Asprin amua Kupanga Uzazi

Oh shem..... I know you know that I know and you know that when beer is not mentioned then that thing must be mentioned..... You knoo woram seyyyiing?

hahaha.... I get EXACTLY wara you meeeen! but come on siku nyingine talk about something else bana. lol

Can I define abomination from this post?

hahaha.... sasa nifanyeje na hali mjukuu wako thinks wewe ni mgumba?

Hili litahitaji DNA test. Matoto mengine nliyapata hata kabla sijabalehe eti. Nyie jinsia KE nyie.... Ntawaloga!

hahahaha.....
 
Afu tangu nikustahi na kukusaidia kulea mimba ya yule mlinzi wa KK security umeamua kuniua baada ya kupata dreva wa malori ya ujenzi wa barabara ya bagamoyo. Mradi ukiisha uhamie kwa Ashadii.

I don love you no more! Lol

Am giving you 10 minutes unitake Radhi. or Else
 
Kwani na wadada wana mbegu??

Hivi kwani mbegu hupandwa kwenye mbegu zingine ili iote?

Mbegu hupandwa kwenye viritubisho tu, wanawake wana udongo wa rutuba tu.

Hivi na kina dada wanaopakata hizi laptop pia wanakufa mbegu za uzazi au ni kwa wababa tu? vivian...
 
Unampekua mayai huyo? Mashine yenyewe ya kuzalisha mayai aliwauzia interchick.

Of all ze pipo..... Hata wewe??

Nakutafutia azabu. BTW kale kabinti Ulikojifungulia Mbweni dispensary ulikuja kufanikiwa kujua baba yake ni nani? MBONA HUNISHUKURU ungeitoa mimba kama ulivyotaka huoni ungemnyima kwaya masta wa TOT kiburudisho cha baadaye? (USISAHAU LULU AKO LUPANGO)
 
Say something Bagah. I know you like Malimaring so Much. ukipunguza leta posa

hayo ndio maneno ya watu tuliovunja UNGO...twende zetu chamber tukatete basi...wanafiki wengi humu...
 
haaaaaaa
mkuu nilikuambiaga toa huo mzigo hapo mapajani ukabisha,
watoto wameshtuka sasa,
mtu gani huna PM, huna SMS hata kubeep hakuna,
jitetee mwenyewe sasa.

Kuna mzembe mmoja aliwahi kunituhumu eti bia zimenifanya nikawa joka la kibisa. Alikuja shangaa kuona watoto wake wamefanana na mimi.

Somo: Yeyote wa kiume atakayeshabikia huu uzushi mke wake atajifungua mtoto wa mjumbe wa nyumba kumi. Wakike atakayeshabikia jamaa lake litazawadiwa mbegu za jogoo kudadadeki ile pyee tu, kitu pyaa! Atakoma na mamhemko yake ya kike.

Chezeya ODM?
 
hayo ndio maneno ya watu tuliovunja UNGO...twende zetu chamber tukatete basi...wanafiki wengi humu...
Unaanza masifa tena....
Shauri yako...we unamjua Vivian haeleweki unaanza majigambo ya kwenda chemba
Lol haya nendeni na mje na majibu mazuri
 
Back
Top Bottom