

Alaaa kumbe ni hivi!! Ila this must be satan/lucifer doing his dirty job bro....miaka kumi na tisa mfululizo something mystical and stranger moving within my body then ije kuwa mold? It might be na inabidi nikaulize pale Bugando kama naweza kufanyiwa huu uchunguzi wa mold...am smart enough bro...ila asante kwa kustress hili pia nakuhaidi nitalifanyia kazi!
 
Mold can make your life a living hell, najua ninachokizungumza kwani yalinitokea ndio maana nipo tayari kukusaidia kwa Hali yoyote, hakuna daktari anayelijua hili bongo watu wengi wanasumbuliwa na mold na wala hawajui mpaka wanakufa, nilipanga kwenda kwenye television kuzungumzia hili tatizo Nina uhakika kuna watanzania wengi likawagusa, mtu mwingine unakuta haumwi kabisa ila anakuwa mgomvi,Ana tabia za ajabu familia Inashindwa kumuelewa kumbe mycotoxins ime damage brain yake bila kufanya detoxification Hali inabaki Kama ilivyo.
 
Wewe hao Majirani wanao kuroga unachotakiwa utibiwe kwanza kisha ufanyiwe dua za kinga kisha wajaribu tena hao wana kuroga mwisho wao utawaonea huruma. Si umesema umekwenda Hospitali mpaka kuombewa na wachungaji hujapona? Wasiliana na Mimi MziziMkavu hauchimbwi Dawa Pole sana.
achen kuwaza ushirikina bana. ndugu mimi nahc umekosa uvumilivu. mi ningekushauri subir Mungu ajibu maombi yako.
uckimbilie kukata tamaa. kikingine hama hayo maeneo unayokaa let say umehamia maeneo mengine kwa miaka 3hiv.
 
Mold can make your life a living hell, najua ninachokizungumza kwani yalinitokea ndio maana nipo tayari kukusaidia kwa Hali yoyote, hakuna daktari anayelijua hili bongo watu wengi wanasumbuliwa na mold na wala hawajui mpaka wanakufa, nilipanga kwenda kwenye television kuzungumzia hili tatizo Nina uhakika kuna watanzania wengi likawagusa, mtu mwingine unakuta haumwi kabisa ila anakuwa mgomvi,Ana tabia za ajabu familia Inashindwa kumuelewa kumbe mycotoxins ime damage brain yake bila kufanya detoxification Hali inabaki Kama ilivyo.[

Poor affection with the people hii nayo naambatana nayo maishani kwangu kaka!!
 
Ndugu zangu,

mimi ni kijana wa pekee na wa mwisho katika familia yetu yenye jumla ya watoto sita. Ni familia ya kimaskini ila watoto tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha tunapunguza ukali wa maisha hapa nyumbani kwa kufanya kazi bila kuchoka usiku na mchana ila changamoto kubwa imekuwa husuda na kijicho kwa majirani zetu ambao wanahaha kushika shati familia hii kwa ushirikina lakini mbali na hayo yote we never give u
p united we stand and moves foward regardless our acceleration toward our goals.

binafsi mimi ndio muhanga na muahthirika mkubwa kwa hili gumu kwani kwa zaidi ya miaka 19 hadi sasa ndugu zangu sijawahi kuwa na furaha maishani mwangu....trust me its all about misery, sickness, lack of affection, unlucky na mambo mengi mabaya kwa binadamu..there comes a times it feels like the world is upon my shoulder..can't take this shiit no more nimejaribu kuwa mwema, muungwana na mnyenyekevu kwao bila mafanikio sitaki kuchuma dlhambi tena kwa mateso niliyopata katika dunia hii imetosha mungu ni mwema atanipumzisha milele kiumbe wake ain't fear death!! because its inevitable am ghood to go for it for their happiness and fantasy..

nilikuwa na plan ya kutafuta anyone with the solution kwa maaana ya traditional healer au yeyote mwenye productive ideas aweze nisaidia NITOE AWARDS ya tshs milioni moja but naona kama its a waste of time watu nao wamekuwa matapeli tu nowdays..yaani we living in craaaazy time folks!!! nimetibiwa na wataaalamu wa tiba asilia, hospitali za rufaa na kuombewa na wachungaji lakini hoola!!! hell no!! mungu ananitaka mwanae si bure...na he is the master of the people so far so am good to go.....though ukioniona live huwezi hata kuhisi kama mimi ni mgonjwa!! huwezi!

nimetoa dukuduku langu nahisi kama relief flani nimepata...!

kila la kheri wandugu.....

Mkuu piga nyumba ya jirani moto!
Hawa washirikina dawa yao ni moto tu.
 
