Peril22
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,850
- 3,201
Kabisa mkuu, nilienda pale na mdada mmoja naheshimiana nae tuliishia kuoneana aibu kwa huduma zile.Ana babua samaki hakaangwi
Kabisa mkuu, nilienda pale na mdada mmoja naheshimiana nae tuliishia kuoneana aibu kwa huduma zile.Ana babua samaki hakaangwi
Hivi eneo chafu kama coco beach unawezaje kula vyakula delicate kama samaki?Hata coco wanakaanga samaki ovyo sana, nilienda siku moja sitegemei kurudi hata kwa kulipwa.
Wajifunze kupika au waweke mpishi mzuriKabisa mkuu, nilienda pale na mdada mmoja naheshimiana nae tuliishia kuoneana aibu kwa huduma zile.
Duh! Labda wanazidiwa na watejaKazimoto nlienda ingawa mda kidogo i was so disappointed, chakula cha baridi huduma hovyo labda wawe wamejirekebisha saivi.
Ni vurugu mkuuHivi eneo chafu kama coco beach unawezaje kula vyakula delicate kama samaki?
Watu mnamoyo aisee
Bongo hii customer care ni zero watu wanaowaweka wale mabinti wa kuhudumia hawajui maana y kuchangamka na mambo kama hayo.Nimeacha kula vyakula kwa kufuata promo za mitandaoni, Restautants zote nilizoenda kwa kufuata trends za mitandaoni ni hovyo, Shishi food dodoma vyakula bei juu msosi wa kawaida sana, shawarma pale mwenge kawaida tu, Ney Cassava nilikula upuuzi. Magomeni kulikuwa na mgahawa unaitwa Basmati Mungu awabariki wale kwa chakula kitamu. Mwanza Mishikaki mizuri iko pale Salma Cone, Kitimoto Mwanza nenda Victoria prince. Ukitaka T bone steak safi na chipsi kale Bonasera.
Nimekucheck mkuu glass amoHawa toboi, ndo maana hata bei zake zime simama🫡