othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,533
- 11,879
Halafu morogoro angepiga hela, angejiweka pembeni ya samakisamaki pale asingekosa soko, pale mwanza ukienda unakuta wahudumu tu tena wanapiga mihayo na kwa nadra sn mteja mmoja mmoja na mwenyewe akitoka hapo harudi tena.Au hata Morogoro hivi