Call dokta mti mkavu wa Gamboshi Magu hakika mimi niliteswa sana na haya mambo lakini nilipofikiswa kila kitu kiliisha hadi maadui zangu wakajisalimisha na nimewasamehe. Namba yake ni 0652380622 dk Mzuzu.
 
Unaweza kusumbuliwa na mold kwa miaka na wala usijue mkuu! Amini usiamini, kuna watu wapo sensitive na mold sana kuna aina Fulani ya gene umezaliwa nayo Kama Mimi ni aidha ipo kwa baba yako au mama, au inawezekana huna hiyo gene ila umekuwa exposed na mold kwa muda mrefu still utakuwa unahitaji matibabu, utakwenda bugando hutopata daktari anayetibu mold boss, tatizo Hilo lipo bado kwenye research, marekani ni nchi pekee inayoongoza kwa research duniani kuna physicians 500 tu! Marekani wenye uwezo wa kutibu Hilo tatizo ila kwasababu mind yako umesha ipeleka kwenye uchawi/lucifer Sidhani Kama you will take this issue serious, kuna labs marekani zenye uwezo wa kupima Hilo tatizo, Kama ungeweza kuwatumia mkojo na damu yako wangeweza kupima na kukupatia majibu hata Mimi nilifanya hivyo kabla ya kwenda kimatibabu ila kwa bongo sina uhakika Kama taratibu hizo za kutuma samples kwa vipimo nje ya nchi zipo, kila la kheri.
 
Mpigie dk Mzuzu wa Gamboshi Magu, hakika yalinipata hayo na mateso zaidi hadi majeraha ambayo sitoyasahau ila nilipofika yote yalikwisha na maadui yaku walinifuata na niliwasamehe. no yake ni 0652380622.
 
Mkuu piga nyumba ya jirani moto!
Hawa washirikina dawa yao ni moto tu.

Hakuna haja kaka, mungu ni mwema siku zote naamini anafanya kazi zake kwa namna ambayo hatuwezi kuona kwa macho yetu ya nyama.

Everything happen for a reason, kila kitu kinatokea kwa sababu hakika baba mungu ana makusudi na mazuri tu na mimi.

Tumpende tu adui yetu kaka, kama tunavyojipenda...God is in control let's relax...! Ila mwenyewe mwanga huyu huwa anahisi anayo hatia kabisaa ukimuangalia machoni mwake...her eyes says something when we make eye contact!!

Yote kwa yote, hatudumu hapa duniani hivyo ninachooomba salama yangu kwa mungu baaasi, ila kwa mayokeo yoyote mapenzi ya mungu yatimizwe.

Hallelijah!!!
 
nenda pale kibaha kongowe ukishuka mwambie m2 wa bodaboda nipeleke kwa mzee nyundo. huyo ndo mtaalam. pole sana ndugu
 
Pole. Leo naenda kwenye maombi mahali fulani. Nitumie jina lako kwenye pm ili niende nalo pale. Mungu wetu ni mwema naamini utakuwa mzima tena. Na hiyo hela yako utamtolea Mungu sadaka ya shukrani.

Amina mpendwa! Bila shaka nitakutumia kwani nahisi nimefungwa hata kufanya maombi ya namna yoyote ile kwani mara kwa mara napanga nifunge na kuomba kanisani lakini ghafla napoteza kabisaa morali na munkari wa kwenda kanisani.

Siku zote mungu ni mwema, hatanifungua tu siku moja na pesa hii nitaenda kuimarisha kazi ya mungu.

Hallelijah!!
 
Mkuu piga nyumba ya jirani moto!
Hawa washirikina dawa yao ni moto tu.
Ushauri mbovu mkuu unaotowa muambie akaombewe kwa Masheikh au Kwa Wachungaji sio kupiga moto nyumba ya jirani. Unamwambia achukuwe Sheria mikononi mwake Aaakh? wewe vipi? ingelikuwa wewe ni jirani yako ungelimruhusu akupige moto nyumba yako? mkuki Kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu.......
 
Amina mpendwa! Bila shaka nitakutumia kwani nahisi nimefungwa hata kufanya maombi ya namna yoyote ile kwani mara kwa mara napanga nifunge na kuomba kanisani lakini ghafla napoteza kabisaa morali na munkari wa kwenda kanisani.Siku zote mungu ni mwema, hatanifungua tu siku moja na pesa hii nitaenda kuimarisha kazi ya mungu.Hallelijah!!
Kabla hujawasiliana na mimi kwa njia ya email yangu ninakupa du fanya kila siku asubuhi maramoja na usiku mara moja unapoamka Soma Zaburi 91 Kwa ajili ya ulinzi wako na ndugu zako wote hapo nyumbani.

Zaburi, Chapter 91

91:1 Aketiye mahali pa siri pake Aliye juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi.

