Asprin amua Kupanga Uzazi

Asprin amua Kupanga Uzazi

Jamani Vivian unavituko wewe.... Hio uliosikia nina wasi aise... itakua ina zalisha mbegu kua nyingi zaidi. Maana juzi kati hapa babu yako kazalisha mapacha....lol.

My wi. kwani sio kweli Laptop inauwa mbegu ukiiweka hapo alikoweka babu?
 
Hapa kuna nini??

Ngoja kwanza nipige Ginesi ya baridi labda ntaelewa.....

Ila nna mashaka kuna watu humu ntawalaani vikojoleo vyao vibadilike jinsia.....

I will be back!!
Hahahahaaa kajipangeee then uje
 
Nasikia eti mwanaume akiweka Laptop alipoiweka Babu Apsrin ni Njia moja ya kusababisha Ugumba. Je hii ni kweli?

Naomba Msaada kwa atakaweza kubandika Avatar ya Babu Asprin hapa ato Msaada.

Hongera babu kwa kuamua kufanya uzazi wa Mpango

finally...my Vivy is here!...
 
Hahahahaaa kajipangeee then uje

Kuna mzembe mmoja aliwahi kunituhumu eti bia zimenifanya nikawa joka la kibisa. Alikuja shangaa kuona watoto wake wamefanana na mimi.

Somo: Yeyote wa kiume atakayeshabikia huu uzushi mke wake atajifungua mtoto wa mjumbe wa nyumba kumi. Wakike atakayeshabikia jamaa lake litazawadiwa mbegu za jogoo kudadadeki ile pyee tu, kitu pyaa! Atakoma na mamhemko yake ya kike.

Chezeya ODM?
 
Kwa nani tena Ashadii?
Lol Babu ni mwingi sana lol
Atakuwa na wajukuu 2090

Bahati babu yenu ndani ya nyumba....
Nimeenda mfukunyua alikokueko....lol

Hebu muulize ana wajukuu na watoto wangapi?
 
Hapa kuna nini??

Ngoja kwanza nipige Ginesi ya baridi labda ntaelewa.....

Ila nna mashaka kuna watu humu ntawalaani vikojoleo vyao vibadilike jinsia.....

I will be back!!


Dah! ODM can you never comment without touching the thingy? c'mon shem....
 
Bahati babu yenu ndani ya nyumba....
Nimeenda mfukunyua alikokueko....lol

Hebu muulize ana wajukuu na watoto wangapi?

Kashindwa kujibu coz hajui idadi....ndio kaenda kuwahesabu mara moja...
Dah huyu babu yetu kazi kweli
 
Kuna mzembe mmoja aliwahi kunituhumu eti bia zimenifanya nikawa joka la kibisa. Alikuja shangaa kuona watoto wake wamefanana na mimi.

Somo: Yeyote wa kiume atakayeshabikia huu uzushi mke wake atajifungua mtoto wa mjumbe wa nyumba kumi. Wakike atakayeshabikia jamaa lake litazawadiwa mbegu za jogoo kudadadeki ile pyee tu, kitu pyaa! Atakoma na mamhemko yake ya kike.

Chezeya ODM?

Babuu.

Mionzi ya Laptop inauwa Mbegu za... Naomba uiondoe hapa haraka.

This is a Fact Babu. Halafu hujavaa hata tei tei!!!!
 
Kashindwa kujibu coz hajui idadi....ndio kaenda kuwahesabu mara moja...
Dah huyu babu yetu kazi kweli

Babu hana Mbegu tena. halafu ndio ameipakata bila hata kuvaa tei tei.
 
Bahati babu yenu ndani ya nyumba....
Nimeenda mfukunyua alikokueko....lol

Hebu muulize ana wajukuu na watoto wangapi?

Hili litahitaji DNA test. Matoto mengine nliyapata hata kabla sijabalehe eti. Nyie jinsia KE nyie.... Ntawaloga!
 
Huishiwagi vituko babu, gines na jua lote hili loh!

Hapa kuna nini??

Ngoja kwanza nipige Ginesi ya baridi labda ntaelewa.....

Ila nna mashaka kuna watu humu ntawalaani vikojoleo vyao vibadilike jinsia.....

I will be back!!
 
Babu hana Mbegu tena. halafu ndio ameipakata bila hata kuvaa tei tei.

Afu tangu nikustahi na kukusaidia kulea mimba ya yule mlinzi wa KK security umeamua kuniua baada ya kupata dreva wa malori ya ujenzi wa barabara ya bagamoyo. Mradi ukiisha uhamie kwa Ashadii.

I don love you no more! Lol
 
Back
Top Bottom