91:2 Nitasema, Bwana ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini.

91:3 Maana Yeye atakuokoa na mtego wa mwindaji, Na katika tauni iharibuyo.

91:4Kwa manyoya yake atakufunika, Chini ya mbawa zake utapata kimbilio; Uaminifu wake ni ngao na kigao.

91:5 Hutaogopa hofu ya usiku, Wala mshale urukao mchana,

91:6 Wala tauni ipitayo gizani, Wala uele uharibuo adhuhuri,

91:7 Ijapo watu elfu waanguka ubavuni pako. Naam, kumi elfu mkono wako wa kuume! Hata hivyo hautakukaribia wewe.

91:8 Ila kwa macho yako utatazama, Na kuyaona malipo ya wasio haki.

91:9 Kwa kuwa Wewe Bwana ndiwe kimbilio langu; Umemfanya Aliye juu kuwa makao yako.

91:10 Mabaya hayatakupata wewe, Wala tauni haitaikaribia hema yako.

91:11 Kwa kuwa atakuagizia malaika zake Wakulinde katika njia zako zote.

91:12 Mikononi mwao watakuchukua, Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.

91:13 Utawakanyaga simba na nyoka, Mwana-simba na joka utawaseta kwa miguu.

91:14 Kwa kuwa amekaza kunipenda Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, Kwa kuwa amenijua Jina langu.

91:15 Ataniita nami nitamwitikia; Nitakuwa pamoja naye taabuni, Nitamwokoa na kumtukuza;

91:16 Kwa siku nyingi nitamshibisha, Nami nitamwonyesha wokovu wangu.

Umewahi kuishi nje ya Tanzania? Jaribu kubadili mazingira aisee, sometimes ni psychological problems ndio zinakusumbua. Pia mcheki Mzizi mkavu anaeza kukupa ushauri[/

Kaka hilo nalo laweza kuwa na ukweli ndani yake ila nasita kukubali moja kwa moja kwamba suala hili liko kwenye traumatic experiences and psychological aspects hapana sidhani kaka...I can feel something stranger within my body...enhee!!

Pole sana
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu,

mimi ni kijana wa pekee na wa mwisho katika familia yetu yenye jumla ya watoto sita. Ni familia ya kimaskini ila watoto tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha tunapunguza ukali wa maisha hapa nyumbani kwa kufanya kazi bila kuchoka usiku na mchana ila changamoto kubwa imekuwa husuda na kijicho kwa majirani zetu ambao wanahaha kushika shati familia hii kwa ushirikina lakini mbali na hayo yote we never give u
p united we stand and moves foward regardless our acceleration toward our goals.

binafsi mimi ndio muhanga na muahthirika mkubwa kwa hili gumu kwani kwa zaidi ya miaka 19 hadi sasa ndugu zangu sijawahi kuwa na furaha maishani mwangu....trust me its all about misery, sickness, lack of affection, unlucky na mambo mengi mabaya kwa binadamu..there comes a times it feels like the world is upon my shoulder..can't take this shiit no more nimejaribu kuwa mwema, muungwana na mnyenyekevu kwao bila mafanikio sitaki kuchuma dlhambi tena kwa mateso niliyopata katika dunia hii imetosha mungu ni mwema atanipumzisha milele kiumbe wake ain't fear death!! because its inevitable am ghood to go for it for their happiness and fantasy..

nilikuwa na plan ya kutafuta anyone with the solution kwa maaana ya traditional healer au yeyote mwenye productive ideas aweze nisaidia NITOE AWARDS ya tshs milioni moja but naona kama its a waste of time watu nao wamekuwa matapeli tu nowdays..yaani we living in craaaazy time folks!!! nimetibiwa na wataaalamu wa tiba asilia, hospitali za rufaa na kuombewa na wachungaji lakini hoola!!! hell no!! mungu ananitaka mwanae si bure...na he is the master of the people so far so am good to go.....though ukioniona live huwezi hata kuhisi kama mimi ni mgonjwa!! huwezi!

nimetoa dukuduku langu nahisi kama relief flani nimepata...!

kila la kheri wandugu.....

Jitahidi kutumia luga moja unapo eleza jambo, itaonyesha kujiamini kwako lakini hii mseto ,watu we gi wenye busara hawapendi vitu hivi, utachelewa sana
 
Call dokta mti mkavu wa Gamboshi Magu hakika mimi niliteswa sana na haya mambo lakini nilipofikiswa kila kitu kiliisha hadi maadui zangu wakajisalimisha na nimewasamehe. Namba yake ni 0652380622 dk Mzuzu.

Nakushukuru pia Kiba kwa wazo lako. Naiona dhamiri yako ya kunisaidia ubarikiwe sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom